uchaguzi chadema

The Tanzanian general election of 2015 was the 5th quinquennial election to be held since the restoration of the multi-party system in 1992. Voters elected the president, members of Parliament, and local government councillors. By convention, the election was held on the last Sunday of October and was supervised by the National Electoral Commission (NEC). Political campaigns commenced on 22 August and ceased a day before the polling day.The incumbent president, Jakaya Kikwete, was ineligible to be elected to a third term because of term limits. Chama Cha Mapinduzi (CCM), the country's dominant ruling party, selected Works Minister John Magufuli as its presidential nominee instead of the front-runner, former Prime Minister Edward Lowassa. After failing to secure the CCM's nomination, Lowassa defected to the opposition Chadema party despite it once labelling him as "one of the most corrupt figures in Tanzanian society". This year's election was seen as the most competitive and unpredictable in the nation's history.The government had warned politicians to refrain from engaging in witchcraft, and a deputy minister told parliament that reports linking politicians with the killings of people with albinism could be true as it increases during the election period. A ban on witch doctors was imposed in January 2015, as some of them condone the killings due to superstitious beliefs that the victims' bodies "possess powers that bring luck and prosperity".On 29 October, CCM's Magufuli was declared the winner ahead of Chadema's Lowassa, who has yet to concede amid a dispute.

View More On Wikipedia.org
  1. Cute Wife

    PreGE2025 CHADEMA walia na rafu kuelekea Uchaguzi wa Mwenyekiti. Team Lissu waliwa vichwa ili kumpa ushindi Mbowe

    Wakuu, Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii inasemekana team Lissu kabakishwa mmoja tu, je tutegemee matokeo tofauti hapo kesho. Kama wao kwa wao...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    PreGE2025 Kesho Utafanyika Upasuaji Mkubwa kwa wagonjwa CHADEMA, Madaktari 1,200 kuendesha zoezi hilo. Je, mgonjwa atatoboa au atakata moto?

    Hayawihayawi! Kesho tarehe 21 itafanyika Operation kubwa kwa mgonjwa ambaye hapa ni CHADEMA. Madaktari wasiopungua 1200 wataendesha zoezi hilo. Kiukweli mgonjwa yupo taabani. Upasuaji huu ni muhimu Sana lakini pia ni Upasuaji Hatari kama madaktari hao hawatakuwa Makini kufanya zoezi Hilo...
  3. Li ngunda ngali

    Yericko Nyerere: Kama wewe sio mpiga kura usisogee ukumbi wa kupigia kura Mlimani City

    Hao ndiwo wapiga zumali wa bwana Mbowe kwa sasa. Na ndiwo anaowategemea baada ya Uchaguzi watakuwa wasaidizi wake kwenye Chama. Tafakari.
  4. Bams

    PreGE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

    Siku zote CHADEMA na vyama vingine vya upinzani, vimekuwa vikilalamikia mambo ya hovyo ya kukata majina ya wagombea wa upinzani wanaoonekana kuwa tishio dhidi ya wagombea wa CCM kwenye chaguzi mbalimbali. Hayo yamefanyika sana hata kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa wa mwaka jana, na CHADEMA...
  5. Bams

    PreGE2025 Ujumbe mahsusi Kwa Wajumbe wa CHADEMA, msiue matumaini ya Watanzania

    Watanzania wana maumivu mengi na hasira kubwa dhidi ya CCM, chama ambacho kimekuwa kama syndicate ya kuwaumiza watanzania walio wengi na kuzineemesha familia chache kupitia kodi za hao wengi wanaoumizwa. CCM imekuwa na kiburi kisichoelezeka. Wananchi, kupitia tume ya Warioba walisema wanataka...
  6. M

    PreGE2025 Uchaguzi wa CHADEMA umedhihirisha Lissu ni Mwanaharakati Mbowe ni Mwanasiasa

    Kwa wanaofuatilia Uchaguzi huu watakubaliana na mimi kwamba ukimsikiliza Mbowe unaona picha ya Mwanasiasa imara na Kiongozi na ukimsikiliza Lissu unaona Picha ya ya Mwanaharakati aliyekomaa ila Mwanasiasa dhaifu sana. Ukiangalia kwa undani zaidi utaona Hotuba nyingi za Lissu zinaiumiza sana...
  7. J

    Mkutano mkuu wa Chadema ufanyike Ukumbi wa Polisi Kilwa road Kwa sababu za kiusalama. Pale Mlimani City kuna vitega Uchumi vurugu ni hatari!

    Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa DSM Mh Albert Chalamila zingatia ushauri huu Mlimani City ni eneo la Uwekezaji hivyo kufanya Mikutano ya Kisiasa yenye viashiria Vya vurugu na umwagaji Damu siyo Sawa Hatuna Bima ya Vurugu Mwagito Chalamila utanishukuru baadae 🐼
  8. MWAISEMBA CR

    Nakubaliana na hoja za Mhe Lissu, ila Mhe Mbowe ndiye anafaa kuwa Mwenyekiti

    Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi 𝑺𝒊𝒐 𝑻𝒆𝒂𝒎 𝑳𝒊𝒔𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝑺𝒊𝒐...
  9. M

    Mahesabu yampa ushindi Freeman Mbowe, atarajiwa kuridhiana na Tundu Lissu

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne. Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania kuingia ofisi Kuu ya Mikocheni zimepamba moto na sasa ni lala salama. Vyovyote iwavyo Chadema imeweza...
  10. W

    PreGE2025 Lema awapongeza Lissu na Heche mapema, asema Jumatano atakuwa busy kwa furaha

    Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda. Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
  11. M

    CHADEMA Dodoma: Tumemchoka Mbowe, muda wake umeisha ampishe Lissu

    Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe kukubali kuwa wakati wake umepita hivyo ni wakati wa kukubali mabadiliko ndani ya chama...
  12. G Sam

    Mbowe ni mtu wa ajabu sana, migogoro aliianzisha mwenyewe kisha leo anaomba kuchaguliwa ili aunde tume kupatanisha aliowatenga

    Ukweli ni kuwa Mbowe aliamua kwa makusudi kutenga great thinkers wote ndani ya Chadema. Na kuna picha nilipost humu akiwa na machawa wake hii hapa. Ukweli ni kuwa hii picha alikuwa kwenye kikao na machawa wake hawa kuandaa mpango wa kudili na watu. Ni kwenye kikao hiki ndipo alisema Lissu na...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Wagombea Mbowe anayetetea nafasi yake, Lissu na Odero kufanyiwa usaili leo ofisi za Chadema

    Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne Januari 21, 2025. Usaili wa wagombea hao, unafanyika yalipo Makao Makuu ya Chadema, Mikocheni jijini...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Lema: Rushwa imekithiri kwenye uchaguzi wetu

    Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti taifa. Godbless Lema, mwanachama wa muda mrefu na kada wa CHADEMA, ameandika ujumbe wa kina kupitia...
  15. Tlaatlaah

    Unadhani ni kwanini Lissu, Lema na Heche hawaaminiki na wala hawakubaliki kwa wajumbe wengi wa mkutano mkuu wa chadema taifa na wanachdema kwa ujumla?

    Je, hawakubaliki wala kuaminika kwasababu ya miongoni mwao kuishi sana uhamishoni nchi za magharibi, na kwahivyo wanaonekana kama ni vibaraka na makuwadi wa nchi za magharibi kupenyeza ukoloni mambo leo na sera za ndoa za jinsia moja, ufirauni na utoaji mimba nchini? Au, hawakubaliki wala...
  16. SSH2025_2030

    PreGE2025 Tunamsihi Lissu akubali matokeo yoyote

    Kuelekea uchaguzi Mkuu CHADEMA tunamsihi Mgombea Lissu akubali matokeo yoyote yajayo ili Tujenge chama kwa pamoja. **Pia apunguze kelele, Wajumbe Wana bills za kulipa
  17. Manyanza

    Mbowe, Lissu wameitumbukiza CHADEMA vita ya pembe tano

    VITA ya hatima ndicho kinaendelea Chadema. Siyo vita na hatima kama simulizi ya familia ya Ku, Asia Mashariki, kwenye tamthiliya ya War and Destiny, bali Chadema, hali ilivyofikia, kinachopambaniwa ni hatima. Uamuzi wa Makamu Mwenyekiti Chadema, Tanzania Bara, Tundu Lissu, kugombea uenyekiti...
  18. R

    Wasira yupo toka kipindi cha Nyerere!

    HONGERA wASIRA.......YUPO.......YUPO..........YUPO................YUPO......................YUPO......................YUPO Steven wasira 80 YRS OF AGE...........................YUPO Pia soma: Uchaguzi 2025 - Stephen Wassira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara
  19. R

    Mbowe akishinda, Makamu wake atatoka upande wa Lissu, na Lissu akishinda Makamu atatoka kwa Mbowe. Je, ofisini patakalika?

    Kuna kambi mbili chadema ambayo ni Lisu na Mbowe. Karata zinaonyesha wapiga kura watabadili wagombea nafasi za mwenyekiti. Endapo mpiga kura atapiga kura kwa Mbowe basi atapiga kura ya makamu kwa mgombea anayeungwa mkono na Lisu; vivyo hivyo kwa Lisu. Natabiri Mweyekiti atapata Makamu asiye wa...
  20. sonofobia

    Lissu amemchakaza Mbowe kura za mabaraza ya CHADEMA

    Uchaguzi wa Mabaraza yote umekamilika kwa Asilimi 100 Namba zinasema hivi 👇🏽👇🏽 Mabaraza yote yana Jumla ya kura 99 1. BAZECHA 33 -TAL 15 -FAM 18 2. BAWACHA 33 TAL 17 FAM 16 3. BAVICHA 33 TAL 31 FAM 2 Jumla Tundu Lissu 63 Freeman Mbowe 36.
Back
Top Bottom