uchaguzi mkuu 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    PostGE2025 Uingereza yataka uchunguzi huru Matukio ya vifo Oktoba 29 nchini Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeifikisha Tanzania katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (UNHRC), ikitaka kufanyika kwa uchunguzi huru na wa kina kufuatia kile ilichokiita "ukatili wa kushtua" uliotokea baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, ikiwemo tuhuma za mauaji ya kinyume cha sheria na...
  2. P

    Rais Samia kwa Rais wa Ghana: Kila kitu kipo salama Tanzania baada ya uchaguzi

    Ya kweli haya ndugu zangu? Kila kitu pipo shwari baada ya uchaguzi? Mambo yamerejea kama kawaida na uchumi umekua? ===== "Tanzania tuko watulivu na tuko sawa. Kisiasa, kila kitu kiko chini ya udhibiti baada ya uchaguzi wetu wa Oktoba. Sasa nchi imerejea katika hali ya kawaida na tunaendelea...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Ripoti: Tanzania ilipata hasara ya Tsh. bilioni 637.8 baada ya kuzimwa mtandao Oktoba 29, 2025

    Kuzimwa kwa intaneti wakati wa uchaguzi mkuu kuanzia Oktoba 29 hadi Novemba 3, 2025 kumesababisha hasara inayofikia zaidi ya dola milioni 250, sawa na shilingi za Tanzania bilioni 637.8 Hayo yamebainishwa kwenye Ripoti ya Tathmini ya Utawala wa Mtandao 2025, iliyochambua uadilifu na uhuru wa...
  4. Roving Journalist

    Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  5. A

    KERO Kijiji cha Mayonje (Sumbawanga), tangu Novemba 2025 hatuna maji baada ya bomba kupasuka

    Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya Uchaguzi Mkuu mpaka sasa, tumekuwa tukiishi bila huduma ya maji safi. Chanzo cha tatizo ni bomba...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Butiku: Tishio la kupigwa risasi liliwafanya watu kukaa ndani. watu milioni 5 mliambiwa mkae ndani na mlikaa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, amesema kuwa tishio la watu kupigwa risasi liliwafanya mamilioni ya wananchi kubaki majumbani. Alisema kuwa takribani watu milioni tano waliambiwa wabaki ndani na walitii agizo hilo. Ameongeza kuwa vijana...
  7. Waufukweni

    PostGE2025 Kamati Kuu ACT Wazalendo kukutana Januari 18, Dar kujadili ripoti ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Jumapili tarehe 18 Januari, 2026 Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo itakutana jijini Dar es salaam ikiwa ni kikao chake cha kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2015. Katika kikao hicho, Kamati Kuu inatarajia kupokea na kujadili taarifa ya Sekretarieti ya Chama Taifa na kutoa maelekezo ya...
  8. Waufukweni

    PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa - vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  9. Waufukweni

    PostGE2025 Clemence Mwandambo: Nimempigia Kura Samia, Familia yangu haikushiriki maandamano Oktoba 29, 2025

    Mwanamitandao Clemence Mwandambo amesema amekuwa akitumia video anazochapisha mtandaoni katika kuwashauri wanasiasa na kuwasilisha mawazo yake, lakini mara nyingine wanasiasa wamekuwa hawataki kuambiwa mawazao tofauti na wakiambiwa hivyo wanaona kama wanaowaambia wana kiburi. "Kwa bahati mbaya...
  10. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Vurugu zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kuonyesha dissatisfaction, hakuna kura iliyopigwa kuanzia saa 4

    Rais wa TLS Wakili Boniface Mwabukusi akizungumza katika mahojiano na Jambo TV leo Januari 9,2026 amesema kuwa Vurugu za Oktoba 29 zilianzia kwenye vituo vya kupigia kura kwa sababu wananchi hawakuridhia michakato ya zoezi hilo. Pia amedai kuanzia saa nne asubuhi hakuna kura zilizopigwa akieleza...
  11. Mindyou

    PostGE2025 Marafiki wapya wa Samia baada ya Uchaguzi Mkuu, wataweza kusapoti miradi ya utunzaji wa mazingira kweli?

