uchaguzi

Uchaguzi Tanzania
Uchaguzi hasa wa viongozi katika nchi ni utaratibu (mchakato) rasmi unaoendeshwa kwa mujibu wa sheria kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi kwa njia ya kuwapigia kura kuwachagua watu ambao wanawataka kuwaongoza kwa kipindi maalum.

Uchaguzi ni utaratibu wa kawaida wa demokrasia wa kuwapata wawakilishi wa kisiasa ambao umekuwa ukitumika tangu karne ya 17. Kuna aina tatu za msingi za uchaguzi zinazotumiwa kuwapata viongozi kulingana na mfumo unaotumiwa na nchi husika.

Aina hizo ni uchaguzi wa Rais, Uchaguzi wa Wabunge na Wawakilishi katika Baraza la Kutunga Sheria na Uchaguzi wa Viongozi wa Serikali za Mitaa.

Vyama vya Siasa kwa upande wao navyo huendesha chaguzi ambazo zinajulikana kwa jina la “Chaguzi wa Msingi” zinazotumika kuwachagua wateuliwa wa vyama katika aina za uchaguzi ambazo zimetajwa hapo juu.

Endapo Tume haitaridhika kabla ya kutangaza matokeo ya uchaguzi kwamba kulikuwa na kutokufuatwa kwa taratibu, matumizi mabaya au ukiukwaji wa taratibu za uchaguzi au pale ambapo kura za wagombea waliopata kura za juu imelingana, Tume itasimamisha au kufuta uchaguzi au sehemu yoyote ya uchaguzi na itatangaza siku nyengine ya kurudiwa kwa uchaguzi huo.
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 RC Makonda: Waendesha bodaboda wajitokeze kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi Mkuu kupitia CCM

    Hiyo ndio kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam ndugu Paul Makonda akiwataka waendesha boda boda wajitokeze kuchukua fomu kugombea nafasi mbali mbali katika uchaguzi mkuu kupitia CCM. Anasema CCM kuna Demokrasia ya kutosha hivyo basi ni haki yao kugombea. Maoni Yangu Hiki nacho ni kituko...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Mkuu 2020 bila Tume huru wala Waangalizi wa Kimataifa

    Heshima kwenu Ndugu wanajamvi, Dalili zote zinaonyesha uchaguzi mkuu wa Rais,Wabunge na madiwani utafanyika October 2020. Ni wazi yapo mambo mawili ambayo hayajakaa sawa. Mosi ni Tume huru ya uchaguzi.Suala hili limekuwa likipigiwa debe na wadau mbali mbali wakiwemo wansiasa,viongozi wa dini...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

    Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa. Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Ujumbe wa wazi kwa wanademokrasia Tanzania: Uchaguzi uwe huru na wa haki au la, washindi watapewa ushindi wao. Hakuna haja ya kuwa wanyonge!

    Nawaambia haya, kwa uzoefu wangu ndani ya Serikali, CCM na kwenye Idara Nyeti za nchi hii. Nisikilizeni na muelewe: 1. Uchaguzi mkuu wa Tanzania ni zaidi ya uchaguzi kati ya CCM na vyama vya upinzani. Uchaguzi hubeba mustakabali wa nchi kiusalama, kiuchumi na kadhalika. Kuuchezea uchaguzi ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tusitegemee uchaguzi huru na haki, kama watendaji wa serikali ni makada wa CCM wakitarajia kuja kugombea au kuteuliwa na mwenyekiti wa CCM

    Sasa watumishi kama hawa ndio mtarajie kutenda haki na usawa?
  7. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo; Tunaomba maoni yenu kukamilisha Ilani yetu ya Uchaguzi

    Ni mambo gani serikali ijayo yakifanya utahisi na kuona kuwa tunajenga Tanzania ya ndoto yako? #TanzaniaYangu. KUTOA MAONI: BONYEZA HAPA. Chama chetu cha ACT Wazalendo kimedhamiria kujenga serikali shirikishi, inayosikiliza na kuheshimu mawazo na maono ya watanzania, Ilani ya chama chetu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waonywa vitendo vya Rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Makao makuu, imetoa onyo kali kwa viongozi watakao bainika kutumia rushwa katika mchakato na uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu. Akizungumza na wanahabari leo Juni 17, 2020 jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA inaingia kwenye uchaguzi bila kuwa na ilani ya CHADEMA YA uchaguzi ya 2020-2025 Chadema hakiko serious

    Mpaka muda huu CHADEMA haikina ilani ya uchaguzi ya 2020-2025 na kinaingia kwenye uchaguzi watanadi nini wakati ilani hawana?? au wanategemea porojo za majukwwani za mgombea tu? Wagombea uraisi mnaendeaje kugombea uraisi wakati chadema hakina ilani ya uchaguzi? Ilani ya mwisho ilikuwa ile ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Katika Demokrasia ya CHADEMA, Mbowe hajawahi kushindwa uchaguzi wowote wa ndani!

