uchaguzi serikali za mitaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    LGE2024 Wazee Wa Kigoma Wafanya DUA Maalumu Uchaguzi Serikali Za Mitaa kwa kuchinja ngamia

    Wazee wa ACT Wazalendo Kigoma Waufuatilia Uchaguzi Kwa Namna Yao, ‘Dua’. Ikiwa zimebaki siku nane kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika mnamo Novemba 27,2024, wazee wa ACT Wazalendo mkoani Kigoma wamefanya 'dua maalum' kwa ajili ya yeyote atakayehusika na kujaribu kuharibu...
  2. M

    LGE2024 Uchaguzi Serikali za Mitaa: Rais Samia awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao

    Kama hujuma wanazofanyiwa Wagombea wa upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa hazima baraka za Kiongozi wa Nchi, nashauri yeye mwenyewe awaite viongozi wa vyama vya upinzani kisha asikilize hoja zao yeye mwenyewe ili kupata hali halisi ya mwenendo wa uchaguzi huu wa serikali za mitaa. Kwa...
  3. W

    LGE2024 CHADEMA yagonga mwamba rufaa za wagombea wa uchaguzi serikali za mitaa Dodoma

    Majibu yaliyotolewa na Kamati leo tarehe 15 Novemba, 2024, ambapo hakuna mgombea yeyote aliyeshinda katika majibu hayo ya mapingamizi kwa sababu zilizoambatanishwa ikiwa ni rufaa hizo kutokuambatanishwa na nakala ya maamuzi kutoka kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi, majibu ambayo tumeshuhudia...
  4. Heparin

    LGE2024 Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Kuenguliwa kwa wapinzani kumetia doa uchaguzi

    Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limesema ili kuhakikisha wananchi wanaitumia kikamilifu haki yao ya kuweka viongozi wanaowataka ni lazima kuwe na mfumo wa wazi, wa haki na unaowajibika katika kusimamia zoezi la uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa nchini, kwani madhara...
  5. Waufukweni

    LGE2024 Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) watoa wito wananchi kushiriki uchaguzi serikali za mitaa

    Baraza la Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) limewataka wananchi kushiriki kikamilifu katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27. Wito huo umetolewa na Askofu Mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo...
  6. Cute Wife

    LGE2024 Kigoma: Wananchi waipongeza TAMISEMI mchakato Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mbona ghafla kila sehemu wanaanza kuipongeza OR TAMISEMI? Yaani ni kama wote wamepewa script moja :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:, mbinu ni zile zile CCM hamjui kunyumbulika kabisa! ===== Kupata mijadala kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special...
  7. figganigga

    LGE2024 Rais Samia Suluhu kafanya ubakaji wa Kisiasa kwa kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Salaam Wakuu, Nimesikitishwa sana na Kitendo kilichofanywa na Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Siasa kinachogombea, kuingilia Mchakato wa Uchaguzi Serikali za Mitaa. Huwa amekuwa akijipambanua Dunia na Chawa wake wameandika articles nyingi wakidai Dkt. Suluhu Hassan ni...
  8. Cute Wife

    LGE2024 Mara: Walioenguliwa uchaguzi Serikali za Mitaa waanza kurejeshwa, wananchi wapongeza

    Wakuu, Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa:BearLaugh: :BearLaugh: Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika...
  9. Cute Wife

    LGE2024 Mbeya: TAMISEMI yapongezwa kusimamia vizuri kura za maoni Uchaguzi Serikali za Mitaa, wasema wana imani na sheria na kanuni zilizowekwa

    Wakuu, Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: ===== Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za...
  10. Cute Wife

    LGE2024 TAMISEMI yasema Ujasiriamali ni kazi halali, si sawa kutumika kuengua wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Kwahiyo wale walioenguliwa kwa kigezo hiki wanakuwa ndio wamerudi kwenye kinyang'anyiro au ndio wameondolewa hivyo hivyo kwa uonevu? ==== Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR TAMISEMI) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika...
  11. mwanamwana

    LGE2024 Kubenea: Hakuna uchaguzi, kuna uchafuzi. Vyama kuendelea kushiriki ni kuhalalisha uhuni, madhara yake yataonekana 2025

