ubungo

Ubungo is a district north west of Dar es Salaam central business district, Tanzania. It is located in the western part of the province.
Ubungo was formerly a ward in the Kinondoni District of Dar es Salaam.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Ubungo, pesa za vipimo zinazolipiwa Maabara bila stakabadhi zinaenda sehemu sahihi?

    Picha: Ubungo Manispaa Mwaka 2021, Mwenge wa Uhuru ulizindua Hospitali hii ya Ubungo ili kusaidia Wakazi wa maeneo hayo kuwa na Hospitali ya Wilaya. Hospitali hii inatoa huduma nyingi na za msingi kuanzia huduma ya mama na mtoto, kujifungua, hadi upasuaji. Licha ya kuwa hospitali hii yenye...
  2. JamiiForums Tanzania Gari limeacha njia na kuparamia fremu za maduka Ubungo Riverside

    Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024. Hadi sasa majeruhi wanne waliokuwa ndani ya fremu hizo wametolewa na jitihada za Jeshi la Zimamoto na Uokoaji na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji Ubungo Makubuli wiki ya tatu hayajatoka

    Katika kata ya Ubungo Makubuli baadhi ya vijiji vyake ikiwa Kibangu, Wanaichi kwa wiki tatu sasa wamekosa huduma ya Maji kutoka DAWASA hivyo kupata shida na kuhofia mlipuko wa magonjwa na hawana msaada wowote.
  4. JamiiForums Tanzania KERO Kituo cha Daladala Mbezi Mwisho hakina mpangilio wa huduma: TANROADS, Jeshi la Polisi, DED Ubungo na Ofisi ya RC ujumbe huu unawahusu

    Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho ni mojawapo ya vituo vikubwa na vyenye umuhimu mkubwa Jijini Dar es Salaam. Kituo hiki kinapokea abiria kutoka maeneo mbalimbali ya jiji na pia kinahudumia abiria wanaosafiri kupitia Stand Kuu ya Mabasi ya Kimataifa ya Magufuli. Pamoja na umuhimu wake mkubwa...
  5. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ubungo: Inadaiwa DC Awafungia ndani wagombea wa CHADEMA na kuagiza wapigwe

    Kwamba wanasababisha fujo, ikumbukwe kwamba Wagombea wa uchaguzi wa serikali za Mitaa wa Chama hicho wapo kwenye ofisi za Halmashauri kusubiri hatima yao Ngoja tusubiri namna watakavyopigwa kwa maelekezo ya Mtukufu DC =============== "DC Ubungo, amewafungia ndani Wagombea wa serikali za mitaa...
  6. JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Shule ya Ubungo NHC haiuzwi, inaboreshwa

    Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa wazazi na jamii. Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amefika shuleni hapo kukutana na...
  7. JamiiForums Tanzania Halmashauri Ya Ubungo yakanusha taarifa za kuuza shule ya Msingi Ubungo NHC

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea mitandaoni kuhusu kuuzwa kwa shule hiyo. Taarifa hiyo imewataka wazazi kutokuwa na hofu, kwani shule...
  8. B

    JamiiForums Tanzania DC Ubungo: Hakuna Shule inauzwa Ubungo

    Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekanusha taarifa zilizozua taharuki mitandaoni kwamba Shule ya Msingi ya Ubungo National Housing ambayo ni ya Serikali, imeuzwa kwa Wawekezaji. Akiongea leo November 13,2024 kwenye mahojiano maalum na Ayo TV akiwa Shuleni hapo, DC Bomboko amesema Shule...
  9. JamiiForums Tanzania DOKEZO Taharuki yazuka, Wazazi wajaa Shule ya Msingi Ubungo NHC baada ya taarifa kuwa shule inauzwa

    Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo Jumanne kwa ajili ya kikao kilichopangwa. Hali hii ilisababisha taharuki miongoni mwa wazazi. Tulipofika...
  10. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Fundi Ujenzi afariki dunia kwa kukosa Huduma ya Kwanza ndani ya Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Biashara cha Afrika Mashariki – EACLC, Ubungo

    Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake wasafirishwa na kuzikwa kimya kimya kwao Tabora. Katika miradi mingi ya ujenzi iliyopo hapa nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
  12. JamiiForums Tanzania Responded Manispaa ya Ubungo yakiri changamoto ya taka Ubungo Riverside, yawaomba TARURA na TANROAD kuzibua mitaro ya barabara

    Salaam Wakuu, Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi. Hapa chini ni Ufafanuzi; "Ufafanuzi kuhusu uwepo wa mazingira hatarishi ya magonjwa ya mlipuko kutokana na utiririshaji wa maji ovyo wa...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Mkuu wa Wilaya Ubungo apita vijiweni kata ya Manzese kusikiliza kero za wananchi

    Wakuu, Mambo yanazidi kuwa moto kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Baada ya kushindwa kesi na wadada wanaodhaniwa kufanya biashara ya kuuza mwili sasa atinga vijiweni kusikiliza kero za wananchi. Makonda kawainspaya wengi🌚. ==== DC Bomboko akiwa kata ya Manzese mtaa wa midizini katika kijiwe cha...
  14. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi ya Ubungo Makuburi, Yalamba Bingo ya TotalEnergies Tanzania, kwa Kujengewa Ukuta Kama Zawadi ya Ushindi wa Shindano la VIA!.

    Wanabodi, Hili Kampuni kubwa la Mafuta nchini Tanzania kuliko makampuni yote, linaendelea kutandaza wema wake kwa Watanzania, sasa linajenga ukuta kuizunguka shule ya Ubungo Makuburi. Dar es Salaam, Octoba 30, 2024 Na Mwandishi wetu Shule ya Msingi Ubungo Makuburi, Kujengewa Uzio Na...
  15. JamiiForums Tanzania Dada Poa waliodhibitiwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo walitokomea wapi?

    Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo? Wako wapi? Ama wanafanya nini kwa wakati huu? Walijiajiri ama kuajiriwa wapi? Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
  16. JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna bomba kubwa limepasuka Ubungo darajani zaidi ya miaka 4 sasa na Dawasco wanalipita kama hawalioni

    Ukiwa unatokea riverside kuna daraja kubwa la mto chini ya mto utakuta kuna kundi kubwa la kina mama wanafua kupitia bomba kubwa la dawasco lililopasuka. Kupasuka bomba sio ajabu ila chakushangaza lile bomba lina miaka 4 tokea 2020 mpaka leo dawasco hawana mpango wa kuliziba. Kituko kingine ni...
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside karibu kwa mzee wa Upako, Kibangu Ruge-SQM 2700

    Habari,ninauza kiwanja kilichopo wilaya ya ubungo, Kata Makuburi, kipo karibu na kwa mzee wa Upako. Karibu Km 1.5 kutoka Mandela road. Ni mwendo wa dk 20 kwa miguu kutoka kituo cha daladala ubungo riverside. Kiwanja kina ukubwa wa SQM 2700, kimepimwa, kina nyaraka za serikali ya mtaa (Hati...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Ubungo Kibangu tumewakosea nini DAWASA? Maji hayajatoka sasa ni Mwezi, Waziri wa Maji fuatilia hili jambo

    Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa eneo hili kuwa na kero ya maji,mara nyingi yalikuwa yakitoka Jumamosi jioni au jumapili,muda...
  19. T

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ubungo makoka kutokea Riverside kupitia kwa Mzee wa Upako inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika

    Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa wakijisikia wanafunga barabara hamna gari kupita, njia mbadala ni milimani na ndogo magari hayapishani...
  20. JamiiForums Tanzania Ajali tena Ubungo

    Mataa ya urafiki apa Bodaboda amepasuliwa na daladala muda huu daresalam ✍️ Awakomi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…