    Huu ndio ukweli uliomkimbiza mzee Sumaye pale CHADEMA na kurejea CCM. Mbowe hajawahi kushindwa uenyekiti wa CHADEMA wala uKUB ambapo alibadilisha utaratibu ili mwenyekiti ndio awe KUB. Kwa sababu hiyo ya Mbowe kuwa na mizizi iliyojichimbia chini, Zitto na wenzake baada ya kugonga mwamba...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Spika Ndugai, upinzani siyo CHADEMA, ni Watanzania waliochoka...

    Miaka kadhaa sasa, Chama chango tawala CCM imekuwa ikihubiri kukiua Chadema kwa maana wanaonekana ni wapinzani wa utawala. Kukiua Chadema siyo issue, maana CHADEMA ikifa, kitakachokuja mbadala ni mbaya na kubwa Zaidi ya Chadema. Chadema siyo wapinzani. Wapinzani ni watanzania. Mioyo yao ndio...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Dr. Bagonza kumbuka Rais ni taasisi. Je, ulitaka Magufuli asizungumzie Uchaguzi kisa ni Mgombea?

    Askofu Bagonza amesema inafikirisha pale Mgombea Urais mmoja anapowaambia wenzie uchaguzi utakuwa Hru na wa Haki, tena Mwenyekiti wa Chama kishiriki anapowaambia wenzie hawatavumilia matusi na kejeli. Namuuliza tu baba Askofu Bagonza, Je, alitaka Rais Magufuli akae kimya kabisa kwa sababu tu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli "theoretically" ameutangazia Ulimwengu kuwa tutakuwa na chaguzi zilzo huru, lakini "practically" hatutakuwa na uchaguzi ulio huru!

    Tumeisikiliza hotuba ambayo Rais Magufuli ameitoa ya kulivunja Bunge letu na kuwaaga rasmi wabunge wanaporejea kwenye majimbo yao kwenda gombea tena, kwa nia ya kurejea tena kwenye Bunge lijalo Rais Magufuli ametoa uhakikisho kwa Ulimwengu kuwa tutakuwa na uchaguzi ulio huru na haki. Hata...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA Muungane na ACT-Wazalendo na pia fanyeni mazungumzo na Fatma Karume awe Mgombea mwenza wa Lissu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu

    Huu ndio ushauri wangu kwa CHADEMA na ACT-Wazalendo ambao wako katika mazungumzo na vyama vingine kwa lengo la kushirikiana katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Ninahaki combination ya Lissu na Fatma Karume itakuwa na nguvu sana na pia itasaidia ku-balance swala zima la gender huku Maalim...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli, Una hofu na matusi gani wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu!?

    Habari wana JF Leo wakati Rais Magufuli akivunja bunge, katika hali inayoonyesha hofu ya kutojiamini kuelekea Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, ametadharisha kuwa watakokuwa wanatoa matusi watashughulikiwa! 'Matusi' ni neno la jumla sana, na sidhani kuna watu waliomuelewa ni matusi gani ambayo...
  16. JamiiForums Tanzania Swali kwa Pascal Mayalla: Je inawezekana CCM kuogopa Tume Huru ya Uchaguzi inaogopa kupoteza kiti cha Urais na majority bungeni?

    Swali langu ni hili..... Kwa nini CCM inaogopa kusiwe na Tume Huru ya Uchaguzi (kwa maana ya tume itakayoteuliwa na chombo huru chenye wawakilishi kutoka all cycles of life)? Je, inaogopa kuwa uchaguzi utakuwa ni wa huru sana na hivyo kupelekea uwezekano wa CCM kupoteza kiti cha urais na...
  17. JamiiForums Tanzania Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

    Leo tarehe 16 Juni 2020, Rais Magufuli analivunja bunge kwa ajili ya kufanya matayarisho ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, ambapo uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika kwa wakati mmoja. Bunge la 11 lilifunguliwa na Rais Magufuli Novemba 20, 2015 baada ya kuapishwa kuwa Rais wa...
  18. JamiiForums Tanzania Uchaguzi bila ya Tume Huru ya Uchaguzi kwenye picha moja

    Ni wazi kuwa ifikapo October 2020 hapa Tanzania, kitapigwa kipute cha soka kwenye uwanja tenge kama picha hapa chini inavyodhihirisha...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Wakuu wa Mikoa majembe na vimeo kuelekea uchaguzi mkuu

    Wakuu wa mikoa ya Tanzania Bara huteuliwa na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye kwa sasa ni jemedari shupavu Dr. John Pombe Joseph Magufuli na kwa upande wa Zanzibar Rais wa Zanzibar huteua na kuwaapisha wakuu wa mikoa ya huko.Tanzania Bara ina mikoa 26 na Zanzibar ina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…