uadilifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dunia mara nyingi huwajaribu watu wenye uadilifu

    Mara nyingi watu wanaojaribu kuishi kwa uadilifu, kanuni na heshima ndio wanaopitia majaribu mengi zaidi. Kisaikolojia, hii sio bahati mbaya. Maisha yana tabia ya kuwajaribu zaidi wale wanaojaribu kusimama imara kwenye misingi yao. Ni kama chuma kinavyopitia moto mkali ndipo huwa imara zaidi...
  2. H

    Waziri Kombo asisitiza ufanisi na uadilifu kwa watumishi wa wizara

    WAZIRI KOMBO ASISITIZA UFANISI NA UADILIFU KWA WATUMISHI WA WIZARA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasisitiza watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi, uadilifu...
  3. Tume ya Utumishi wa Mahakama: Mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma.

    Uzi huu ni maalum Kwa kutoa pongezi kwa Tume ya Utumishi wa Mahakama kama mfano wa Uwazi, Uharaka na Uadilifu Kwenye Ajira za Umma. Nawapongeza kwa dhati Tume ya Utumishi wa Mahakama kwa namna wanavyosimamia mchakato wa ajira kwa uharaka, uwazi na weledi mkubwa. Hili ni jambo la kuigwa...
  4. M

    Mwabukusi: Kutokufaulu mithani wa uwakili ni kukosa uadilifu, siyo kuonewa

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi ameyasema hayo katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026
  5. H

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili - Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

    Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma wanazostahili - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 27, 2026...
  6. Je, Kukosekana kwa Uadilifu wa Kitaaluma katika Taasisi za Dini ni Sababu ya Wanaume Kukwepa Ibada?

    Wanabodi katika jamii yetu, taasisi za dini zimekuwa zikitarajiwa kuwa mfano wa maadili mema, uadilifu, uwajibikaji na haki. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni kumekuwepo na malalamiko ya wazi na ya siri kuhusu baadhi ya viongozi wa dini kujihusisha na vitendo vinavyokwenda kinyume na misingi...
  7. Siku 93 na tutaendelea kuhesabu: Polepole yuko wapi, na wako wapi wale wenye uadilifu kama wake?

    Imepita zaidi ya miezi mitatu tangu aliyekuwa “balozi” wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM atoweke. Tukio hili, kwa wengi, lilikuwa tone la mwisho kukata kabisa imani yoyote kwamba CCM bado ni chama kinachoendeshwa na mijadala ya wanachama wake na think tanks...
  8. Msingi wa uzalendo na uadilifu wa vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania ni upi?

    Nimekuwa nikifuatlia mwenendo wa matukio mbalimbali hapa Tanzania Kuhusu rasilimali zetu mda mrefu toka enzi za mkapa kashifa za Rada na EPA. Tukija kwa Kikwete mambo ndo yalikuwa ya hovyo japo hii ESCROW na DOWNS Msingi wake ni awamu ya mkapa. Ila kipindi cha Kikwete uozo ulikuwa mwingi...
  9. Je, kukosa akili, kuwa Chawa na kusifia viongozi ni vigezo vinavyofaa kuwa mbunge kupitia CCM badala ya uadilifu na utendakazi?

    Siku hizi msema kweli, muadilifu , mtu wa haki na mtetezi wa wanachi anayepinga udhalimu, ufisadi , rushwa nk, hastaili kuwa mbunge kupitia CCM? Je, CCM inahitaji watu wapambe , chawa, wasiowajibika kwa wananchi na wenye muonekano kama wasio na akili ndio vipaumbele vya watu wanaostahili...
  10. Kiapo sio sababu ya kufanya dhulma na Uhalifu. MTU asitumie kiapo kama fimbo ya kukugeuza wewe ufanye ushetani

