tupac

Tupac Amaru Shakur ( TOO-pahk shə-KOOR; born Lesane Parish Crooks, June 16, 1971 – September 13, 1996), better known by his stage name 2Pac and by his alias Makaveli, was an American rapper, songwriter, and actor. He is considered by many to be one of the most influential rappers of all time. Much of Shakur's work has been noted for addressing contemporary social issues that plagued inner cities, and he is considered a symbol of resistance and activism against inequality.
Shakur was born in Manhattan, a borough of New York City, but relocated to the San Francisco Bay Area in 1988. He moved to Los Angeles in 1993 to further pursue his music career. By the time he released his debut album 2Pacalypse Now in 1991, he had become a central figure in West Coast hip hop, introducing social issues in the genre at a time when gangsta rap was dominant in the mainstream. Shakur achieved further critical and commercial success with his follow-up albums Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z... (1993) and Me Against the World (1995).Shakur became heavily involved in the growing East Coast–West Coast hip hop rivalry between 1995 and 1996. His double-disc album All Eyez on Me (1996) became certified Diamond by the RIAA. On September 7, 1996, Shakur was shot four times by an unknown assailant in a drive-by shooting in Las Vegas; he died six days later and the gunman was never captured. The Notorious B.I.G., Shakur's friend turned rival, was at first considered a suspect, but was also murdered in another drive-by shooting six months later. Five more albums have been released since his death, all of which have been certified platinum in the United States.
Shakur is one of the best-selling music artists of all time having sold over 75 million records worldwide. In 2002, he was inducted into the Hip-Hop Hall of Fame. In 2017, he was inducted into the Rock and Roll Hall of Fame in his first year of eligibility. Rolling Stone named Shakur in its list of the 100 Greatest Artists of All Time. Outside music, Shakur also gained considerable success as an actor, with his starring roles as Bishop in Juice (1992), Lucky in Poetic Justice (1993) where he starred alongside Janet Jackson, Ezekiel in Gridlock'd (1997), and Jake in Gang Related (1997), all garnering praise from critics.

View More On Wikipedia.org
  1. ELI COHEN

    Ingawa mimi ni mshabiki wa maisha wa Tupac ila ningependa ku-admit kuwa biggie alikuwa an flow na wordplay nzuri kuliko Pac

    Pac alikuwa mshairi mwenye uwezo wa ku-relate yaliyondani ya moyo yaendane na harakati za maisha ya kila siku, mwenye energy ya kutunga ideas nyingi na kudondosha rhymes kama kiwanda. Ila big alikuwa picaso wa kudeliver sanaa ya kufoka foka iwe katika mpangilio na ubunifu wa kuteka sikio lako...
  2. mdukuzi

    Nimewaharau ghafla Tupac na P Diddy ni baada ya kugundua ni mabingwa wa sampling

    Wakati Tupac anauliwa nilikuwa kidato cha pili,kwa umri huo nilikuwa navaa mlegezo na kitambaa kichwani,wenzangu walienda mbali kwa kutoboa masikio na kujichora tatoo Nilimkubali sana japo alisababisha nisifanye vizuri darasani kwa kukariri nyimbo zake badala ya masomo Miaka kadhaa nilibaini P...
  3. Papillon 1906

    Throwback : Tupac alivyowatemea mate waandishi wa habari

    Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York. Alikuwa akikabiliwa na shtaka la unyanyasaji wa kingono uliompelekea kufungwa kwa miezi 9.
  4. LIKUD

    Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

    Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up". Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of...
  5. ELI COHEN

    Wimbo wa ONLY GOD CAN JUDGE ME, Tupac alisema "Na wanasema ni Mzungu ninayepaswa kumuogopa, Lakini ni wa aina kama yangu ndio wanaofanya mauaji hapa"

    "And they say it's the White man I should fear, But it's my own kind doin' all the killin' here" Katika wimbo huu anaongelea experience yake alivyopigwa risasi wakati alipoenda kuwatembelea bad boys pale quad studios. Ni statement fupi ila iliojaa ujumbe mkuu kulingana na hivi vituko waafrika...
  6. Fateema

    Maajabu ya Septemba 13: Tupac aliuliwa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie

    Ni Yule Yule tena jamaa wa Tiktok amespot video anasema : Tupac aliuwawa kwa risasi ambayo katika ulimwengu wa roho ilikuwa imekusudiwa kumuua Biggie. Twende kazi : 👇👇👇👇 Akizungumza kupitia kinywa na sauti ya Tupac Shakur kwenye wimbo Hit Em, pepo alie kuwa amempanda Tupac Shakur wakati yupo...
  7. Fateema

    Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  8. KyemanaMugaza

    Umri wa Tupac na Martin Luther King Jr unatia shaka

    Salama wakuu wote wa hili jukwaa Mara nyingi nimekuwa na wasiwasi juu ya umri sahihi wa hawa watu wawili maarufu katika historia ya dunia, mwanamziki Tupac Amar Shakur na mwanaharakati wa haki za binadamu Martin Luther King Jr Huwa naona maumbile yao au mwonekano wao unaonyesha kuwa walikuwa...
  9. Dogoli kinyamkela

