tundu

Tundu Antiphas Mughwai Lissu (born 20 January 1968 in Ikungi district, Singida) is a Tanzanian lawyer, CHADEMA politician and Member of Parliament for Singida East constituency since 2010. He is also the former President of Tanganyika Law Society (TLS), the bar association of Tanzania mainland, and Chief Legal Officer for Tanzanian opposition party CHADEMA.

View More On Wikipedia.org
  1. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Viatu vya uongozi wa Mbowe CHADEMA vimempwaya Lissu pakubwa, CHADEMA inayumba na kupoteza uelekeo

    Ni wazi sisa za vyama vya siasa ikiwemo CCM, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi na CUF vinawavutia zaidi wanachama wengi kutoka CHADEMA na kujiunga navyo, baada ya uongozi mpya chini ya Tundu Lissu kushika usukani kuongoza chama hicho ambacho kinaonekana wazi kuyumba na kupoteza uelekeo kutokana na...
  2. Kinjekitile Jr

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Fukuza hawa wafuatao ili Chama kibaki salama

    Kuna mtu wa “Mfumo” amenipa story ngumu sana kuielewa au kuiamini kuwa;kuna pesa nyingi sana inatoka Serikalini na inamfikia Freeman Mbowe ili atengeneze makundi ndani ya CHADEMA ili ife Mwanae James Mbowe ndio supplier wa mzigo kwa watu wao waliomo ndani na nje ya CHADEMA kwa sasa na tena pesa...
  3. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Natamani Mh Tundu Lisu nae aende kwa papa Italia I'li achukue baraka za no reform No election , kama alivyoenda Rais Samia mwaka jana.

    Jamani natamani sana taifa letu lipate uhuru wa mara pili, tangu mwaka 1961 mpaka 2025, Tanzania imekuwa chini ya chama cha ccm. Mambo yanaenda hovyo hovyo sana. Angalau mwaka huu Tundu Lisu ameonyesha matumaini makubwa ya "freedom is coming tomorrow" na sera ya "No reform No election" Katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tofauti 20 katı ya Freeman Mbowe vs Tundu Lissu

    Mtu yeyote akikuuliza tofauti ya Mbowe na Lissu mjibu hivi ili uchukue maksi zote 100. 1. Mbowe is a stateman, Lissu hata robo hajafika huko 2. Mbowe ni kiongozi mwenye strategies nyingi sana, Lissu ana no reforms no election 3 Mbowe ni mvumilivu wa kisiasa, Lissu hajui neno kuvumilia 4...
  5. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si wa kupuuzwa, ni wa kusikilizwa kwa makini

    Nimeshindwa kuvumilia kutofuatilia na kushiriki siasa. Tangu miaka ya 80 nilipojiunga CCM baada ya kuhitimu masomo yangu pale Mlimani, nimejionea mengi. Nimewaona na kufanya kazi na wanasiasa waongo, wakweli, halisi na bandia. Wengi bado wapo, achilia mbali wale waliotangulia mbele ya haki...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini ziara binafsi za Tundu Lisu mikoani zimepoa yaani zipo kama hazipo tu?

    Ukitathimini kwa kina juu ya ziara binafsi Lisu zisizo na agenda yenye matumaini wala athari muhimu au matokeo chanya yenye tija za kisiasa kwa wananchi, utagundua kwamba badala yake kumekua na kuongezeka kwa wingi kwa watangaza nia za uongozi wa kisiasa kupitia chadema, ikiwa ni pamoja na...
  7. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Asanteni Watanzania kwa kuendelea kuielewa agenda ya *No reforms, no election*

    Watanzania wameendelea kupata elimu hii ya bure na kinachotia moyo ni kwa namna wanaielewa sera hii kwa haraka na kwa weledi. Hii ni baada ya ziara ya Kanda ya Nyasa. Amina.
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukiamka wahi kuosha tundu za pua zako. Unapolala Shetani huwa anakaa kwenye hizo tundu

  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Picha za Tundu Lissu Nkasi Kusini, asema DC Lijualika ni Mtoto wa Laana

    Hapa ni Wampembe, Jimbo la Nkasi Kusini. Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa amesisitiza Lijualikali ni Mtoto wa Laana. So now ana majina Mawili. Mtoto wa Dawa na Mtoto wa Laana. Lissu limtoa Gerezani Lijualikali baada ya miezi Kadhaa akajiunga na CCM. #NoReformsNoElection Picha hapa...
  10. USSR

    JamiiForums Tanzania Tundu lisu akarudia makosa ya Freeman Mbowe

    Taarifa za kuaminika toka ndani ya CC ya Chadema zinadai kwamba miongoni mwa majina yalikua shortlisted kwa ajili ya Kurugenzi ya Habari ni pamoja na; 1. Gervas Lyenda 2. Liberatus Mwang’ombe Na kwamba Terms of Reference (ToRs) zilikua pamoja na mambo mengine Candidate wa nafasi hiyo ya...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyamavingine

    Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani. Leo hii CCM katika kikao chao pia...
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amwambia Balile "Maswali yako ni Nonsense"

    Maswali ya hovyo ya Balile katika mkutano wa Chadema na wahariri wa vyombo vya habari yapelekea kuambiwa anauliza nonsense jambo ambalo limemkera sana na kuanza kutafuta kanuni za mkutano. Balile ambaye ndiye alikuwa anaongoza mkutano huo alitumia muda mwingi kuvuruga mkutano badala ya...
  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akiwa Uganda amemsifia Mwalimu Nyerere lakini ni yeye ndiye aliyemtukana kwenye Bunge la Katiba

    Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere. Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere. Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Addressing on Humam Rights and Peace Centre Nchini Uganda, Makerere University. Wenyewe wasema Lissu ni Nyerere Wa Pili

    Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda. Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere. Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuwe na Tume ya Uchaguzi inayoshitakiwa ikikosea kwenye uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) unaofanyikasiku ya Jumapili Machi 2, 2025 Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam "Utaratibu mzima wa kupiga kura umevurugwa na namna ya...
  20. Kitchener

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Suala la maslahi ya Tanganyika tunataka liwe addressed kampeni 2025!

    Naamini hapa ndipo mahali pa kuwa wazi na kueleza kilichopo mtaani ili viongozi wetu kama sio kujirekebisha basi watafute solution ya kudumu kwenye mambo mbalimbali. 1. Raia wengi, wanaamini mtu mwenye courage pekee kuongelea suala la muungano, ni TL. 2. eneo dogo kama zanzibar, lenye watu...
Back
Top Bottom