    KIAPO SIO SABABU YA KUFANYA DHULMA NA UHALIFU. MTU ASITUMIE KIAPO KAMA FIMBO YA KUKUGEUZA WEWE UFANYE USHETANI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unapoapa apa kiapo cha kutetea Haki. Kupinga dhulma. Kama ni kulinda nchi utaapa kuilinda kwa Haki. Kama ni kumlinda Kiongozi utaapa kumlinda kwa...
  11. W

    PreGE2025 Othman Masoud awataka wanaohubiri amani wazingatie haki na uadilifu

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud, amesema suala la kutafuta amani ya nchi linahitaji dhamira ya kweli, inayojali misingi ya utu, haki na uadilifu, wala si jambo la msimu kwa ajili ya kupata shukrani na fadhila za kisiasa. Amesema kwa maoni yake, Kamati ya Amani Zanzibar...
  12. PreGE2025 Mjumbe wa INEC, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari: Wasimamizi wa maboresho ya Daftari la Kupiga Kura mfanye kazi kwa uadilifu

    Mjumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Mahakama Kuu, Asina Omari, amewataka watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ngazi ya Halmashauri, katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, kusoma maelekezo ya Tume kupitia vitabu vya maelekezo walivyopewa ili...
  13. Maisha ya uadilifu ni magumu sana. Sasa hapa sijui nitasaidika vipi kwa hiki kipindi

    Haya mambo kwangu kama mwanaume rijali ninayemudu maisha yangu ya kula milo yote mitatu, kwakweli yananipa shida. Ni vurugu tu za familia, wife kabeba watoto na kuondoka. Hapa nilipo natembea nikijua kabisa ana RB yangu ya kukamatwa. Sasa zaidi ya week 2 mtu hayupo nyumban karudi kwao na...
  14. Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
  15. Waziri Chana apongeza utendaji kazi TANAPA, asisitiza uadilifu kufikia malengo

    ARUSHA WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato yatokanayo na shughuli za utalii. Ametoa pongezi hizo alipotembelea makao makuu...
  16. Waziri Chana Apongeza Utendaji Kazi TANAPA, Asisitiza Uadilifu Kufikia Malengo

    WAZIRI CHANA APONGEZA UTENDAJI KAZI TANAPA, ASISITIZA UADILIFU KUFIKIA MALENGO WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na ukusanyaji wa mapato...
  17. K

    Waziri Rajab Salum: Nguzo ya Uadilifu na Uzalendo Licha ya Fitina na Propaganda

    WAZIRI Rajab Salum ameendelea kutekeleza kwa uaminifu maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kupambana na ufisadi na uhujumu uchumi, licha ya kuwepo kwa mashambulizi ya uzushi na propaganda zinazolenga kumchafua. Wanaharakati wa mitandaoni kama Maria Sarungi, Hilda Newton na wengine...
  18. Jeshi la Polisi lijisafishe kwa Watanzania kwa tuhuma za kukosa uadilifu

    Jeshi letu la police Sasa Watu wengi hawaliamini kama kweli lipo kutekeleza majukumu yake kikatiba ya kulinda raia na mali zao Majeshi mengine yanakubalika Kwa uadilifi na kufanya kazi nzuri Mfano Jeshi la wananchi JWTZ linatimiza majukumu yake ya kulinda mipaka ya nchi na linaheshimika sana na...
  19. Waziri Ndejembi aelekeza Watumishi wa Ardhi wasio waadilifu kuchukuliwa hatua

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemwelekeza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kumchukulia hatua kali za kinidhamu Afisa Ardhi Mwandamizi Gaudence Mtalo kwa kusababisha mkanganyiko kwa kukosa uadilifu katika kutekeleza majukumu yake. Waziri Ndejembi ametoa...
  20. Waziri Ndejembi ataka uadilifu na kutenda haki kwa watumishi wa sekta ya ardhi

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka watumishi wa sekta ya ardhi nchini kuongeza uadilifu na kutenda haki katika utekelezaji wa majukumu yao sambamba na kuongeza kasi katika utendaji kazi. Mhe. Ndejembi namesema, suala la ardhi ni gumu na linahitaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…