Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema bado kimeendelea kusisitiza kuhusu msimamo wake wa Jana Aprili 18, 2025 wa kulitaka Jeshi la Magereza na Vyombo vingine vya Dola kueleza kwa "haraka" alipo Mhe. Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, wakieleza kuwa mara baada ya saa 24 kupita...