ubaya ubwela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Munch wa Annabelle

    Simba hatochukua ligi kuu hadi abadilishe msemo wa ubaya ubwela

    Shalom shalom Kwasisi watu wa Pwani tunaojua maana ya neno ubaya ubwela, tunajua uzito wa hili neno na maana yake hasa Kwenye masuala ya upande wa giza. Simba abadili msemo au aendelee kuteseka, mm kama mwanajangwani kwasasa nimejawa na roho ya huruma hivo ningependa wapate chochote msimu huu...
  2. KING MIDAS

    Ubaya Ubwela kunawaka moto, kumeumana

    WAMEMFANYIA MWENETU UBAYA UBWELA HUKO SASA WANATAKA KUPELEKANA FIFA Ishu nzima ilianza pale Captain aliposepa wakamsajili beki mmoja mzawa kutoka hapa hapa Timu za Ligi kuu Huyo beki ni mzuri sana lakini changamoto ni kwamba sio mzoefu wa mechi za kimataifa sasa coach wao akasema anamtaka...
  3. mwehu ndama

    GE2025 Video: Wajumbe wawafanyia ubaya ubwela wabunge wa COVID-19

    Nimewasogezea vipande kadhaa vya picha mjongeo , vikiwaonyesha WAJUMBE hatari wa fisiemu wakifurahia matokeo ya mchakato wa kura za maoni , hasa baada ya kuwafanyia kitu mbaya wabunge wa COVID-19, ester Bulaya, Ester matiko , Nusrat Hanje bila kumsahau bilionea wa nzega mzee wa sinki nje ya box...
  4. Carasco Putin

    Ubaya Ubwela

    Miaka 4 ya simba kukosa ubingwa wa NBC Kachukua ngao ya jamii. Kafika fainali CAF. Kafika robo fainali mara 3 mfululizo klabu bingwa Afrika. Kashiriki africa football league mbele ya rais wa FIFA. Miaka 4 ya uto bin tofali. Kukosa ubingwa ligi kuu. Hakupata kombe lolote hata la kuazima...
  5. MwananchiOG

    Ubaya ubwela umeondoka bila kombe hata moja! R.I.P Tutazamie msemo gani mwingine?

    Mwanzoni mwa msimu tuliambiwa Bwana Debora anaruka vichwa hatari, watu watapata tabu sana! Tukaambiwa streka refu kuliko goli, akigusa tu! IMOOO Ghafla mido ikaibiwa airport! Tukajua hii Man city au PSG! Punde si punde tukaanza kuona vitu vya Budo sanchez na jenshale 😂 zee la mikwaju ya penalty!
  6. GENTAMYCINE

    Kama mlikuwa mnatuchukulia Simba SC poa poa nadhani kwa hiki kidogo tulichowafanyia leo ndiyo mtajua hutukukosea kuja na Msemo wa UBAYA UBWELA

    “Tumejaribu kuwapigia simu Simba Sc kuja kwenye Press lakini hatuwapati, kwakuwa hili ni jambo la kanuni hatuwezi kukaa muda wote kuisubiri timu, tuendelee na ratiba nyengine taarifa zaidi tutatoa kwa kurasa zetu” – Karim Boimanda – Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Chanzo: East Africa TV dakika 30...
  7. Heparin

    Ubaya Ubwela watua Singida Black Stars, watishia kususia michezo iliyobaki na kuhamia ligi ya Zanzibar

    Afisa Habari wa Singida Black Stars, Hussein Massanza amezema wameiandikia bodi ya ligi kuu (TPBL) wakitaka ufafanuzi wa masuala kadhaa ikiwemo kuonewa na waamuzi wanapocheza na Simba SC. Amedai wasipopata majibu ya kuridhisha hawatashiriki michezo iliyobaki, watajitoa kwenye Michuano yote na...
  8. Pdidy

    MSemo wa Ubaya ubwela mbona siusikii leoooyaani wana Simba walivyo na stress leo usishangae kesho asubhi "Simba yajiunga na CHAUMMA

    Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI "SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
  9. GENTAMYCINE

    Mke wa Gambo kusema kuwa Wanawake wa Kaskazini hawaolewi na Maboya Mdomo uliteleza tu au kamaanisha ili Wengine tumjibu ki UBAYA UBWELA?

