uchaguzi mkuu

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    PostGE2025 Human Rights Watch: Raia ambao hawakuwa kwenye maandamano walipigwa Risasi kuanzia Oktoba 29 kufuatia maandamano kwenye Uchaguzi Mkuu

    Human Rights Watch imesema kuwa vikosi vya usalama vya Tanzania vilikandamiza maandamano wakati na baada ya uchaguzi mkuu wenye utata wa mwaka 2025, viliua na kujeruhi watu ambao hawakuwa wakishiriki katika maandamano hayo. Human Rights Watch imethibitisha vifo vya watu 31 ambao hawakushiriki...
  2. M

    Mahakama ya Afrika yatupilia mbali shauri la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2020

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa uamuzi wake uliosubiriwa kwa muda mrefu kuhusu shauri lililopinga uhalali wa uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020. Katika hukumu yake, mahakama hiyo imetupilia mbali kesi hiyo kwa kukosa mashiko ya kisheria na ushahidi thabiti. Wapinga...
  3. M

    PostGE2025 Said Mohamed: CHADEMA kutoshiriki Uchaguzi Mkuu imejikwamisha kisiasa, viongozi waliokuwa na ndoto na matarajio wameondoka kwenye chama

    Makamu Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Zanzibar, Said Issa Mohamed akiongea na Waandishi wa Habari, leo Machi 5 akizungumzia mazingira ya kisiasa nchini ameeleza kuwa kitendo cha CHADEMA kutoshiriki uchaguzi mkuu kimepelekea chama kujikwamisha, kwani ili chama...
  4. Chachu Ombara

    Pascal Mayala: Tuna changamoto kubwa ya tafsiri ya sheria nchini. Tumefanya chaguzi kwa Katiba batili

    Akiongea katika kipindi cha Jambo Asubuhi, Mwandishi Pascal Mayalla amesema Tanzania kuna tatizo kubwa la tafsiri ya sheria, hata kwenye Mihimili mitatu ya dola.
  5. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  6. S

    Kampeni za Uchaguzi Mkuu ujao, nitawauliza wagombea urais ni hatua gani kali sana dhidi ya Watanzania wenzako unaweza kuchukua ili kuzima madai yao?

    Nina hamu sana ya kuwauliza wagombea Urais wa vyama mbalimbali maswali haya chini ikiwa nitapata nafasi ya kushiriki kwenye mdaharo wa wagombea uraisi; Miaka kadhaa iliyopita, Mwalimu Nyerere akiwa Mwenyekiti wa CCM alishauri Tanzania iingie kwenye mfumo wa vyama vingi japo ni asilimia 20% tu...
  7. Roving Journalist

    Kesi za kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2025 Zanzibar, zakutana na kikwazo Mahakamani

    https://www.youtube.com/watch?v=VvgEZ6hch6A Kwa mara nyingine tena, kesi za kupinga matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar wa Oktoba 29 mwaka jana zimeambatana na kikwazo baada ya upande wa Jamhuri kuhoji uhalali wa viapo vilivyoandaliwa katika kesi hiyo. Hoja hiyo imewasilishwa mbele ya Jaji Salma...
  8. A

    KERO Kijiji cha Mayonje (Sumbawanga), tangu Novemba 2025 hatuna maji baada ya bomba kupasuka

    Ndugu zangu, hali ya upatikanaji wa maji katika Kijiji cha Mayonje, Kata ya Milepa katika Halmashauri ya Sumbawanga Vijijini, imekuwa ya kusikitisha sana, tangu mwezi wa 11, 2025 mwanzoni baada ya Uchaguzi Mkuu mpaka sasa, tumekuwa tukiishi bila huduma ya maji safi. Chanzo cha tatizo ni bomba...
  9. B

    Zile nafasi za kazi zilizotangazwa karibia na uchaguzi mkuu zimeishia wapi?

    Habari wana JF. Mtakumbuka mnamo mwaka 2025 karibu kbs na uchaguzi Sekretariet ya ajira ilitangaza nafasi nyingi za kada tofauti. Nafasi zile zilileta maneno sana wengi wakisema ni rushwa kwsbb uchaguzi umekaribia. Wengi tuliomba na deadline ilikuwa Oktoba 31. Cha ajabu hatujaitwa kwenye usaili...
  10. Tlaatlaah

    Kama Samia alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2025 kwa 98%, ni wazi Nchimbi atashinda kwa 100% uchaguzi mkuu wa 2030

    Kwasababu, ni vizuri kuyaeleza haya mambo mapema ili kuepusha suprise amabazo zinaweza kuleta madhara kwa baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani ambao daima huangukia pua kwa kutegemea public sympathy votes. Katika uchaguzi mkuu huru, wa haki na uwazi uliofanyika mapema Oct.29,2025, mgombea urais...
  11. Waufukweni

