Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Itilima mkoani Simiyu, Njalu D. Silanga amerudisha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo hilo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Itilima jiioni ya leo June 28, 2025
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special...
Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma, leo ameibuka katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Geita kwa lengo la kuchukua fomu ya kuwania ubunge kwa awamu nyingine.
Musukuma aliwasili katika ofisi hizo majira ya saa 9:35 alasiri, akiwa ameambatana na Katibu...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na Kada wa muda mrefu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhandisi Dkt. Gwamaka Samwel Mafwenga leo, Jumamosi Juni 28.2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kuwania nafasi ya Ubunge wa jimbo la Rungwe...
Ndugu zangu najaribu kuwaza kwa sauti baada ya mchakato wa chama cha mapinduzi wa kuchukua form kuanza leo, nimeona mambo ambayo yanatafakarisha sana.
KUmekua na wimbi kubwa la watu maarufu kifedha ama kisanii lakini pia familia maarufu kuchukua form za ubunge.
Ni sahihi kwa sababu wana haki...
DJ wa Msanii Diamond, RDJ amejitosa kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Jimbo la Mbagala Kupitia CCM.
RDJ amechukua fomu hiyo leo katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, zilizopo mtaa wa Taifa Pub, jijini Dar es Salaam.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima.
Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo
Nimewiwa kuja na uzi huu...
Amechezesha ligi kwa vijana mtaa kwa mtaa na jezi,kawatembezea wenyeviti na wajumbe umande kwenye ukame, vijana wazee ni Boka Bokaa, hii michezo ya wajumbe kaiweza au tusubirie kauka patupa tia mchuzi gari la udongo. Wana kigamboni tupo tiyari kwa nani
Naona bora niitafute akhera yangu badala ya kuitafuta dunia zaidi.
Nikiwa mbunge nitakosa muda wa kumtumikia muumba wangu badala yake nitamikia chama changu.
Mtume (s.a.w) amesema:
(Sahih Muslim)
2. Akasema tena:
(Tirmidhi, Ahmad)
3. Abdullah ibn Umar (r.a) amesema:
(Sahih Bukhari)
Aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amechukua fomu ya kuwania ubunge katika Jimbo la Ilongero mkoani Singida.
Nyalandu amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo zamani likiitwa Singida Kaskazini kwa vipindi viwili, amekabidhiwa fomu hiyo mapema leo Juni 28, 2025 na Katibu wa...
Baadhi ya viongozi nchini Tanzania wameanza kuchukua fomu za kugombea ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Miongoni mwa waliotangaza nia hiyo ni Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said, ambaye leo Jumamosi, Juni 28, 2025, amechukua fomu ya kugombea...
Mjumbe wa NEC Richard Kasesela, amechukua fomu kuwania Ubunge Jimbo la Rungwe lililopo mkoani Mbeya, Jimbo hilo ambalo lilikokuwa linaongozwa na Mbunge aliyemaliza muda wake Anton Mwantona.
Jimbo hilo linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa Mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke na...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum, Naghenjwa Kaboyoka amejiunga na chama cha ACT Wazalendo leo Juni 28 Dar es Salaam.
Kaboyoka aliyewahi kuwa Mbunge wa Same Mashariki 2015-2020 amepokelewa leo na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu kwenye ofisi za makao makuu Magomeni.
Mwaka 2020 Kaboyoka...
Huyu kijana nimemuona anayo maono makubwa na ataweza kusaidia ukuaji wa uchumi wa jimbo hili.
Kama safari hii atagombea kwa chama chochote nitampatia sapoti yangu ya hali na mali
Shehe THE BIG SHOW kipindi hiki msikosee
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
Rais wa Klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said leo Jumamosi, Juni 28, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Kigamboni kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Hersi amechukua fomu hiyo katika Ofisi ya CCM Kigamboni na amekabidhiwa na Katibu wa CCM wa Kigamboni...
Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
Na GENTAMYCINE nina TAARIFA za uhakika kuwa yule MNAFIKI Mstaafu wa Chalinze Bagamoyo Kawe Beach katika moja ya Mkakati wake mkubwa nawe dhidi ya Simba SC alikuhakikishia kuwa hakikisha wana Simba SC wanalia kila mara wakikutana nao ili huu mwaka akufanyie Mipango kwa yule ANAYEMMUDU sasa...