tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Tundu Lissu?

    Nauliza kutaka kufahamu yupo wapi Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Ndg Tundu Antipasi Lissu, Zimepita takribani siku 15 tangu aonekane mara ya mwisho Twitter akihoji juu ya alipo kafa wa CHADEMA bwana DEUS SOKA. Baada ya hapo Tundu lisu hajaonekana wala kusikika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  4. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

    Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
  8. JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu: Historia Yake na Je, Unaweza Kumuona Wapi Live Baada ya Kizimkazi?

    Kwa mujibu wa taarifa kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), mnyama anayeongezeka umaarufu sasa nchini ni “Simba Tundu Lissu” alizaliwa Dar es Salaam Zoo, nje kidogo ya jijini la Dar es Salaam eneo la Mwasonga, Kigamboni. Alizaliwa Januari Mosi, 2018, hivyo kwa sasa ana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  10. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  11. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  12. JamiiForums Tanzania Simba Tundu Lissu ana stress, cage haimfai.

    Nimeangalia clip ya huyu Simba aliyepewa jina la Tundu Lissu anavyoahangaika kwenye "cage" nikasitika sana, maelezo yametolewa kwamba akiona binadamu ndio huwa anahangaika hivyo! Hiyo ni stress anadhihirisha, Wanyamapori hawakutakiwa kukaa katika zoo au cages, Zoo na Cages ni mojawapo ya...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tatu: Tundu Lissu kuwa makini, huenda kuna jambo linapangwa dhidi yako na usidhani anakukubali

    Bi. Mkubwa akiwa huko kwao, katumia jina lako kwa namna ambayo inaweza kuonekana ni ama kukutania au kukupa heshima fulani au anaku-admire. Binafsi, nakushauri uwe makini sana huenda hii ni hadaa tu ili watapofanya yao, basi yeye asihusishwe kwasababu ameonekana kukubali kumbe wana agenda...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ashauri kuhusu kesi iliyofunguliwa Arusha

    https://x.com/Liberatus80/status/1826961816020214007?t=ypiWqKksDvcqZ36nm0pO9g&s=09
  15. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  16. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anapotosha Kuhusu Ngorongoro

    Ameandika kwenye mtandao wa X akisema hivi Tatizo Haya matatizo ya kijamii mnayaingizia siasa ndyo maana solution hazipatikani. Hii haiwezi kuwasaidi kisiasa tafuteni hoja nzuri hao wamelipwa maandamano ya kupangwa nasikia na mambo yaliandaliwa na wanaharakati wanalipwa na NGOs za Kenya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, kuondoka Msigwa is not an issue, the issue should be “Is CHADEMA crumbling due to his defection”?

    Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akihojiwa na Mwandishi Nguli Salimu Kikeke

    https://youtu.be/etmvlmuAWEs?si=NY8xteUIILZEaTdz
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
  20. JamiiForums Tanzania CCM kumchangia mil. 5.320,000/= Tundu Lissu ni dhahiri shairi kuwa CCM inaziishi 4R za Rais Samia Suluhu Hassan kwa vitendo

    Kalamu ya: Leah D. Mbeke Kutoka: CCM Makao Makuu Neno falsafa ni neno la Kigiriki, ambapo mwanafalsafa ni mpenzi au mfuasi (philia) wa hekima (sophia). Mtu anayefanya kazi katika uwanja wa falsafa anaitwa Mwanafalsafa. Mwanafalsafa ni aina ya mtu wa fikra na mtafiti. Rais Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…