    Nami pia namjibu Mke wa Gambo kuwa hakuna Eneo ambalo lina Wanawake MABOYA kama la Kaskazini mwa Tanzania ambako anatoka Yeye Mke wa Gambo. Kwanza nilikuwa simjui Mkewe Gambo, ila nilivyomuona tu AKIMNADI Mumewe kwa Nguvu zote Jukwaani nimegundua ya kuwa kumbe hata tu Dada wangu wa Kazi amemzidi...
  10. M

    Stellenbosch imeingia kwenye mfumo, hii tumevuka pia

    Nimechungulia kila kibuyu, nimeenda kwa wenzangu wanaojua kuangalia kama mimi, Leo kama unataka ckukuu iwe njema wekea simba tu kwenye betting, kipigo kitakatifu atakula mwafrika kusini. Iwe mvua iwe Jua ni mauaji tu hapa Zanzibar Leo.Dalili zote za maangamizi zimeonekana yaani ni kama
  11. DELETED ACCOUNT

    Harusi ya Aziz Ki imefanyiwa Ubaya Ubwela

    Kuna watu kule utopoloni wanaodhani wana akili kuliko watu wengine walipanga harusi ya Aziz Ki iende kufunika droo ya robo fainali ya CAF. Harusi ikajaa media za youtube ili tu kutafuta trend. Wazee wa Ubaya Ubwela wakasema aha kumbe tunaenda hivi? Kuna tukio likatokea huko Makanjiro sijui au...
  12. Holoholo-Baba Kijacho

    FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

    Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili. Updates za vikosi vya timu...
  13. jannelle

    Ukiniomba namba, nakuomba hela, ubaya ubwela

    Tumechoka usumbufu usio wa lazima, now ni Tit for Tat😂, ninyi si mabingwa bwana basi twendeni hivyo tu hakuna kujaza manamba yasio na faida, sms eti "VIPI NIAMBIE" khaa🚮 2025 nimeamua ukiomba namba nami naomba pesa, Shwaa #Jocking😂😂
  14. ANT DRUGS

    Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi. Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja

    Simba hii ya ubaya ubwela mtaiona vizuri Jumamosi.Kila kitu kipo sawa mipango yetu nje ya uwanja yote imekamilika. Kila kitu kipo mikononi mwetu sisi tu kuamua tufunge kwa style ipi,tuamue kugaragara kwenye 18 au 17 ni sisi tu. Mtanielewa Dec,28 dadekii
  15. Roboti Wa Nape

    Kwa hili: Nawapongeza mashabiki wa simba na walinzi wa uwanja wa Taifa kwa ubaya ubwela waliowafanyia waarabu leo

    Wote tumeangalia mechi hii. Baada ya kufungwa goli la 2 mashabiki na viongozi wa waarabu wakaanza vurugu. Inawezekana ni kweli wamekasirishwa na muda wa goli kufungwa ila kitendo cha kungoa viti na kuanza kufanya vurugu hakikubaliwi na mtu yoyote na kwa namna yoyote ile. Binafsi nawapongeza...
  16. Magical power

    Ubaya ubwela 😂😂😂

  17. God is Dead

    Is it happening?

    I mean existential crisis Angalia ndugu yake na kurwa sasa hivi kwa mtaani anatamba na ubaya ubwela Vijana mtandaoni wanahangaika na uwepo wa mungu, they feel his death Viongozi wa serikali na dini wanacharuana hadharani! Iko wapi heshima?! Kuongezeka kwa wimbi la hawa raia wasiokula nyama...
  18. Kiungopunda

    Wana Ubaya Ubwela wenzangu: tujiandae kwa ajili ya ubaya ubwela dhidi ya Al Ahly Tripol mechi ya nyumbani.

    Tumeona jana, baada ya mechi kuisha wale waarabu wametufanyia vurugu sana hata kutuumizia kipa wetu Aishi Manura kwa kumpiga na chupa na kumpasua kichwani. Kuna video zipo kwenye page ya salehe Jembe aliyekuwepo kule Libya zikiomedha namna gani waarabu walitufanyia vurugu na kupelekea majeruhi...
  19. J

    ACT Wazalendo kutumia Kauli mbiu ya " Ubaya Ubwela" kwenye Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amesema katika kuhakikisha mshindi halali ndiye anayetangazwa kauli mbiu yao kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu itakuwa " Ubaya Ubwela" Shaibu amesema hawatakubali yaliyotokea 2020 yajirudie Mlale Unono 😀
  20. Pdidy

    Padre aliesema ubaya ubwela kanisani ahamishwaa

    St Moore mbezi beach leo kulilipuka furaha baada ya padre aliekuwepo kupewa masaa matatu aelekee St Joseph alipewa mda wa kukabidhi funguo. Tu Padre huyu alilalama jpili kaniisa limejaa wazee hawana msaada wowote wako kuchunguzana limeishia wapi ooh zimeliwa ngapi...zimetumika ngapi baadae...
Back
Top Bottom