tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka atunukiwa TUZO ya heshima na Uchapakazi uliotukuka

    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwasa, akimkabidhi Tuzo ya heshima kama kiongozi kijana wa mfano Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka wakati wa uzinduzi wa msimu wa kilimo kimkoa zilizofanyika Wilaya ya Kilosa Oktoba 4, 2022
  2. JamiiForums Tanzania Grammy's inafikiria kuongeza kipengele cha Afrobeats kwenye tuzo

    Mkurugenzi Mtendaji wa Recording Academy, Harvey Mason Jr. amesema kuwa Grammys walikuwa wanafikiria kuongeza kitengo cha tuzo kwa upnade wa Afrobeats. Akizungumza na waandishi wa habari nchini Ghana, Mason alisema amekuwa akikutana na wadau wa muziki huo ili kuona uwezekano. "Tuliita...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangazwa tena mshindi wa tuzo mbili za kimataifa

    Dodoma. Rais Samia Suluhu Hassan ametangazwa na Jumuiya ya Kimataifa ya Watetezi na Amani kuwa mshindi wa tuzo mbili za kimataifa ikiwemo ya amani duniani 2022. Tuzo nyingine aliyotangazwa kuwa mshindi ni Rais wa kwanza mwanamke barani Afrika kuipata ni tuzo ya Rais wa Dhahabu ya Malengo ya...
  4. JamiiForums Tanzania Filamu ya Kitanzania yatajwa kuwania Tuzo ya Oscar, ni ya pili tangu mwaka 2002

    Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo. Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
  5. JamiiForums Tanzania Mastaa Wanaowania Tuzo Za Afrimma 2022

    Best Male West Africa Oxlade – Nigeria Kidi – Ghana Buju – Nigeria Black Sheriff– Ghana Fireboy– Nigeria Didi B – Ivory Coast Ruger – Nigeria Samba Peuzzi – Senegal Omah Lay – Nigeria Best Female West Africa Ammarae– Ghana Tems – Nigeria Josey – Ivory Coast Zeynab – Benin Ayra Star – Nigeria...
  6. JamiiForums Tanzania Ifahamu kamati iliyompiga chini Magufuli kwenye tuzo za Mo Ibrahim

    Hawa ndio ndugu wajumbe. Watu makini wasiokuwa na madoa: 1. Salim Ahmed Salim (Chair) 2. Martti Ahtisaari 3. Aicha Bah Diallo 4. Mohamed ElBaradei 5. Horst Köhler 6. Graça Machel 7. Festus Mogae 8. Mary Robinson
  7. JamiiForums Tanzania DJ SEVEN kuiwakilisha bongo kwenye tuzo za Afrimma

    DJ wa harmonize ajulikanaye kwa jina la DJ Seven atajwa kushindania tuzo za Afrimma. Wametajwa wasanii wengine was bongo. Full story hapa:
  8. JamiiForums Tanzania Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu yazinduliwa leo 12/09/2022

    Profesa Penina Mlama Mwenyekiti wa Kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu anazungumza “Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema ujenzi wa taifa ni kujenga tabia za Wananchi, mitazamo ya kuweza kuishi pamoja. “Kila taifa lina mitazamo yake ili watu waweze kuishi...
  9. JamiiForums Tanzania Obama ashinda tuzo ya Emmy kama Msimuliaji Bora wa Filamu

    Rais huyo Mstaafu amefanikiwa kunyakua tuzo hiyo kupitia filamu ya 'Our Great National Parks', Makala inayohusu hifadhi za Taifa iliyotolewa na Emmy, filamu hiyo inaoneshwa na Netflix. Obama anakuwa Rais wa pili wa Marekani kushinda tuzo ya Emmy, akitanguliwa na Dwight Eisenhower, ambaye...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli, kama sio leo basi ni suala la muda tu kupewa tuzo ya heshima kama Rais aliyesimamia vema rasilimali na kupunguza kero kwa wananchi

