Wanaukumbi.
Delcy Rodríguez ameapishwa kuwa rais wa mpito wa Venezuela katika kikao cha bunge kilichoanza kwa wito wa kuachiliwa kwa rais aliyeondolewa na kuzuiliwa nchini Marekani Nicolás Maduro.
Rodríguez, 56, makamu wa rais tangu 2018, alisema aliumizwa na kile alichokiita "kutekwa nyara"...