Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki)
Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili.
Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde
1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa)
2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...