Kuna vijana wanatembea huku nafsi zao zimejaa majeraha . Wanabeba matarajio ya familia, presha ya mitandao ya kijamii, changamoto za mahusiano, na khofu ya kesho.
Tunatakiwa tuwe "role model", tuwe na mafanikio mapema, tuwe wazazi wa kesho, tuwe na furaha muda wote , lakini nani ametufundisha...