Simba imepoteza mechi moja na droo. Camara amesababisha goli la kizembe ambapo alipaswa ama kuuacha uende nje ama kudaka na alipotema kuurukia tena.
Kuanzia jana, Simba wamerusha taulo ulingoni, Yanga hawapotezi tena mechi na Simba hatokaa kumkutia Yanga.
Kayoko naye ni mhsika, wakati wa faulo...