    PostGE2025 Hoja za wabunge wanawake waliotokana na Uchaguzi 2025 nyie wenzangu mnazionaje? Nimemiss kuona type za kina Halima Mdee

    Haya ndugu zangu, Bunge ndo hilo limeanza mmewaonaje hawa wabunge wanawake waliotokana na Uchaguzi wa 2025? Binafsi nimemiss kuona wanawake aina ya kina Halima Mdee bungeni lakini sasa hivi naona wabunge wa sasa hivi wengi machawa Ila ngoja tuone
  12. M

    Wananchi: Kuzimwa kwa intaneti kote nchini wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha

    Kuzimwa kwa intaneti kote nchini Uganda wakati wa uchaguzi mkuu kumeathiri vibaya uchumi na maisha ya wananchi, hususan wafanyabiashara na vijana wanaotegemea huduma za mtandaoni. Biashara za fedha kwa njia ya simu zilisimama, waendeshaji bodaboda waliopata wateja kupitia programu walipoteza...
  13. Bawabu wa pili

    Mabeseni kutumika Kama Vyumba vya Siri vya Kupigia Kura Katika Uchaguzi Mkuu wa Uganda je, ni ubunifu au Changamoto?

    Katika uchaguzi mkuu wa Uganda, mbinu ya kipekee imeshuhudiwa ikitumika katika vituo vya kupiga kura, ambapo mabeseni yametumika kama vyumba vya siri kwa wapiga kura wakati wa kuchagua viongozi wao. Beseni hizo zimekuwa zikitumika kuwapa wapiga kura faragha wanapokuwa wanatia alama kwenye...
  14. W

    PostGE2025 Na nyie mme-notice wananwake wengi zaidi wanazungumzia siasa baada ya Uchaguzi Mkuu 2025?

    Wakuu, Nilipita sehemu leo (uswahilini) nikakuta wamama watu wazima wanazungumzia kuhusu uteuzi mpya uliofanywa hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri Yaani ni wanatoa nondo balaa. Wengine wanasapoti uteuzi uliofanyika wengine wanasema hapana uteuzi haukuwa sahihi Binafsi nimeona kuna mwamko...
  15. figganigga

    PostGE2025 FULL TEXT: Hotuba ya Luhaga Mpina kuhusiana na Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa 29 Oktoba 2025

    Salaam Wakuu, Hapa chini nimewawekea hotuba nzima ya Luhaga Mpina bila kuchakachua kitu. Angalizo, hii Hotuba ilitolewa tarehe 27 Oktoba, lakini Document ya hotuba imetoka leo. Naipost hapa kuweka kumbukumbu sawa kwa Vizazi vijavyo kwa Matumizi ya Shule na kuwajengea watu wa Dunia ufahamu na...
  16. N

    PostGE2025 SMS moja iliwanyamazisha Wanahabari wengi wa Iringa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Mwaka 2025 umeacha kovu ambalo halitafutika kirahisi si tu kwa sisi walaji wa habari, bali kwa Wanahabari wenyewe ambao wamejikuta wakivunjwa moyo, wakinyimwa nafasi ya kutumia kalamu zao, na wakidhalilishwa hadharani katika taaluma waliyoiamini. Katika kipindi...
  17. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulikuwa kiini macho cha Demokrasia, hakukuwa na Mizani

    Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 ilionekana wazi kuwa lazima mgombea wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan angeshinda. Hiyo ni kutokana na madaraka makubwa aliyonayo kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano, ikiwa pamoja na kufanya uteuzi wa uongozi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC)...
  18. DuaZaMama

    PostGE2025 Jaji Chande ataja mambo 6 yanayoenda kuchunguzwa na Tume ya uchunguzi

    Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania Mohammed Chande Othman ambaye ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu(Oktoba 29, 2025) leo Desemba 01, 2025 ameainisha mambo 6 ambayo yatachunguzwa na tume hiyo. 1. Kuchunguza na kubaini chanzo...
  19. W

    SI KWELI Museveni amemuonya mwandishi Larry Madowo kuelekea uchaguzi mkuu Uganda

    Wakuu Nimeona hii video ikimuonesha Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ambaye pia ni mgombea wa wa Urais kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Janury 2026.
  20. Doctor Mama Amon

    Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Haki na Amani Katika Wiki ya Uchaguzi Mkuu 2025: Naomba Nakala ya Tangazo Husika Katika Gazeti la Serikali

    Wadau, Kwa mujibu wa kifungu cha 20 cha Sheria ya Tume za Uchunguzi (Commissions of Inquiry Act), Sura ya 32, Toleo la 2023, Rais anapounda Tume ya Uchunguzi husika, Tume hiyo inapaswa kuanza kazi baada ya Uamuzi wa Rais kuchapishwa kwenye Gazeti la Serikali . Taarifa ya gazetini inapaswa...
Back
Top Bottom