    Mambo ya Tupac Amaru Shakur (1971-1996)

    MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996) Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25...
  10. Dogoli kinyamkela

    Mambo makubwa ya Tupac Amaru Shakur enzi za uhai wake (1971-1996)

    MAMBO YA TUPAC AMARU SHAKUR (1971-1996) Watu timamu wanaulizana...Ilikuwaje na ni kwa namna gani Tupac Amaru Shakur, kijana wa Marekani mwenye asili ya Kiafrika kufanya mengi na kupandikiza itikadi ama legacy kubwa mno pamoja na kuacha historia ndefu mno na alifariki akiwa na miaka 25 tuu😃...
  11. Slim5

    Tupac na September 7 1996

    September 7 ya 1996 MGM Grand, USA Pambano la Ndondi Tyson v Bruce Seldon Pambano liliisha ndani ya Sekunde 109 Tyson alishinda. Wahudhuriaji kibao walikuwepo ma-Celebrities pia Mfano: New Edition Run DMC Gary Payton Suge Knight Tupac Kwa uchache! Baada ya ushindi wa Tyson, Tupac alikuwa...
  12. LIKUD

    Kisa cha Tupac na jini (kwenye wimbo Hit em Up hakuwa tupac ila ni kiumbe wa kiroho ndio alikuwa anaongea kupitia mdomo na sauti ya Tupac)

    Niliwahi kuongea kitu kinachotaka kufanana na hiki miaka ya nyuma na leo nimekutana na mwandishi ambae amelifanyia jambo hili utafiti wa kina. Ni mwandishi / mtafiti ambae ni mtaalamu wa kujifundisha mwenyewe (A self taught expert) in the fields of 👇👇👇 1. The Sacred Art of Spiritual...
  13. M

    Kendrick Lamar amfunika Tupac

    Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo...
  14. ELI COHEN

    Diddy alimpanga Biggie ili auawe. Suge alimpanga Tupac auawe

    Kwa documenta zilizofichuka wiki hii imegundulika kuwa kumbe Biggie alikuwa ana plan aachane na Bad Boy Records. Pia kwa taarifa za watu wa karibu ni kuwa Pac nae alikuwa anataka atoe album ya mwisho ya the don killuminati ili aachane na Deathrow records. Sasa conspiracy theorists...
  15. Suley2019

    KWELI Sauti ya Keefe D yasikika akikiri namna alivyoahidiwa dola milion 1 na P. Diddy amuue Tupac

    Salaam ndugu zangu, Leo katika pita zangu mitandaoni nimeona baadhi ya kurasa zinazoweka masula ya burudani na habari za Wasanii zikieleza kuwa kuna sauti ya Keefe D imevunja ikikiri kuhusika na kifo cha 2 Pac. Upi ukweli kuhusu sauti na sakati hilo?
  16. Kingsmann

    Sauti: Keefe D akiri kumuua Rapa Tupac kwa kuahidiwa Dola milioni moja na Rapa P. Diddy

    Sakata la kifo cha Rapa maarufu duniani kutoka Marekani, Tupac Amaru Shakur au kwa jina maarufu 2Pac au Makaveli linaenda kuchukua sura mpya baada ya leo mshukiwa namba moja Keefe D kukiri mbele ya polisi kwamba alihusika na mauaji hayo lakini alitumwa na Rapa P. Diddy kwa ahadi ya dola za...
  17. Slim5

    Tupac bado yupo sana

  18. 2 of Amerikaz most wanted

    Tupac Shakur: Rapper 2Pac to get star on Hollywood Walk of Fame

    "One thing we all adore, something worth dying for. Nothing but pain, stuck in this game. Searching for Fortune and Fame". Tupac Shakur is to receive a star on the Hollywood Walk of Fame, 26 years after the rapper's death. The hip-hop star will be honoured with a ceremony on the prestigious...
  19. Wildlifer

    Tupac and Jada; Naomba tafsiri ya maneno 'Regal grace'.

    Nilikuwa ninasoma kitabu hiki cha Mashairi ya Tupac. Nimekutana na shairi hili ambalo Tupac akimsifia mwanamke wake Jada. Hapa mwamba anasema Jada alimfanya 'avunje dafu' mara mbili, tena kwa Regal grace. Naomba kujua, hili neno maana yake nini?
  20. 2 of Amerikaz most wanted

    Kidada Jones Vs Tupac Amaru Shakuru

    Kidada Jones na Tupac walikua na mahusiano ya kimapenzi yaliyodumu kwa muda mfupi tu mwaka 1996. Walikutana mwaka 1995, kwenye Club moja huko mjini Los Angeles na wakaanzisha uhusiano wa kimapenzi muda muda mfupi baadae. Kidada alikuwa mbunifu wa mavazi na muigizaji pia Tupac alikuwa rapper na...
Back
Top Bottom