ubongo

Ubongo is a board game developed by Polish-born Swedish game designer Grzegorz Rejchtman. It originally appeared as Pyramidens Portar by the Swedish publisher Kärnan and won the Swedish Årets spel prize in 2003. The game was later released in Germany in 2005 as Ubongo by the publisher Kosmos and got 4th place at the German board game competition and was among the finalists in the International Gamers Award.
The game is for 2 to 4 players of ages 8 and above, and takes about 20 to 30 minutes. Ubongo is an abstract puzzle game, based on a pentamino variant, reminiscent of a combination of Tangram and Tetris. The game includes a simplified version with fewer pieces, for children and beginners.
Ubongo is well suited for a game for the whole family, because its mechanics entertain both children and adults. Solving puzzles is entertaining by itself and provides excitement when combined with competition with other players.
The word "ubongo" means "brain" in Swahili, a language currently spoken in Eastern and Central Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. CHAGOSI GERALD

    PostGE2025 10. Tukisusa JKT si kuukomoa mfumo bali tunaukomoa ubongo wetu wenyewe

    Haya ndiyo maneno ambayo vijana wengi wanashindwa kuyameza kwa sababu yana ladha kali kuliko ukoko wa ugali wa Mpangala. Ukisusa JKT, mfumo unacheka. Kicheko cha mfumo hakisikiki masikioni, lakini kinatetemesha mustakabali wako. Akikuona huendi, anasema: “Huyu ndio rahisi kutumia baadae. Hana...
  2. Dalton elijah

    Matumizi ya Pemba Yanavyosababisha Mtindio wa Ubongo na Saratani

    Matumizi ya pemba yamebainika kuongeza hatari ya kupata maradhi ya saratani, pamoja na kuongeza uwezekano wa mtoto aliye tumboni kuzaliwa akiwa na mtindio wa ubongo. Hayo yameelezwa na Dkt. Joseph Mwanga, mhadhiri mwandamizi wa Afya ya Jamii kutoka Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...
  3. Lord Denning

    Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Kwa sisi Wanasheria Kanuni na Sheria Kuu za Ushahidi zinasema Ushahidi usiotiliwa mashaka na unaopaswa kuzingatiwa moja kwa moja na Mahakama au Mfanya maamuzi ni Ushahidi wa Mtu aliyetenda kitendo husika au aliyekuwepo eneo la tukio wakati kitendo hisika kinafanyika. Kwa maneno ya Humphrey...
  4. Kimbesa11

    Hivi kweli Wapinzani mnasikiliza uongo wa Polepole hadi usku wa manane? Basi tunahijaji reforms za ubongo wa wapinzani, hivi mnajielewa kweli?

    Nawashangaa sana hawa wanaojiita Upinzani, hivi Hawa wapinzani wetu ni wakulala wanaskiliza press za polepole Leo kweli? Nadhani ni kukosa hoja kwa Wananchi, lakini si kukesha eti mnamsikiliza polepole usku wa manane Leo... This is stupidity, inamaana mnasahau mapema hivi? Hata kama ni...
  5. Meneja Wa Makampuni

    Kama unatumia akili za ubongo sahau kujua mambo haya

    Kabla ya kuingia kwenye elimu ya yote, ni muhimu kuelewa kwamba mwanadamu anaguswa na aina mbalimbali za elimu za kimaumbile ambazo husaidia kufafanua ulimwengu unaoonekana. Fizikia hutufundisha kanuni za mwendo, nguvu, na nishati; Kemia hueleza muundo na mabadiliko ya vitu; Baiolojia huchunguza...
  6. The Dictator

    Nina kichwa, ila hakina ubongo.

    Je, mimi ni nani?
  7. OMOYOGWANE

    Tumbo lako ni kama ubongo wa pili

    Wakuu mpo! Mfumo wako wa chakula (Tumbo) ni muhimu kama ubongo. Inashangaza kuona watu wakipanda boda boda wanavaa helmet ila wakienda kula wanakula kimazoea bila kulijali tumbo kama wanavyo kijali kichwa. Watu wengi hawalijali Tumbo, Shibisha tumbo lako kwa kula vyakura vizuri mboga mboga na...
  8. incognitoTz

    Aliyepigwa risasi ya kichwa na polisi wakati wa maandamano ya juni 17, Kenya Ubongo umekufa

    Dah.. Boniface Kariuki, yule muuza barakoa, aliyepigwa risasi kichwani na polisi wakati wa maandamano ya Juni 17, 2025. Kulingana na msemaji wa familia, Emily Wanjira, madaktari katika Hospitali ya Taifa ya Kenyatta wamesema kuwa ubongo wa Kariuki umekufa (brain death), ingawa viungo vyake...
  9. S

    Ujue Ubongo wa binadamu ulivyogeuzwa kwa kanuni ya (High na Low) part2

    Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili. Ubongo wa kushoto Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa kulia. Yaani mfano shambulio la ubongo wa kushoto linafanya viungo upande wa kulia vipararaizi...
  10. S

    Ubongo wa binadamu umegeuzwa na unafanya kazi kwa kanuni kuu mbili tu (High na low), ukijua kuzitumia unatoboa

    Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo! UBONGO WA BINADAMU Kwa...
  11. youngkato

    "Wanafunzi wa chuo mko wapi? Chatgpt ni kama calculator ya ubongo wako

    Siku hizi maisha ya chuoni yamebadilika sana kwa sababu ya AI (Artificial Intelligence). Kuna AI tools ambazo zinaweza kusaidia sana kwenye masomo na kazi za chuo. Badala ya kupambana peke yako, unaweza kutumia AI kama rafiki wa kujifunza. 👉 AI inaweza kukusaidia kuandika assignments, kufanya...
  12. The Burning Spear

    Comfort Zone imedumaza Akili za Wana CCM Hawana Ubunifu Kabisa

    GT Niwapongeze Chadema kwa energy na ubunifu mkubwa.mara zote comfort.zote hudumaza ubongo ndicho kinachowapata CCM. Hawafikiri kabisa nje ya box. NRNE walipaswa waione mapema kabisa na kujipanga.sasa naona wanakuja na tunatick sijui nani kawaamusha mchana huu aha 😆 😄 wakti NRNE inakaribia...
  13. Chuo Cha Tafakari

    Jumapili Hii: Umewahi Kujiuliza Ubongo Unaotumia Kupokea Injili Unafanyaje Kazi? Je Mawazo na Maadili Yako ni Yako Kweli au ni ya Mchungaji?

    Nimewaza mpaka nimewazua ; kama Ulikosa tafakuri hii Usiku wa Jumamosi (Jana) basi jumuika nami Leo hii tuzichangamshe bongo zetu tulizotunukiwa na Muumba 👇👇👇 https://www.jamiiforums.com/threads/safari-ya-akili-huru-tafakuri-ya-maisha-fikra-na-uhuru-wa-ndani.2348747/
  14. third eye chakra

    Magic mushrooms inanguvu kubwa sana yakufanya ubongo wako uiingie katika ulimwengu wakufikirika wa miujiza

    Magic mushrooms sio tuu kukuingiza katika ulimwengu wa maajabu Pia ninzuri sana kwa wale wanao Fanya meditation yakiwango cha juu sana. Hii ni ninzuri sana kwa wale wavivu wakukaa kitako muda mrefu kwenye tahajudi. Utakapo tumia hii kitu nihapo hapo itakuingiza katika ulimwengu wako...
  15. Prof_Adventure_guide

    Teknolojia Inatu-Cheat Live! AI Ina-Drain Ubongo Wetu Bila Hata Kutugusa!

    Wacha nikwambie kitu moja straight up bila kuzungusha — hii AI ni kama dope mpya ya kizazi cha dot com. Inakufanya ujione mwerevu, lakini deep down ina-slow kill akili zako. You feel me? Yani mtu anakaa home, hawezi hata kuandika paragraph bila kumtumia ChatGPT. Bro, that’s soft! That ain’t it...
  16. M

    Msaada daktari bingwa wa mishipa ya fahamu na ubongo MOI

    Habar wakuu,nimefika dar kwa tatizo la mtoto wangu miaka9 anashida ya mgongo kunyooka,nilileta kwenu mpaka vipimo vya x-ray mkashairi Nifike moi hasa hasa nionane na daktar bingwa wa mishipa ya fahamu kwa uchunguzi Sasa nimefika hapa naomba kuonana nahao nimekuwa directed kwa datar yoyote tu...
  17. Stability

    Naipenda sana hii position, ubongo wangu husamabaratika kabisaaa.

    Hakuna raha itakayofanania kama pale mrembo umemuweka doggy au reverse kow girl alafu ageuke anakuangalia kwa huruma akisikilizia utamu. Aiseee, kongole kwa warembo wote♥️♥️ wanaojituma kwa bed.
  18. maiko sultan

    Tabia 11 zinazoweza kuharibu ubongo wako

    1. USINGIZI USIO WA KUTOSHA Kwa mujibu wa kituo cha Sayansi ya mfumo wa neva (Neurology) cha Marekani, uharibifu mkubwa zaidi kwa ubongo wetu unasababishwa na kutokuwa na usingizi wa kutosha. Usingizi wa kutosha kwa watu wazima unamaanisha saa 7 hadi 8 za usingizi kati ya saa 24 kwa siku...
  19. Ojuolegbha

    Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde

    Tanzania Imeandika Historia Kwa Kuanza Kufanya Upasuaji Wa Ubongo Kwa Kutumia Akili Unde. Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeanza rasmi upasuaji wa ubongo kwa kutumia teknolojia ya akili unde ‘Brain Lab- Neuro Navigation System’ ambayo husaidia...
  20. Webabu

    Aliyepandikizwa kibanzi cha kusoma akili kwenye ubongo amshukuru Ellon Musk

    Katika miaka ya karibuni watu wamekuwa wakiogopa kuwekewa kifaa maalum kwenye ubongo kwa siri wakihofu kutumika kama mazombi kufanya kazi za mabeberu.Kumbe hiyo teknolojia si rahisi kihivyo. Norland Arbaugh ni miongoni mwa watu wa mwanzo kukubali kufanyiwa majaribio hayo kufuatia kupooza mwili...
Back
Top Bottom