ubunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Niliposema hapa hapa JamiiForums kuwa Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said anajipendekeza Serikalini na CCM kwa Ajili ya Ubunge Kigamboni mkanibeza

    Rais wa Klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo Juni 28, 2025 amechukua rasmi fomu ya kuwani Ubunge katika Jimbo la Kigamboni lilipo Jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM). Hersi amekua miongoni mwa watu mashuhuri wanaokubalika katika jamii kutokana na uongozi wake...
  2. L

    Uzi Maalumu Kwa Ajili ya Matukio Yote Ya Uchukuaji na Urejeshaji wa Fomu Za Ubunge Kupitia CCM 2025.

    Ndugu zangu Watanzania, Nimeona niweke uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya matukio yote ya uchukuaji na urejeshaji wa Fomu za Ubunge kupitia CCM Katika Majimbo yote Tanzania Bara. Hii itasaidia kufahamu nani na nani wamechukua Fomu sehemu Fulani. Lakini pia baadaye kutakuwepo na Uzi wa Majina...
  3. Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  4. A

    Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam. Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye...
  5. PreGE2025 Mtangazaji wa Azam Tv, Hasheem Ibwe atangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Mwanga, Kilimanjaro kupitia CCM

    Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram mtangazaji wa kabumbu wa Azam Tv, na msemaji wa Timu ya Azam FC ametangaza nia yake ya kugombea ubunge wa jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro. == MWANGA NI YETU, KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE.... Salamu kwa Vijana wenzangu, Huu ni wakati wa...
  6. W

    GE2025 CCM Kigoma yawaasa vijana kujitosa mbio za ubunge na udiwani

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kigoma, kimesema zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea Ubunge na Udiwani zitaanza kutolewa Juni 28, 2025, huku wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wakitakiwa kujitokeza na kuchukua fomu za kugombea nafasi hizo muhimu, kwa kuwa ni haki yao.
  7. Simulizi: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    Karibu Bright and Genius Land, nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na ushindani mkubwa. Kila mmoja anaelezwa kwa sauti tofauti...
  8. GE2025 Bi. Ester James wa UVCCM ajitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge Jimbo la Katoro

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Kata ya Nyachiluluma wilayani Geita Mkoani Geita Bi. Ester James amejitosa katika kinyang’anyiro cha kugombea Ubunge katika Jimbo la Katoro. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
  9. Riwaya: Nichague kipi kati ya ubunge na ukuu wa mkoa au wilaya?

    (Bright and Genius Land Chronicles) Utangulizi wa Riwaya Karibu Bright and Genius Land nchi ya matumaini na changamoto, ambako kila kijana ana ndoto ya kuwa kiongozi, na jamii inaamini viongozi ndiyo funguo za maendeleo. Katika ardhi hii, vyeo vya Ubunge na Ukuu wa Mkoa/Wilaya vina mvuto na...
  10. Nichague kipi kati ya Ubunge na Ukuu wa Wilaya au Mkoa

    Kila mtu ana ndoto ya kuwa kiongozi, lakini swali kubwa linabaki ni nafasi ipi inafaa zaidi kwako? Ukitazama mbali, unaona Bunge likiangaza hoja na majadiliano, huku wabunge wakitoa ahadi na kuleta mabadiliko. Kwa upande mwingine, viti vya Mkuu wa Mkoa au Wilaya vinang’aa kimya kimya, vikimiliki...
  11. Wafahamu wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko mkoa wa Kigoma kwa mwaka 2025 kupitia CCM

    Orodha ya makada wanaotajwa kuwania Ubunge Jimbo la Kakonko katika mkoa Kigoma ni ndefu sana. Jimbo hili kuanzia mwaka 2020 - 2025 lilikuwa likiongozwa na Mhe Aloyce Kamamba kutoka kata ya Gwarama. Mbali na Mbunge aliyeko madarakani na kutokana na shauku ya kila kada kutaka kuongoza Jimbo hili...
  12. M

    CCM Yatibu Maandalizi ya Maandamano Makubwa ya Kumsindikiza Dkt. Kimei Kuchukua Fomu ya Ubunge Vunjo

    Vunjo, Kilimanjaro – 27 Juni 2025: Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Vunjo kimeingilia kati na kutibua maandalizi ya maandamano makubwa yaliyokuwa yamepangwa kwa ajili ya kumsindikiza Mbunge wa sasa wa Vunjo, Mhe. Dkt. Charles Stephen Kimei, wakati wa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya...
  13. PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
  14. Ukomo wa Ubunge; wananchi walisema nini kwenye rasimu ya Warioba?

    Moja ya hoja zilizopendekezwa na wananchi katika rasimu ya Katiba mpya ya Tume ya Warioba ilikuwa ni kuweka ukomo wa vipindi vya mtu kuwa mbunge. Mapendekezo yalisema ukomo uwe vipindi vitatu, hata hivyo, Rais Kikwete na bunge la katiba waliikataa hoja hiyo. Kama ilivyo duniani kote, utumishi...
  15. GE2025 CCM Moshi: Fomu ya Ubunge ni 500,000 na Udiwani ni 50,000

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Vijijini kimewaita wanaotaka kugombea ubinge,udiwani na viti maalum kujitokeza kuchukua fomu huku wakitaja gharama ni Sh.500,000 na 50,000. Aidha,kimepiga marufuku wagombea kuambatana na wagombea,shamrashamra za matarumbeta ngoma,misafara ya watu na...
  16. S

    Murtaza Mangungu kuchukua fomu ya kugombea ubunge Jimbo la Kilwa Kaskazini Jumamosi Asubuhi

    Mwenyekiti wa klabu ya Simba ambaye katika uongozi wake Simba imebamizwa mabao mengi kuliko wakati wowote ule Mhe Murtaza Mangungu siku ya Jumamosi Asubuhi anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge katika Jimbo la Kilwa Kaskazini. Mangungu ambaye amewahi kuwa mbunge wa Jimbo Hilo kabla ya...
  17. L

    PreGE2025 Salma Kikwete: Mchinga Wamesema Ubunge Mpaka Nichoke Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Huo ni ujumbe wa Mheshimiwa Salma Kikwete Mke Wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete. Ambapo amesema ya kuwa wana Mchinga wamemwambia ya kuwa Ubunge wa Mchinga ni mpaka achoke mwenyewe kuongoza. Hii ikiwa na maana ya kuwa yeye ndiye...
  18. M

    Barua ya wazi kwa Sheikh Ponda: Usigombee Ubunge

    Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu Mpendwa Sheikh Ponda, Assalaamu alaykum warahmatullah wabarakatuh, Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, ninakuandikia barua hii kama ndugu yako na Mtanzania ninayekuheshimu sana kwa mchango wako wa muda mrefu katika kupigania...
  19. Inawezekana Buchosa ndo jimbo rahisi zaidi mtu kushinda ubunge

    Hii video inaashiria wapiga kura wa Buchosa hawana mambo mengi. Kila la heri Komredi Erick Shigongo
  20. K

    Kwa wale watia nia ya ubunge kupitia CCM kila mtia nia aende agombee kwenye jimbo alikozaliwa

    Naona wengi wa watia nia kupitia CCM wamerukia kwenye majimbo ambayo siyo asili yao walikozaliwa. Kuna mmoja 2020 alitia nia kwenye Jimbo fulani akashindwa kwenye kura ya maoni. Mwaka huu pia nimeona amerukia Jimbo fulani kupitia CCM. Nawashauri wajumbe wa majimbo hayo kupitia CCM wakataeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…