uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Utamfananisha na nani hapa Tanzania?

    Mbunge wako ameshawahi kuwasilisha hoja kama hizi bungeni? Huyu ni mmoja wa aliyewahi kuwa mbunge katika bunge la kenya miaka iliyopita na hapa alikuwa akiwasilisha hoja zilizolenga kuboresha huduma za wananchi na maisha yao na kusimama kinyume na mifumo uliyokuwepo ambayo ilikuwa inawanufaisha...
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea wa Urais Chama cha AAFP: Othman Masoud hana uwezo wa kuvaa viatu hata vya chooni vya Marehemu Maalim Seif

    Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha AAFP, Said Soud Said, amemshukia mgombea wa ACT Wazalendo, Othman Masoud, akidai hana uwezo wa kufikia hata kwa mbali hadhi ya kisiasa ya marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. Said alitoa kauli hiyo akijibu maneno ya uchochezi na ya kubeza sheria za...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Kenani Kihongosi: Kusafirisha watu ni hoja dhaifu hatuna muda kuijibu

    Hapa inaonekana hakuna proper communication flow kati ya wana kampeni. Ina maana huwa hawafanyi briefing kuambiana nini cha kujibu na nini siyo cha kujibu!
  4. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea urais CUF aahidi elimu bure hadi Chuo Kikuu

    Mgombea wa urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kuwa endapo atashinda Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 29 mwaka huu, serikali yake itahakikisha elimu inatolewa bure kuanzia darasa la awali hadi chuo kikuu. Akizungumza jana katika mkutano wa kampeni...
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Sio shida wala aibu kwa chama kuwasafirisha wanachama wake

    Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia: Nawaomba Wanambeya twende tukapigie kura Chama cha Mapinduzi

    TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI - DKT. SAMIA DKT. SAMIA - NAWAOMBA WANAMBEYA TWENDE TUKAPIGIE KURA CHAMA CHA MAPINDUZI Maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano wa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tiketi ya Urais ambaye ni Dkt. Samia Suluhu Hassan Mbalizi, Mbeya Kwenye Video ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Yeyote atakayezungumza jambo lolote lenye viashiria vya uvunjifu wa Amani huyo hatufai

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amefungua rasmi Soko na Kituo cha Mabasi cha Kisasa Chuini, Wilaya ya Magharibi A, Mkoa wa Mjini Magharibi. Katika hotuba yake, Rais Dkt. Mwinyi ameagiza kuimarishwa kwa usafi, kuzuia biashara nje ya maeneo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Gombo: Nikiwa Rais namwachia huru Tundu Lissu,Atengeneze katiba mpya

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo, ameahidi kumuachia huru mwanasiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, endapo atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza leo Septemba 4, 2025 katika mkutano wa kampeni...
  11. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo jitoeni kwenye uchaguzi

    ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara. Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi. Mtapigwa kila pembe hadi mchakae. Tunajua muhasisi wenu Zitto anawapelekesha kwenye chama chenu, lakini kwa hali inavyokwenda ni vyema...
  12. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM inahitaji vyama shirika vya upinzani kuliko chochote. Tishieni kujitoa kuwa hamuwezi mudu tena ghalama za kampeni. Mtanishukuru

    CCM wana 100b na zaidi. Hawajazipeleka mikoani kusaidia kampeni za wabunge. Zinatumika kwenye timu ya Nchimbi na Samia tu. Kupewa magari, mafuta na posho za madereva haitoshi si unaona hata majukwa ya mbao yamewashinda. Tengeneze umoja wa vyama vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi. Itisheni...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Edwin Kachoma Ajiondoa Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini Kupitia ACT-Wazalendo

    Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Je kwenye kura watapiga wafuasi wa CCM pekee? Je huu ni uchaguzi wa chama au wa taifa.?

    Ili kuthibitisha kuwa mikutano ya CCM inajaa, ingefaa tuone na mikutano ya CHADEMA. Hapo ndo tungejua kuwa mikutano ya CCM haina watu. Nilihudhuria ufunguzi wa mkutano wa CCM mahali. Kwenye picha ilionekana watu ni wengi sana kwasababu picha zilipigwa tokea mbele. Mkutano ulifanyikia kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 INEC yatoa Uamuzi wa Rufaa 38, kwa Ubunge zimekubaliwa nne na saba zimekataliwa

    Kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 53 na 65 vya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024 vikisomwa pamoja na kanuni ya 29(1) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea jumla ya rufaa hamsini na moja...
  16. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea. "Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu lakini tutaendelea na mapambano." Naibu Mwenezi Taifa Shangwe Ayo
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Tulia: Reforms zilishaafanyika Bungeni kuwezesha uchaguzi kuwa Huru na Haki

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson amesema Serikali ya Rais Samia Suluhu imefanya marekebisho yatakayowezesha uchaguzi wa mwaka huu kuwa huru na haki zaidi, sawa na maoni ya wananchi. Soma Pia: GE2025 - Tulia achukua Fomu kugombea ubunge Uyole
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Hamjambo! Sijui hatua gani zichukuliwe lakini kwa ninachokion huku mitaani. Ni wazi siku ya uchaguzi itakuwa siku ya aina yake. Mwaka 2020 nilibahatika siku ya uchaguzi kutembea kuanzia Arusha mjini, Moshi mjini, mwanga Mjini, Same Mjini mpaka nilipofika Makanya kwenye kituo changu cha kupigia...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Geho: ADA TADEA hawana fedha za kuanza kampeni

    Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi kampeni zake kutokana na hali ngumu ya ukata wa fedha. Akizungumza na TVE Habari, Katibu wa ADA TADEA...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakimaliza kutumbuiza wanapewa bahasha zao halafu wanakuja kutukana mitandaoni kuwa hatufanyi kazi

    Wasanii Diamond Platinum, Rayvany na Ommy Dimpoz wamekuwa kivutio katika mkutano wa kampeni za chama cha Mapinduzi (CCM) zinazofanyika mkoani Mbeya. Soma pia: Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'? Hata hivyo, wakati mastaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…