tuzo

John Tuzo Wilson (October 24, 1908 – April 15, 1993) was a Canadian geophysicist and geologist who achieved worldwide acclaim for his contributions to the theory of plate tectonics.
Plate tectonics is the idea that the rigid outer layers of the Earth (crust and part of the upper mantle), the lithosphere, is broken up into around 13 pieces or "plates" that move independently over the weaker asthenosphere. Wilson maintained that the Hawaiian Islands were created as a tectonic plate (extending across much of the Pacific Ocean) shifted to the northwest over a fixed hotspot, spawning a long series of volcanoes. He also conceived of the transform fault, a major plate boundary where two plates move past each other horizontally (e.g., the San Andreas Fault).
His name was given to two young Canadian submarine volcanoes called the Tuzo Wilson Seamounts. The Wilson cycle of seabed expansion and contraction (associated with the Supercontinent cycle) bears his name.

View More On Wikipedia.org
  1. Inside10

    Mchengerwa Ashinda Tuzo Ya Mbunge Bora Afrika Na Carribean

    Waziri wa Afya Mohamed Mchengerwa amekabidhiwa tuzo ya ZIKOMO katika kipengele cha Best Zikomo Member of Parliament of the year Africa & Caribbean 2025. Waziri Mchengerwa amekabidhiwa tuzo hiyo na Katibu Mkuu cha Muziki wa Dansi nchini Tanzania, Abdul Malick Anania Sangura ambaye alipokea kwa...
  2. S

    Yericko Nyerere atikisa Afrika, Ashinda Tuzo ya Mwandishi Bora wa Vitabu Afrika

    Usiku wa Machi 07.2026 katika jijini la Kigali nchini Rwanda, Mtanzania Yericko Nyerere ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya uandishi bora wa vitabu Barani Afrika, tuzo inayotolewa na 'Shining Stars Africa Awards' Yericko ambaye pia ni kada wa CHAUMMA alishinda kwa kura 7584 sawa na 53% alikuwa...
  3. Roving Journalist

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) yawapa tuzo washindi 9 Shindano la MAWAZO BUNIFU

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa Tuzo za ubunifu kwa washindi 9 waliotoa mawazo bora zaidi yatakayosaidia kuendelea kuboresha huduma za kodi na kuongeza wigo wa kodi. Akikabidhi tuzo hizo, vyeti pamoja na hundi kwa washindi hao Februari 25.2026, Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis Mussa...
  4. Fredrick Nwaka

    Wafahamu baadhi ya waafrika walioshinda tuzo ya amani ya Nobel

    Na Sophia Kiyenze Tuzo ya amani ya Nobel ni mojawapo ya tuzo kubwa na zenye heshima kubwa duniani ambazo zimekuwa zikitolewa kwa zaidi ya miaka mia moja sasa. Wako watu mashuhuri duniani waliowahi kutunukiwa tuzo hiyo ambayo hutambua mchango wa mtu katika nyanja mbalimbali ikiwemo siasa...
  5. P h a r a o h

    Paul Dirac Alitaka kuikataa Tuzo ya Nobel kwasababu ya kuona Aibu na kukwepa attention na umaarufu

    ‎ Paul Dirac anajulikana kama mmoja wa waanzilishi wakuu wa quantum mechanics, lakini simulizi za watu waliomfahamu zinaonyesha alikuwa mtu mwenye aibu sana na aliyekwepa attention na umaarufu kwa gharama yoyote. ‎ ‎Katika kumbukumbu na wasifu wake zilizohifadhiwa Cambridge alipokua...
  6. R

    Trump: Sijali kuhusu tuzo ya amani Nobel, najali kuokoa maisha, nimesitisha vita nchi zilizokuwa na mgogoro

    "Sijali kuhusu tuzo ya amani ya nobel peace prize, ni mwananmke tu mzuri aliyejali kwamba nastahili kupewa tuzo hiyo na nashukuru kwa hilo. Mtu yeyote anayefikiri Norway haina mamlaka juu ya tuzo ya Nobel peace prize anajidanganya, Sijali kuhusu Norway wala jambo hilo, najali kuokoa maisha na...
  7. Q

    TEC yashinda tuzo ya taasisi bora ya kidini inayosimamia misingi ya haki nchini

    Hongereni sana TEC kwa kusimama kwa ujasiri, weledi na uaminifu uliotukuka kwenye nafasi yenu kwa jamii hasa katika kutetea haki za wananchi za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Hakika taasisi yenu imekuwa baraka kubwa kwa taifa letu. Mungu awabariki sana. NB: Tuzo hizi ni kwa mujibu wa Poll...
  8. Superbug

    Je ukiitoa JamiiForums kuna media yoyote ya ndani imeripoti kuhusu tuzo ya tyrant of the Year?

