tungo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Kauli Tata kwa Mfariji Mkuu wa Taifa

    by Pdizaina from X Nikikumbuka aliwahi kusema 1. Kwenye mbuga za wanyama kuna madini ya thamani Sana,na Simba wala hali madini. Tukachimbe " 2. Katiba ni kijitabu Tu 3. Hata mkipiga Kura kule kwingine lakini Sisi ndiyo tutakaounda serikali 4. Utekaji ni vijidrama Tu 5. Kifo ni Jambo la kawaida
  2. Tujadiliane kuhusu hizi tungo Tata

    Wanajukwaa habari za asubuhi. Leo naomba tudiscuss kiundani kuhusu tungo hizi tata 1.MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI 2.KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI 3.WAZURI HAWAFI 4.KIFO NI KIFO TU Karibu kwa mchango wako wa mawazo
  3. Maana halisi ya baadhi ya tungo na mashairi zimefichwa watoto wasielewe

    Leteni mnazozijua nyinyi ila mimi naomba maana ya hizi nyimbo mbili. Kuna - Diamond platnumz na Kachiri - kilimanjaro Band Mashairi ya wimbo ya Diamond : Jamani kuna kijiti kimoja kwa jina sitokitaja Ukiona chasimama ujue chataka haja Ukiona kimelala kisha chafua mapaja Kuna mama kuna, kuna...
  4. Tungo: Ua langu jamani...

    Ua langu limechumwa- bila mimi kujua.. Moyo wangu unauma- natamani kujiua.. Amekosa huruma- ua langu kunyakua.. Hivi nan kamtuma- leo hii naugua.... Ua lilinawairi- kila mtu alidata.. Haikua tena siri- ua lilitakata.. Uzuri wake wamwili- vigogo walimtaka. Utamu wake samsuri- watu wakamteka...
  5. Tungo: Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi

    Hela mwanaharamu, zinanunua mapenzi Utapata mautamu, bila hata ya hirizi Shingoni atakuchumu na tabasamu la kiwizi Atasema bby tamu, na yatamtoka machozi Bby wew mtaalam, tena anamwaga radhi Bby unanipa hamu, anakupa na pongezi Kumbe mwana haramu, anajifanya mwanafunzi Jaman nyie mademu, wanaume...
  6. Tungo: Ilikuwa Jumapili

    siku ya jumapili, maskani niliketi. kwa macho yangu mawili, nikifanya utafiti. akapita kimwali,tena alikua fiti. alikua pisi kali, rangi yake chokoleti. sifa anastahili, yuko vizuri pale kati. ilikua sinza mori, kumbe anasaka noti. tena wala hajali, kubadili milingoti.
  7. Tungo: Hatoki karibu yako pindi ukiwa na hela

    Hatoki karb yako, pale ukiwa na hela. Ataacha chokochoko, penzi lote utapewa. Hata ukiwa mnoko, sifa tele wamwagiwa. Utapata madikodiko, na mapenzi utalewa. mke atakuelewa pindi ukiwa na hela. Utaliona sokomoko, pindi ukiishiwa. Tena utakua kituko, na talaka utapewa. Utaitwa mbwa Koko, au...
  8. Tungo: Tena sioni aibu.

    tena sioni aibu.. kukutaja hadharani.. wew wangu tabibu ..tamu yangu kitandani.. mke wangu mahabubu.. hebu tuache utani.. kwako wew -mimi bubu,nabaki kukutamani.. kila kitu nahusudu ... nje hadi ndani
  9. Tungo: Acha tamaa za paka

    acha tamaa za paka, kuparamia majirani. roho ikakutoka, vya watu kuvitamani. mchana umeokoka, usiku hayawani. kila mtu wamtaka, umtupe kitandani. hebu punguza mizuka, na uache uhuni.
  10. Tungo: Naogeshwa kwa iliki.

    naogeshwa kwa iliki..nafukizwa kwa ubani.. nisiwe mnaafik..ananipenda si utani.. mtoto shokishoki..anatokea visiwani.. tena amejikoki..haniachi asilani.. penzi lake mshikaki..lina tamu milioni.. mie ndani sitoki ..nimeganda kama lami..
  11. Tungo: Mapenzi ni Pesa

    Mapenzi ya leo pesa..usikubali kudanganywa, Usipo kua na pesa..mapenzi yatakuchanganya, Yaani bila hata kupepesa..mke utanyang'anywa. Kama bado huna pesa, hebu anza kupambana, Tena acha kujichosha, kutafuta vimwana, Tafuta iyo pesa, uepuke kutukanwa, Ukishafanikisha, utakula walo nona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…