Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu, akiwa katika Kata ya Guruka, Jimbo la Kigoma Kusini, mkoani Kigoma, ameahidi kuwa serikali yake itaweka nguvu katika kupambana na umaskini kwa kuanzisha viwanda vya kuongeza thamani ya...