uchawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

    Wakuu heri ya mwaka mpya, Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama tu mefanya kuwa chawa kiasi hiki? Mwandishi unasifia kununuliwa viatu vya gharama? Sijui kununulia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa staili hii tutegemee nini kuelekea uchaguzi?

    Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu. Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za msingi na kujipendekeza kwa wagombea. Kama hali inakuwa hivi je waandishi watafanya kazi yao ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanawaza kumtukuza mtu au Rais kuliko taifa lenyewe

    Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...
Back
Top Bottom