Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani.
Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...