ubwabwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dream big

    JamiiForums Tanzania Ccm Ubwabwa vs Ccm Utundu

    Mimi sio politician,sisubiri tume ichunguzwe.......(Roma mkatoliki) Kinachoendelea kwenye siasa za ccm ni makundi mawili. Moja halitaki reforms sababu kuu ni kuwa Lina mgombea dhaifu ambaye ili ashinde 1.Awe na mpinzani dhaifu (chaubwabwa) 2.Awe na upinzani wenye kutugawa kidini (kigoma cha...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ccm ikigawa baiskel sio rushwa mzee sipunda akigawa ubwabwa ni rushwa

    Hii ni maajabu katika nchi inayozidi uchumi ulaya na marekani ila bajeti yake inategemea misaada ya ulaya na marekani
  3. E

    JamiiForums Tanzania Rungwe ‘Mzee wa Ubwabwa’ alazwa KCMC

    DAR. Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe maarufu Mzee wa Ubwabwa amelazwa katika Hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro (KCMC) kutokana na uchovu wa kazi nyingi. Kwa mujibu wa Ofisa Uhusiano wa hospitali hiyo, Gabriel Chisseo, Rungwe alifikishwa hospitalini hapo...
  4. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA brand yao kubwa ni "Ubwabwa" ndo imetambulisha sokoni wao wanapigania tumbo

    Hiki chama kinaitwa CHAUMMA ndio nimekisia Ila nadhani ni chama cha mfukoni. Haiwezekani Sera yako iwe ubwabwa huu ni utoto mkubwa.
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ninalitaka Jimbo la ileje na ninaenda kumuondoa kasekenya kupitia CHAUMMA na sera yetu Bora kabisa ya ubwabwa!

    Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania. Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
  6. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Makali ya chama cha ubwabwa: leo wanaliamsha dude

    Leo ndio siku ambayo kwa mujibu wa ratiba zao wataingia rasmi mitaani kujitambulisha zaidi na kumwaga sera zao Ratiba ya ufunguzi itaanzia Mwanza.. Haijajulikana kiwanja gani Makali yake yataonekana Leo kutokana na nyomi ya mwitikio wa wana mwanza... Na amin I watakuwa wamejiandaa vema sana...
  7. A

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  8. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Mnawezaje kula wali?

    Nisikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Binafsi nimeshajaribu sana hiki chakula lakini kimenishinda! Nimejaribu sana kula wali wa kila aina na ulopikwa Kwa mapishi tofauti tofauti lakini nimeshindwa!,Huwa napata taabu sana nikimtembelea ndugu,jamaa au rafiki nikakuta kapika wali,aiseee huwa...
Back
Top Bottom