tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  2. Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

    Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na...
  3. Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  4. Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  5. Baada ya Tuzo ya Wachekeshaji. Serikali na wadau iandae Tuzo za waandaji bora wa Maudhui Mitandaoni.

    BAADA YA TUZO YA WACHEKESHAJI. SERIKALI NA WADAU IANDAE TUZO ZA WAANDAJI BORA WA MAUDHUI MITANDAONI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Niwapongeze waandaji wa Tuzo za Wachekeshaji 2025, serikali na Wachekeshaji wote walioshinda Tuzo hizo. Mimi ni mdau wa vichekesho hasahasa Standup Comedy...
  6. Kwahiyo ukaribu wa Mshindi Leonardo na Ommy Dimpoz, Injinia Hersi Said pamoja na GSM ndiyo Kigezo Kikuu cha Yeye Kushinda Tuzo leo Masaki?

    Nikiwa kama Mdau ninayejitegemea wa Uchekeshaji na Mtaalam pia Leonardo siyo Mchekeshaji bali ni Mbahatishaji tu!!!!
  7. TANROADS Yapokea Tuzo ya Kimataifa Kutokana na Mchango Wake wa Kuboresha Usalama wa Barabara (Safer Road)

    TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amepokea tuzo ya heshima katika mashindano ya kimataifa ya usalama wa barabara, iRAP Gary Liddle...
  8. L

    Tuzo ya Nobel Yanukia Kwa Rais Samia. Mapambano Yake ya kupigania Nishati Safi Ya kupikia Yampaisha Duniani Kote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania jasiri Muongoza Njia Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,Ndio Kinara wa kupigania Nishati Safi ya kupikia Barani Afrika Na Duniani Kwote. Ndio Sauti ya Wanawake wote ,ndio mkombozi wa wanawake...
  9. Eti beyonce ameshinda tuzo ya album bora ya music wa county!!!!!!!!

    Juzi nilikuwa live kufuatilia utoaji wa tuzo za grammy uko kwa beberu trump Matukio mengi yalienda sawa kabla ya bwana Ye kuingia na demu wake redcarpet akiwa uchi ad wakatimuliwa Ila tukio la kuvunja moyo ni beyonce kushinda tuzo la album bora la music wa country 🤣🤣 Inamaana wamarekan...
  10. The gate Goalkeeper award siyo tuzo toka kwa mabeberu?

    Hawa mabeberu siyo wa kuwachekea hata kidogo. Hii tuzo ya Gates Goalkeeper siyo ya mabeberu hii?
  11. Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  12. Rais Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award

    Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajia kupokea tuzo ya “The Gates Goalkeepers Award” ikiwa ni kielelezo cha matokeo makubwa ambayo yamepatikana katika uongozi wake kufuatia ripoti ya utafiti wa demografia na afya ya mwaka 2022 inayoonesha kupungua kwa vifo...
  13. Wanaotoa tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo, hawajui mpira

    Imekuwa ikishangaza hawa watoa tuzo ya mchezaji Bora ni kilevi Gani hutumia Juzi hapa wamempa Max Nzengeli tuzo ya mchezaji Bora wa mchezo na Max aliingia dakika ya 77😂 Sawa Max Nzengeli ni mchezaji wangu lakini naona Kwa Muda alicheza haustahili angepewa Aucho Jana kapewa Ateba. Mchezaji...
  14. Tems jana kashinda tuzo ya Grammy, Zuchu yuko busy kumpikia Diamond kababu na vileja. Hawa wasanii wanakwama wapi?

    Wakuu, Hivi tutaendelea kuongozwa na Wanigeria hadi lini? Tems jana ameshinda tuzo ya Grammy kipengele cha Best African Music Performance. Mwaka jana alishinda Tayla kipengele hicho hicho. Meanwhile wasanii wa kibongo wako kimya tu kama hawaoni tuzo hizi au haziwahusu. Ni aibu kubwa sana...
  15. Kendrick Lamar na record ya dis track ya kwanza kushinda tuzo za Grammy

    Kendrick Lamar amefanya yake kwenye tuzo za Grammy. Ngoma yake ya Not Like Us imezoa tuzo za kutosha. Drake na wafuasi wake wana wakati mgumu sana.
  16. KERO TANESCO Morogoro wanaongoza kwa uzembe, Wapewe tuzo.

    Hawa mabwana mvua ikinyesha kidogo tu afisa mkata umeme anakata mji mzima na hawafanyagi kazi usiku hivyo mvua ikinyesha wakikata sa 1 jioni hiyo ni mpaka kesho yake. Napendekeza meneja wa mkoa apewe tuzo kwa niaba ya afisa mkataji mwandamizi. Kipindi cha JPM ukiwapigia simu umeme umekata...
  17. TFF wanatakiwa kumpa Job tuzo yake mapema

    I salute kinsmen Kwa sasa Africa mashariki na kati na pengine Africa nzima inaeleweka wazi hakuna beki wa kati kumzidi kitasa Dickson Job! Huyu kijana ana uwezo mkubwa sana Composure ya hali ya juu Passing ability ya kuwazidi hata viungo wote pale simba Marking ya hali ya juu sana, Kama...
  18. King Kiba apewa Tuzo ya heshima nchini Nigeria

    NXT Honors kutoka nchini Nigeria imemtangaza rasmi nguli wa muziki na Mfalme wa Bongo Flava Alikiba, kama mshindi wa Tuzo ya Heshima ya Maisha ya 2024, na kumfanya kuwa mtu wa kwanza asiye Mnigeria kupokea heshima hii kubwa. AliKiba ametajwa kama msanii mwenye mafanikio akiwa na zaidi ya miongo...
  19. PreGE2025 BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo

    BUSOKELO: Kanisa la TAG Latoa Tuzo kwa Mbunge Mwakibete Kutambua Kazi Inayofanyika Jimboni Busokelo KANISA LATAMBUA KAZI ZA MBUNGE MWAKIBETE, AKABIDHIWA TUZO IBADA YA MWAKA MPYA 2025 Katika Ibada ya Mwaka Mpya Iliyofanyika Katika Kanisa la Tanzania Assemblies of God JCC Lwangwa imetambua kazi...
  20. TUZO ZA BURUDANI MBEYA 2024

    Blog ya @burudanimbeya wanakupa taarifa ya utoaji wa Tuzo Kwa wanasanaa wote nyanda za juu kusini ikijumuisha wanamichezo na dhumuni la hizi Tuzo ni kuonesha kutambua mchango wa watu Hawa hapa nyumbani. Kikubwa tulichovutiwa SISI ni namna ya mchakato wa upigaji kura ulivyowekwa kisasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…