    Kupitia andiko hilo la leo, Jumanne Novemba 12.2024 Kubenea ambaye ni mwanahabari nguli nchini na Mkurugenzi wa kampuni ya habari ya Mwanahalisi amedai kuwa kitendo cha vyama vya upinzani nchini kuendelea kushiriki uchaguzi huo ni sawa na kuhalalisha 'uhuni' unaoendelea, na hivyo kutahadharisha...
  12. Cute Wife

    LGE2024 Geita Mjini: CHADEMA walalamikia kuenguliwa kwa wagombea Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Wakuu, Mambo ni moto kila sehemu, ni mwendo wa kuengua tu na kubakisha wa kupita bila kutoa jasho. ===== Viongozi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita, wamelalamikia kuenguliwa kwa majina ya wagombea wao wa nafasi za Uenyekiti...
  13. Roving Journalist

    LGE2024 Dkt. Tulia awataka Wananchi Mbeya kuiamini Serikali, awahimiza kuwachagua Viongozi wa CCM Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe...
  14. G

    LGE2024 Ni kweli asilimia kubwa Chadema ndiyo hawajui kujaza fomu? Na ikiwa ni hujuma wanataka kulipekeleka wapi Taifa letu?

    Wakuu nikiri Mimi ni muumini wa haki bila kujali chama chochote Cha kisiasa. Maslahi ya taifa na nchi yetu ndo muhimu zaidi kuliko maslahi ya chama au maslahi ya Kiongozi yoyote kwenye nchi hii Nianze kunukuu maandiko ya Mfalme mwenye hekima aliyeandika na ukaingia kwenye maandiko Mtakatifu...
  15. The Sheriff

    LGE2024 Abbas Mtemvu: Wana-CCM ambao hawajateuliwa kura za maoni watulie na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam Abas Mtemvu amewataka wanachama wa CCM wasioteuliwa katika kura za maoni kutulia na kuongeza nguvu kazi kwenye uchaguzi. Mwenyekiti Mtemvu ameyasema hayo katika ziara ya Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
  16. Cute Wife

    LGE2024 Naibu Waziri Mkuu Biteko: Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa tutashinda

    Wakuu, Tambo zinazidi kurushwa, ni kweli watashinda, au mbeleko itasaidia washinde? Lucas Mwashambwa Tlaatlaah johnthebaptist ===== Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameipongeza Halmashauri ya Jiji la Dodoma kwa kuandikisha idadi kubwa ya wananchi katika daftari...
  17. Waufukweni

    LGE2024 Uchaguzi serikali za mitaa: Mamia ya wagombea wa upinzani waenguliwa, waapa 'kutosusia shamba'

    Mamia ya wagombea wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa serikali za mitaa ujao wameenguliwa kushiriki uchaguzi huo. Chama cha ACT Wazalendo kimeripoti takribani asilimia 60 ya wagombea wake wameenguliwa kushiriki uchaguzi kwa sababu walizozitaja kukosa msingi wa kisheria na kanuni. Kwa...
  18. Mapank

    LGE2024 Changamoto za uendeshaji wa zoezi la Uchaguzi nchini na hasara inayopatikana kwa taifa

    BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MAMA SAMIA SULUHU HASSAN YAH: CHANGAMOTO ZA UENDESHAJI WA ZOEZI LA UCHAGUZI NCHINI NA HASARA INAYOPATIKANA KWA TAIFA Mheshimiwa Rais, Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua nafasi hii kuandika barua hii ya wazi kwako...
  19. Nehemia Kilave

    PreGE2025 LGE2024 Uchaguzi Serikali za mitaa 2024 na mkuu 2025 , CHADEMA na upinzani kwa ujumla hatujajipanga

    .nimepita mitaa mingi wananchi wanawaongelea na kuwajua wagombea wa CCM tu .mitaa mingi haina ofisi za vyama vya upinzani . CHADEMA tunafocus mambo hasi kama wizi ,wagombea kutokuwepo-wagombea ambao hata wananchi hatuwajui kuelekea uchaguzi baada ya kujikita katika zoezi zima . .Kwa nchi...
  20. W

    LGE2024 ACT wazalendo: Wagombea wetu Kigogo, Dar es salaam hawajateuliwa

    Soma: Arumeru: Wagombea wa ACT Wazalendo Kata ya Seela Sing’isi waenguliwa kwa kuto dhaminiwa na kutokujiandikisha orodha ya Wapiga Kura
Back
Top Bottom