udhamini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Udhamini wa CRDB Kwa TFF ni billion 3.759, inakuwaje bingwa anapewa milion 50?

    Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi? Au mshahara wa Aziz...
  2. Pamoja na udhamini wa timu zaidi ya 8 ubingwa mashakani

    Hizi chuprichupri huwa hazifikagi mbali,sasa hivi wanavyolilia points 3 za mezani utadhani sio GSM aliyekuwa anadhamini zaidi ya timu 8, na mipango yote nye ya uwanja bado mnaogopa kupeleka timu uwanjani. Hii ni hasara kubwa kwa GSM,wameishia makundi,sasa kulilia hadi points za menzani,ni uoga...
  3. Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
  4. MO Dewji Afanya Mapinduzi! Udhamini wa Vilabu 10 Kwenye NBC Premier League Wazua Gumzo

    Katika soka la Tanzania, pesa imekuwa silaha kubwa katika kujenga na kuendeleza vilabu vya ligi kuu. Katika misimu miwili iliyopita, GSM, mdhamini wa Yanga SC, alidhamini vilabu zaidi ya saba, akionyesha nguvu yake katika soko la udhamini wa soka. Lakini sasa, Mohamed Dewji ameibuka na mpango...
  5. Mfalme Abdallah anyang'anywe udhamini wa masjidul Aqsa

    Sijui maamuzi ya kuifanya Jordan kuwa wadhamini wa msikiti mtakatifu wa Aqswa yalifanyika kwa mtindo gani.Kinachoonekana maamuzi hayo yalikuwa na kasoro kubwa kwani waiokabidhiwa hawastahiki kazi hiyo muhimu na ya kiibada. WatawalaJordan wakipenda wanaweza kuzima madhila yote ya wapalestina kwa...
  6. Udhamini wa GSM unavyoathiri kiwango cha Taifa Stats

    Timu yetu ili iwebora inategemea ubora wawachezaji wa Azam,Simba,Yanga na wachezaji wa nje. Imeonekana dhairi wachezaji wa Yanga hawana tena mchango timu ya Taifa sababu wanakosa fitness,sababu hawapati upinzani wa ukweli kwenye ligi yetu. Hii ni hata wachezaji wa kigeni wanaochezea Yanga...
  7. M

    Leo nawapa Siri kwanini Yanga anaziangamiza sana timu zenye udhamini wa GSM na ataendelea kuziangamiza

    Sio kwamba Yanga wanabebwa ama wanapendelewa na hao waliodhaminiwa na GSM hapana, huu ujanja tunaoweza kubaini ni wachache sana. Kuna siku Haji Manara alisema Yanga itabeba ubingwa mara 30 mfululizo msiposhtuka, alikuwa na maana yake kubwa, kwamba kwa mikakati waliyoiweka kwenye timu...
  8. Young Africans tunasema watani kifurushi cha furaha Kwa mtani, mwisho leo

    Kifurushi cha furaha ambacho tuliwaunga watani kimedumu Kwa wiki 3 na Leo kimekwisha Yanga tumemfunga Simba mara nne mfululizo na Bado tutaendelea kumfunga hadi ifike mara 20+ Watani ambao wanaoshiriki mashindano ya akina mama ( Kaduguda) Yaani timu zinazo shirikisho mashinda ya shirikisho...
  9. Udhamini wa GSM kwenye vilabu zaidi ya 5,Je unaweza kuibeba Yanga zaidi au kuleta upangaji wa matokeo?

    Wakuu kwema! Kama tunavyofahamu hapa jukwaani kumekuwa na mijadala tofauti tofauti kuhusu udhamini wa GSM na vilabu zaidi ya 7 kwenye Ligi ya NBC. Ambapo kuna wadau wa soka wanasema hii si nzuri na inawabeba Yanga zaidi kwa kuzingatia GSM ni Yanga na ni Mwanachama wa klabu hiyo. Lakini Pia ni...
  10. Simba nayo udhamini wa GSM? Mbona vipigo mfululizo

    Hawa mashabiki na viongozi ndo Huwa wanalalama eti Yanga anakuwa bingwa Kwa kuzifunga timu kwenye ligi Kwa sababu zinadhaminiwa na GSM Sasa wao kila mechi kipigo Wao watwambie kama GSM ashaanza kuwadhamini Tengenezeni timu Acha kulia Leo mnalia refa Mara kipa Camara kauza mechi Zile 5 mlisema...
  11. Kati ya Simba SC na CRDB Plc ni ipi inafaidika na udhamini?

    Salaam Big thinkers Kwanza angalia hii picha vizuri kwenye nembo ya CRDB kwanini imewekwa BLACK Then, watalamu wa Branding na marketing tusaidieni kujibu haya maswali. 1. Kwanini CRDB hajaweka green kama kawaida ameweka Black. 2. GSM na ukubwa wake wote still ameweka Black pia kwenye logo...
  12. Kwa Udhamini wa Mkutano wa Kimataifa wa Connect2Connect Africa, Helios Towers, Yazidi Kuing'arisha Tanzania, Kitaifa na Kimataifa, Yastahili Pongezi.

    Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, imepongezwa kwa kuing’arisha Tanzania kitaifa, Afrika na kimataifa, kulikopelekea mkutano wa 8 wa Connect 2 Connect (C2C) Afrika 2024, kuja kufanyikia Tanzania, Hellios akiwa ndie mdhamini mkuu wa mkutano...
  13. Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
  14. Global Powers zimekwisha baada ya vita baridi ? Usijidanganye, MK ya Jackob Zuma kwa udhamini wa Russia kidogo iiondoa ANC,

    Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO.. Rais wa sasa wa South Africa ni pro western. Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go. Rutto pro western, Raila Pro...
  15. T

    Msaada: Udhamini wa vipimo na matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna Kuna...
  16. T

    Msaada: udhamini vipimo/ matibabu

    Mambo vipi Wana Jf wakubwa kwa wadogo Natumaini wote wazima, mwenye changamoto yoyote MWENYE MUNGU ATASAIDIA, Nije kwenye hitaji au dhumuni langu, nimepata changamoto kidogo upande wa kushoto chini ya mbavu tumboni kunauma sana na kuacha, pia muda mwingine mwili unawasha unakuwa unajikuna...
  17. Kampuni za maji mnashindwa vipi kuomba udhamini mdogo wa hizi timu

    Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
  18. Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  19. C

    Taasisi zipi naweza kupata udhamini wa masomo ya chuo kada za afya

    samahanini wakuu nilikua naomba kujua kama naweza pata udhamini wa masomo hasa kada za afya kwa anaejua anisaidie wakuu
  20. K

    TFF Yaingia Mkataba na Sandaland The Only one Kuhusu Udhamini Wa Jezi

    TFF Imetangaza Kuingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Sandaland The Only one wa Utengenezaji na Usambazaji Wa Jezi za Timu za Taifa za Tanzania Wenye Thamani ya Tsh Bilioni 3 kwa Muda Wa Miaka mitano. Jezi za Timu zote za Taifa zitahusika,Taifa Stars,Timu za Wanawake na timu ngazi zote za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…