uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Polepole: Harakati za kampeni za rais Samia zinaratibiwa na Abdul badala ya CCM

    Polepole anasema japokuwa hiki ni kipindi cha kampeni lkn Lumumba pamepoaaa na makao makuu ya ccm taifa pale Dodoma pia pamepoaaa!!! Harakati zinafanyika kwenye ofisi za familia ya rais, moja ipo jirani na Slipway hotel, nyingine ipo Sinza, e.t.c. T-shirts, mabango n.k vinachapishwa huko na...
  2. U

    GE2025 Kutoshiriki Uchaguzi: Faida ya Usalama kwa Wagombea na Wanachama

    Nimekuwa nikifuatilia taarifa kuhusu uchaguzi wa mwaka huu. Kwa kweli tusibeze uamuzi wa CHADEMA kususia uchaguzi kwani umewasaidia sana viongozi, wagombea na wanachama wao angalau kuwa na usalama kuliko kama wangeshiriki. Zikiwa zimepita siku kadhaa tangu kuzinduliwa kampeni hatujasikia...
  3. GE2025 Polisi Mwanza Wawakumbusha Mgambo Kuheshimu Sheria Kipindi cha Kampeni na Uchaguzi

    Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza limewataka askari wa jeshi la akiba (Mgambo) kuhakikisha wanafanya kazi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kipindi hiki cha mikutano ya kampeni na kuelekea siku ya tarehe 29 ya mwezi wa kumi ambapo itakuwa siku ya kupiga kura ya kuchagua Madiwani...
  4. GE2025 Kibonde apigilia msumari kwamba akiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia

    “Nikiingia ikulu mtu wa kwanza kumpa ajira ni Mama Samia na nimeshaishawishi Baraza langu kwamba nikishinda Urais Mama Samia atabaki ikulu” Coaster Jimmy Kibonde, Mgombea Urais Chama Makini.
  5. K

    GE2025 Tatizo la umeme kumalizwa kabisa mkoani Songwe

    Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Dkt. 𝗦𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗦𝘂𝗹𝘂𝗵𝘂 𝗛𝗮𝘀𝘀𝗮𝗻, amesema moja kati ya dhamira na kipaumbele chake ni kujenga barabara za kiwango cha lami katika wilaya zote ili kuziunganisha na makao makuu ya mikoa yote nchi...
  6. J

    GE2025 Ukiwaangalia Wagombea Urais wa JMT kupitia Vyama vya Upinzani utagundua Vyama hivyo havina Watu kabisa

    Fikiria kwa mfano CUF kutoka kwa Prof Lipumba hadi huyu mgombea wa sasa bwana Gambo Inasikitisha mno
  7. GE2025 INEC yavitaka Vyombo vya Habari kuomba vibali vya kuripoti Uchaguzi Mkuu 2025

    Kwa kuzingatia kifungu cha 26 cha Sheria ya Tume Huru ya Taifa Uchaguzi Na. 2 ya Mwaka 2024, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatoa mwaliko kwa vyombo vya habari vyenye nia ya kuchapisha au kutangaza habari wakati wa kupiga kura, kuhesabu kura na kutangaza matokeo. Chombo cha Habari...
  8. GE2025 Kunje Ngombale: Nikiwa rais nitafuga mamba kwa ajili ya mafisadi

    Mgombea Urais kupitia Chama Cha Wakulima AAFP Kunje Ngombale Mwiru Akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za Wagombea Urais, Wabunge na Madiwani katika Jimbo la Morogoro kusini kata ya Matombo amewahutubia wananchi wa eneo hilo na kunadi sera zake, Ngombale Mwiru amesema ya kwamba kama akipata...
  9. GE2025 Rais Samia aahidi Kukamilisha Ujenzi wa Bandari Kavu Tunduma

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kukamilisha ujenzi wa bandari kavu yenye ukubwa wa ekari 1800 katika eneo la Katenjele lililopo Tunduma mkoani Songwe. Dkt. Samia amesema bandari hiyo itaondoa changamoto ya...
  10. GE2025 Mapingamizi ya INEC kesi ya Mpina yatupwa, kesi ya msingi kusikilizwa Septemba 8

    Kesi ya kupinga kuenguliwa kwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu (2025), iliyofunguliwa na Bodi ya Wadhamini wa chama hicho na Luhaga Mpina dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na Tume Huru ya...
  11. GE2025 Stephen Wasira: Ilani ijayo 2025 - 2030 CCM kuinua uchumi jumuishi kwa Watanzania

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema Mgombea Urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu wa Otoba 29, 2025, Dk. Samia Suluhu Hassan, atapigiwa kura nyingi kwa sababu wananchi wameiona kazi kubwa aliyoifanya kuleta maendeleo kwa miaka minne iliyopita...
  12. GE2025 Wanu Hafidh Ameir mgombea sahihi jimbo la Makunduchi, Zanzibar

    WANU HAFIDH AMEIR MGOMBEA SAHIHI JIMBO LA MAKUNDUCHI, ZANZIBAR Wananchi wa Jimbo la Makunduchi lililopo Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar wameonyesha kufurahishwa kumpata Mhe. Wanu Hafidh Ameir kama mgombea Ubunge wa Jimbo la Makunduchi katika kipindi hiki ambacho kuna miradi...
  13. GE2025 David Silinde: Samia ukipata kura chini ya 95% unipige bakora mbili

    Wakuu, Uchawa unaendelea Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe. Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
  14. R

    GE2025 Walioahidi kushona sare kwa ajili ya Mgombea Urais CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wamewasili uwanjani Songwe

    Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
  15. CCM Mnakataa kuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe?

    CCM mnkuwa mnasomba watu na wakati Kariakoo mliwalazimisha machinga wafunge biashara zao ili waje kwenye kampeni zenu Kawe? Mnawalazimisha watu kuja kwenye kampeni zenu na kuwatisha kuwa lazima wakaskilize kampeni zenu alafu mkija kwenye vyombo vya habari mnasema mmewapa lift, kilichowafanya...
  16. GE2025 Mgombea ubunge Kibamba aahidi kuboresha maslahi ya Bodaboda

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Kibamba, mkoani Dar es Salaam, kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Edward Kinabo, Septemba 2, 2025, akiwa katika Kata ya Saranga, ameahidi kuboresha maslahi ya waendesha bodaboda endapo atapewa nafasi ya kuwakilisha wananchi wa jimbo hilo bungeni...
  17. GE2025 Amani Golugwa: Siku tukiwatoa Madarakani CCM, Chama kitakufa, wamezoea wanabebwa na dola

    "Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
  18. R

    GE2025 Katibu Mkuu wa Chama MAKINI: Tutapeleka waandishi Canada, Wazee Posho laki 1 kila mwezi na Vijana kupewa bodaboda bure

    Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho uliofanyika Septemba 2, 2025, katika eneo la Manzese jijini Dar es Salaam, amesema endapo chama hicho kitapewa ridhaa ya kuongoza dola, kitaweka mpango...
  19. GE2025 Wenje: Hakuna uchaguzi ni maigizo, Samia anashindana na kivuli chake

    "Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
  20. GE2025 Kibonde: Polepole ni mmoja wa wanamtandao ambao walikuwa wanataka kumwondoa Rais Samia asigombee urais

    Mgombea wa Urais wa Chama Makini Amshukia Polepole. Aendelea kumnadi Samia. Katika hali ya kipekee katika siku ya kwanza ya uzinduzi wa kampeni za Chama Makini, mgombea wa Urais wa chama hicho Coaster Kibonde amemshukia vikali Humphrey Polepole. "Naomba Watanzania wenzangu popote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…