    Najiuliza kwanini hii tuzo adhimu haijatangazwa na media za ndani? Be it tabloids au tv stations naomba kujua au wameogopa?
  9. R

    Nobel yamkatalia Maria Corino Machado wa Venezuela kumkabidhi Trump tuzo yake ya amani (Nobel peace prize)

    Nobel Institute ya Norway imesema kuwa Tuzo ya Amani ya Nobel haiwezi kuhamishwa, kugawiwa wala kufutwa, hii ni baada ya mshindi wa tuzo hizo wa mwaka 2025 ambaye ni kiongozi wa upinzani nchini Venezuela, María Corina Machado, kusema huenda akamkabidhi Rais wa Marekani Donald Trump tuzo yake ya...
  10. Q

    Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

    Mama Samia ameshinda tuzo ya Tyrant of the Year. Watanzania wengi walimpigia kura. Walihamasishana mitandaoni na wakafanya kampeni kuhakikisha anashinda. Lakini ukweli ni huu: sidhani kama alipaswa kushinda tuzo hii, hata kama orodha ya madhambi yake haina mwisho. Ni kweli aliwateka nyara na...
  11. SSH2025_2030

    Taifa Stars wanastahili Tuzo ya Amani huko Morocco

    Taifa Stars wanastahili Tuzo maalum ya Amani huko Morocco
  12. Kimbesa11

    Maraisi wazalendo wote Duniani wanashindanishwa kwenye tuzo ngumu na za kibabe hapo utamuona Mrusi, marekani, India, Tanzania, Afghanistan

    Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya marekani halafu ukabaki salama Huwezi ukagusa waya wa mrusi halafu ukabaki salama Huwezi ukagusi...
  13. Mto wa mbu

    Tundu Lissu apendekezwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel kwa mwaka 2026

    Nilishawai leta Uzi mmoja kuwa Kwa washindi wa tuzo ya amani ya Nobel wengi walipitia mazito Kama alivyopitia Lissu. Sasa potential candidates wa tuzo ya Nobel Kwa 2026, Jina la Lissu linatajwa kupendekezwa. Believe me Kwa yaliyomkuta Lissu, yeye ndo atashinda iyo tuzo 2026. Anae bisha...
  14. Dalton elijah

    Hii Hapa Orodha ya Washindi wa Tuzo za CAF Kwa Mwaka 2025

    LIST NZIMA YA WASHINDI WA TUZO ZA CAF 2025 ✅Mshambuliaji wa Pyramids na timu ya taifa ya DR Congo, Fiston Kalala Mayele ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2025 barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka ndani ya bara la Afrika. ✅Beki wa Timu ya Taifa ya Morocco na PSG Achraf Hakimi ndiye...
  15. K

    Mpigie kura Savatir wa Zambia tuzo za Zikomo mwandishi wa vitabu bora, amshinde msaliti Yericko Nyerere

    Igweeeee! Adui unayemmudu usimuachie Mungu Watanzania tumejeruhiwa na kudharauliwa sana na hawa wasaliti Huyu yeriko nyerere jasusi feki anashindana katika zikomo award,, the best author in africa na kura ndizo zitakazotoa mshindi Niwaombe wanajf wote tuingie katika link ya zikomo award...
  16. Genius Man

    Tundu lissu atunikiwa tuzo bora ya demokrasia barani africa

    Tundu Lissu wapewa heshima ya kuwa bingwa wa demokrasia barani Afrika hii huwezi kuona machawa wakipost lissu sio muhaini ni kesi za vitoto vya shetani
  17. kyagata

    Baada ya Aggrey kushinda tuzo ya mwanaume bora wa mwaka. Naomba kufahamishwa alikuwa anashindanishwa nani?

    Eti mwanaume bora wa mwaka? Wametumia metrics zipi kumuita mwanaume bora wa mwaka? Alikua anashindanishwa na nani?
  18. Damaso

    Aggy Baby Aibuka mshindi wa Tuzo Nigeria, je kwa vigezo gani?

    Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii. Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
  19. MwananchiOG

    Maajabu ya soka la TFF, Msimu mpya unaanza tuzo za msimu uliopita hazijatolewa

    Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa. Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
  20. Mto wa mbu

    Ndani ya mwaka kuna mwanasiasa kutoka Afrika mashariki atakuwa nomited kuwania tuzo ya Nobel

    Hii habari imenishtua mno. Hapa marekani nimekutana na taasisi Moja, nimeambiwa ndani ya mwaka kuanzia Sasa kuna mwanasiasa kutoka Africa mashariki atachaguliwa kuwania tuzo ya amani ya Nobel. Binafsi nimefurahi mno, maana tuzo hii alishinda mkongo mmoja mwaka 2018, tunataka na mtu kutoka East...
Back
Top Bottom