    Wakuu, Tushazoea kuona nchi za Ulaya, Marekani ambao walikuwa ni partners wetu wa maendeleo kwa muda mrefu wakiwa wanajali kuhusu mazingira Kuna projects nyingi sana ambazo zilianzishwa na nchi za Kimagharibi regarding mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi. Lakini kutokana na yale...
  12. K

    GE2025 Asha Hussein Saleh wa CCM ashinda kiti cha Ubunge Fuoni

    Chama Cha Mapinduzi kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo wa mbunge Fuoni Mkoa wa Mjini Magharibi Zanzibar. Matokeo ya uchaguzi huo yalitangazwa usiku wa jana Desemba 30, 2025 katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Wilaya ya Magharibi B, Msimamizi wa uchaguzi wa wilaya hiyo...
  13. DuaZaMama

    GE2025 Godwin Mollel ashinda ubunge jimbo la Siha kwa asilimia 78.4 dhidi ya wapinzani wake

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwa ndiye mshindi wa Ubunge wa Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro. Uchaguzi huo mdogo ulifanyika jana Desemba 30, 2025 baada ya kusogezwa mbele kutokana na aliyekuwa...
  14. DuaZaMama

    PostGE2025 BAWACHA: Uchaguzi mkuu wa 2025 ni batili

    BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limesema kuwa linaunga mkono tamko la Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche, la kupinga uchaguzi mkuu wa 2025 na kueleza kuwa uchaguzi huo ni batili. Akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 20 Desemba 2025, Sharifa...
  15. N

    PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  16. Waufukweni

    PostGE2025 Kada wa CCM, Dkt. Marcossy: Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi

    Msikilize kada wa CCM, Dkt. Albanie Marcossy akieleza kwanini CHADEMA hawakushiriki uchaguzi Mkuu 2025 eti anadai "Udhaifu uliokuwa ndani ya CHADEMA ndiyo umefanya wasishiriki uchaguzi" Soma: Dkt. Albanie: Polepole anataka kuharibu Uchaguzi, apuuzwe Kweli CDM nidhaifu mbele ya CCM hii? ambayo...
  17. Waufukweni

    PostGE2025 Aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini adai walitumika kubeba miili ya waliouawa kwenda kuwazika Makaburi ya Kondo

    Muna Love ame-share screenshot ya moja ya ndugu wa aliyekuwa amepewa kesi ya uhaini baada ya maandamano ya Oktoba 29 akidai kuwa walitumika kubeba miili ya waliuawa kwenda kuwazika kwenye makaburi ya pamoja huko Kondo ambako hata ripoti ya uchunguzi ya CNN ilieleza uwepo wa makaburi hayo. "Dada...
  18. Waufukweni

    PostGE2025 Mchungaji Wanjohi wa Kenya: Mmeona Ripoti ya Madowo jinsi watu walivyouawa Tanzania? Kama ni kweli, naomba ICC iingilie

    Sehemu ya mahubiri ya Mchungaji Dr.John Chege Wanjohi (PhD), kutoka nchini Kenya ambaye pia ni Balozi wa Amani wa Umoja wa Mataifa. Nimeweka tafsiri isiyo rasmi; "Mmeona ripoti ya Larry Madowo na jinsi watu walivyouawa Tanzania? Kama tulichoona ni kweli, serikali imeua watu wengi kiasi kile...
  19. Lord Denning

    PostGE2025 Uchaguzi umekataliwa hadi na SADC, AU halafu umeripotiwa kote Duniani kuwa umeua maelfu then unaomba sympathy EU? Na bado

    Hata kabla ya Uchaguzi, Bunge la Umoja wa Ulaya lilikuzungumzia sana namna unavyoteka na kupoteza watu. Ulivyo na kiburi uliwapuuza. Ukazidi kuwateka, kuwafira, kuwaua na kuwafungulia kesi za Uongo Watanganyika. Ukamkamata mwenyekiti wa Chadema wakakuambia muachie ukasema wewe hupangiwi...
  20. Busu la Kenge

    PostGE2025 VIDEO: Huyu mrembo naye alihusika kuua ndugu zetu Oktoba 29

    Pisi kali hiyo kwenye Video naye mikono yake imejaa damu. Hakuna huruma lazima kisasi kiwepo. Hakuna kuwaobea huruma. adriz de mbusii
Back
Top Bottom