tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa nini mvumbuzi wa Chipsi Mayai/ zege, chakula cha kipekee cha kitaifa cha Watanzania wote hajapewa tuzo ya kitaifa?

    Mataifa mengi huwa na vyakula vyao vya kipekee ambavyo ni kama sehemu ya utamudini wao kitaifa. Wako walio na piza, mabaga, taco, shawarma, matoke, githeri, kimchi n.k. Nafikri kwa sisi Tanzania Chipsi mayai ndio chakula cha kipekee kinachotuunganisha kiutamudini Watanzania wote kama taifa na...
  2. Kasoro: Tuzo za BMT aina Muziki unaopigwa hauendani na Waliohudhuria

    Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...
  3. Tuzo za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ukumbi wa the Dom Masaki Leo

    Leo ndio usiku ambao wanamichezo mbalimbali Tanzania watapewa tuzo katika shughuli inayoendelea Sasa hapa ukumbi wa the Dom Masaki. Mgeni rasmi ni Kasim Majaliwa na MC ni msemaji wa Azam NB Nje ni gari tupu ============= Ahmed Arajiga: Ameshinda tuzo ya Mwamuzi bora wa kiume Esther Chabruma...
  4. Naangalia tuzo za Ligi Zanzibar (FARAFA) wameweka taarabu

    Ndugu zetu wazenji bhana 😄😄😄 Taarabu mpaka kwenye mpira wa miguu!. Anyway tuzo zinanikumbusha mahafali yangu ya standard seven.Hongereni
  5. Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
  6. Farhan: Siku ya mwisho career ya Fei itakua judged kwa vikombe na Tuzo Binafsi

    Niliongea hapa na watu mkaleta Njaa zenu coz Watanzania wengi tunatamaa sana na tunawaza hela sana na ndio maana hata viongozi vijana nao wamejaa Rushwa because wanawaza pesa tu wakipata nafasi wapige pesa tu. Farhan kasema nilichosema kwenye uzi wangu niliondika hapa leo Pia soma - Mchezaji...
  7. Naishauri Yanga na wachezaji kususia siku itakayopangwa na TFF kutoa tuzo za masharti

    Ndugu zangu wa Yanga kama nilivyoandika kwenye kichwa changu cha habari. Siku itakayopangwa na hao wahuni kwa lengo la kutoa hizo tuzo zao, msihudhurie. Maana itakuwa haileti mantiki. Mkifanya hivyo, litakuwa ni funzo kubwa kwao. Ila mkihudhuria, basi mtambue fika hawataacha kuendelea...
  8. H

    Tuzo za ligi kuu kutolewa siku ya ngao ya jamii

    Shirikisho la soka nchini TFF limetangaza kuwa tuzo za TFF zitakuwa zinatolewa kwenye ngao ya janii
  9. F

    SoC04 Matumizi ya Tuzo ya Milioni 50 kutoka Jamii forums kwa Maendeleo Binafsi na ya Nchi kwa Miaka 25 Ijayo

    Utangulizi Kushinda shindano la "Stories Challenge" na kuibuka mshindi wa shilingi milioni 50 ni tukio la kipekee linaloweza kubadili maisha. Malipo haya ni fursa adhimu ya kuweka msingi imara wa maendeleo binafsi na ya nchi. Katika makala hii, nitaelezea jinsi ninavyoweza kutumia fedha hizi kwa...
  10. G

    Ili kujenga jamii bora yenye maadili, ianzishwe tuzo ya kutunza ubikra

    Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti vitolewe ili wavitumie kutafuta waume bora .
  11. Tune Shaaban Salim: Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Uandishi Bunifu Maktaba

    TUNE SHAABAN SALIM MWANDISHI NGULI NA MSHINDI WA TUZO YA NYERERE YA BURT AMEFIKA MAKTABA Leo nimetembelewa Maktaba na mwandishi Bingwa na Mshindi wa Tuzo ya Nyerere ya Burt inayoshindaniwa na waandishi vijana kutoka Tanzania, Ethiopia, Kenya na Ghana. Amekuja kunipa kitabu chake, ''Posa za...
  12. M

    Nitashangaa sana Juma Mgunda akikosa tuzo ya mwezi

    Haihitaji kwenda chuo kikuu kujua kuwa kocha bora wa mwezi ni Juma Mgunda
  13. EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  14. Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kinara Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika

    Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Dkt. Tausi Kida amepokea Tuzo ya Taasisi Bora ya Uwekezaji Afrika iliyokwenda Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), Mei 8, Abu Dhabi. Akizungumza na Vyombo...
  15. G

    PreGE2025 Ipo siku waliotaka "kukiuka katiba" baada ya kile kifo watapewa tuzo

    Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege aina ya tai. Kiukweli pasipo inda, chuki wala choyo watu hawa wanastahili tuzo. Mambo hivi sasa...
  16. M

    WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

    Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi. 1. ERYTHROCYTE Huyu mfuasi kindakindaki wa...
  17. I

    Maprofesa kumi na wanne wa Israeli walitunukiwa tuzo za juu za utafiti wa EU

    Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi. Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
  18. Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
  19. Tuzo za Malkia wa Nguvu zinahitaji marekebisho

    Ahsante Clouds aksante Kusaga and your team, kuna watu wamefanya mambo makubwa, pengine record zao si rahisi kuzivuja, mfano Mama Mongera na spika mstaafu Makinda na wengine wengi wameshapewa tuzo nyingi na pengine idadi yake hawaimbuki; Lengo la tuzo ni kukumbuka mchango wake lakini la muhimu...
  20. Jennifer Dickson: Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga atunukiwa tuzo ya Malkia wa Nguvu Ajaye 2024

    Mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga, Jennifer Dickson akifurahia tuzo ya Malkia wa Nguvu ajaye katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. ------ Nyota ya Mwanafunzi wa Kike wa kitanzania Jennifer Dickson na mwanzilishi wa maktaba ya kijamii wilayani Mwanga anayesoma elimu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…