    Kama alivyowahi kunukuliwa akisema, Jengo la Tanesko ubungo, akitokea kiongozi mwenye kusimamia sheria, litavunjwa tuu, na hatimaye akaja kushika mwenyewe na likavunjwa, Na sasa, akija kutokea Rais asiye na unafki ndani yake, lazima JPM atapewa tuzo! Tunaposema JPM (hayati) anastahili tuzo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania ina 'suffocate', tuzo zitazidi kuongezeka maradufu.

    suffocate - hali ya kuteseka Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele. Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka. Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
  12. JamiiForums Tanzania KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast

    KIUNGO mpya wa Yanga, Stephane Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi ya Ivory Coast kwa msimu uliopita wakati akiichezea Asec Mimosas. Nyota huyo ambaye amejiunga na Yanga msimu huu usajili wake ulikuwa gumzo kutokana na utambulisho wake uliofanyika Julai 15 alfajiri huku akitegemewa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  14. JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Hasira zenu za Mayele kukosa Ufungaji Bora msizihamishie katika Tuzo

    Almasi Kassongo ( Boss wa Bodi ya Ligi Kuu ya NBC ) na hilo Bichwa lako Kubwa kama Papai za Mgeta Mkoani Morogoro huo Uyanga wako na hizo Pesa za Kuhongwa na GSM zitakutokea Puani Siku Moja. Bodi ya Ligi ( TPLB ) chini ya Mwenyekiti wake Almasi Kassongo hivi mliwaza nini mpaka mkasena kuwa Tuzo...
  15. JamiiForums Tanzania Mayele apewe tuzo ya mshangiliaji bora

    Mayele ni moja ya washambuliaji hodari sana kwenye kushangilia duniani, hakika style yake ilibamba sana. Nawaomba shirikisho la mpira wa miguu Tz wampatie japo tuzo ya ushangiliaji bora, maana hii ndio tuzo alikuwa anashahili.
  16. JamiiForums Tanzania Bilionea wa Urusi auza medali yake ya Nobel Prize kwa dola milioni 103 kusaidia watoto yatima na wakimbizi wa Ukraine

    Nobel peace prize auctioned by Russian journalist Dmitry Muratov fetches record $103.5m Muratov, who was awarded the gold medal in October 2021, said proceeds would go to Unicef to help children displaced by Ukraine war The Nobel Peace Prize that Russian journalist Dmitry Muratov was...
  17. JamiiForums Tanzania Riadha: Suleiman Nyambui apata tuzo huko Marekani

    Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali ya Vyuo Vikuu huko nchini Marekani , UTEP TX , National Collegiate Athletics Association (NCAA)...
  18. JamiiForums Tanzania Lionel Messi kumpiku Karim Benzema kwenye tuzo ya Ballon d'or mwaka 2022

    Mara baada ya mechi ya jana kwenye UEFA Cup of Champions (Finalissima) wachezaji wa Argentina walionekana kumbeba Messi na kumrusha juu katikati yao. Kwa kawaida hili huwa anafanyiwa kocha wa timu kama ikitokea wamebeba kombe. Kitendo hiki kinatafsiriwa kwamba Messi ndiye aliyeibeba timu...
  19. JamiiForums Tanzania If design award 2022; Tecno camon 19 pro na phantom x zashinda tuzo za muundo bora

    Tuzo maarufu duniani ya iF Design hivi karibuni ilitangaza washindi wake kwa 2022 ambapo TECNO ilishinda katika kitengo cha Bidhaa na Tehama kwa muundo bora wa bidhaa wa Phantom X na CAMON 19 Pro. Hii ni tuzo ya kwanza ya TECNO katika shindano la kimataifa la ubunifu, ikithibitisha kujitolea kwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Tuzo aliyopewa Rais Samia na shukrani zake kwa mtangulizi Hayati John Magufuli

    Unaweza ukamkejeli kadri unavyojisikia kwamba alikuwa mtesaji, alikuwa mkabila alikuwa mkatili. Unaweza ukamsimanga kadri ya uwezo wa akili yako utakavyokuwezesha, hataweza kukujibu amelala usingizi wa milele na hataweza kuamka. Amepumzika nyumbani kwake Chato, na siku alipokuwa njiani kuelekea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…