tundu lisu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watu wanamtaka Tundu Lissu kwa sababu hamung'unyi maneno na haogopi kusema na kukemea ubaya bila kujali aliyeufanya

    Habari za jumapili! Lisu ni wale watu wasiouogopa ukweli. Watu hao huitwa Jasiri wa asili. Lisu hata akikosea yeye haoni tabu ukimchana makavu na hata yeye kujichana makavu kuwa amekosea. Huo tunaita Uwajibikaji. Sio rahisi kukemea maovu ambayo hufanywa hata na maboss zako. Sio rahisi. Ni...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe anaungwa mkono na Wajumbe wapiga kura wengi ndani ya CHADEMA, Lissu anaungwa mkono na umati mkubwa wa wapiga kelele

    Friends, ladies and gentlemen. Kwa kifupi kabisa, ukipima kwa jicho la rohoni kabisa, numbers of votes zinamfavor chairman Mbowe, huku useless mass popularity ikimfavor vice chairman Lisu, ikiwa uchaguzi wa ndani wa chadema utafanyika mwaka huu 2024 au 2025. There is no way Lissu can beat...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu ni sawa na Kisimati jini

    Tundu antipasi Lisu amekuwa mwiba na mkali kweli kweli kwenye siasa za Tanzania Ukali wake huo mpaka rais wa nchi mama Samia Suluhu Hassani akaamuru SIMBA mmoja machachari mbugani kuitwa jina la Tundu Lisu Kwa umachachari wake huo Tundu Lisu namfananisha na pombe kali inayoitwa "Kisimati Jini"...
  4. JamiiForums Tanzania Ni wazi mchuano wa Freeman Mbowe na Tundu Lissu umeipasua CHADEMA, na kuibua mgawanyiko wa kikanda, kikabila, na kimikoa

    Hata hivyo, sura zaidi ya sekeseke hili zinatarajiwa kujitokeza ikiwa ni pamoja na sura ya kizalendo na ile ya ukibaraka, nazo zitachukua mkondo wake kwa wakati muafaka. Mpaka sasa, tayari kuna kanda, makabila na mikoa yao imeonyesha wazi wazi kumuunga mkono mwenyekiti wa wa sasa wa Chadema, na...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  6. JamiiForums Tanzania Uamuzi huu wa ghafla wa Tundu Lissu kisiasa, maana yake ni ama awe mwenyekiti wa CHADEMA taifa ama aangalie utaratibu na uelekeo mwingine

    Hii ni polite exit strategy ya kuondoka chadema. kubaki kwake chadema ni lazima ashinde uenyekiti taifa. kinyume na hivyo atachukua mkondo mwingine kisiasa. Ni kwanini atangaze kugombea umakamu mwenyekiti awali, halafu ghafla unabadili gia angani na kuutaka uenyekiti na sio umakamu mwenyekiti...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Kati ya mkutano wa Lissu, Lema na Kigaila upi ndiyo msimamo wa CHADEMA?

    Au tusubiri na press conference ya Mwenyekiti wa CHADEMA taifa ili kuthibitisha kwamba CHADEMA imegawanyika vipande au makundi matatu yanayojitegemea? Nakumbuka niliwahi kukomenti mahali kwenye platform hii kwamba, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa akifanya press conference mathalani leo, haziwezi...
  8. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana uwezo mdogo mno wa uongozi ukimlinganisha na Dkt. Slaa au mbowe ambao angalau wana maono

    Ukiachilia mbali hekima na busara za kiuongozi na kimamlaka kumpitia mbali, saikolojia na uzalendo wake ni wa mashaka zaidi ukilinganisha na hao wengine japo nao familia ziko ughaibuni. Hana maandalizi wala mpangilio wa kujieleza. Ni kama analalamika tu kwa kila kitu. Akijieleza binafsi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Bwana Lissu, kumbuka kuwa Kwenye msafara wa Mamba, Kenge hawakosekani...

    Chadema siyo mkusanyikowa malaika, ni wanadamu and all humans are fallible no human being is infallible! Ukilijua hilo, hotuba yako ya jana Singida, sishangai kuona kuwa kuna watu walitegemea kupewa vyeo! ndiyo maana tunasema huwezi kuchukua chama ukampa mhamiaji kama Cecil Mwambe alivyokuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Antipas Lissu na Rigathi Gachagua, aliyekuwa Naibu Rais Kenya wanatofautiana nchi tu

    Kwa kiasi kikubwa, wanafanana mambo mengi sana, ikiwa ni pamoja na maneno mengi matupu yasiyo na ushawishi. Ni watu wenye hulka za ubinafsi, ku-outoshine na ku-othwart mabosi zao hadharini. Rigathi Gachagua ana pitia undesirable consequences kwa sasa kutokana na tabia hiyo. Mara nyingi watu wa...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anasema serikali inahonga hela nyingi kwa viongozi wa dini

    Friends and Our Enemies, Katika mkutano wake na vyombo vya habari leo hii,Makamu Mwenyekiti wa Chadema anasema kwamba mabillion ya mapesa yanahongwa kwa makanisa na maaskofu ili kuzibwa midomo. Kauli hizi ni kauli za uchochezi na zenye kuleta taharuki sana ndani ya Taifa,Makanisa na Maaskofu...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Nimefurahishwa na kauli ya Rais Samia kumwita Tundu Lisu Mwanangu

    Furaha iliyoje, Lisu ni "mtoto" wa Rais Samia. Very good and fine! Sasa Mama mlipe mwanao Lisu stahiki zake za matibabu ambazo amekuomba muda mrefu. Biblia inasema: ni mzazi gani mwanawe akimuomba mkate atampa mawe? Hayupo. Basi Mama mpe mwanao stahiki zake
  13. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba Tundu Lissu ambaye Rais amempa jina Hilo

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  14. JamiiForums Tanzania Nipo Njiani kwenda Zanzibar kumuona Simba aliyeitwa Tundu Lisu na Mhe. Rais Samia.

    Habari za weekend Wakuu! Nipo Njiani nakaribia Zanzibar Kwa Lengo la kumwona Simba Tundu Lisu àmbaye Mhe. Rais Samia amempa jina Hilo. Nikifika nitakutana na Watu WA eneo Hilo wanipe background ya Simba huyo. Kisha nitaomba nikutane n Mhe. Rais ili nimuulize nini kilimvuta kumpa Simba huyo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Lissu, kuondoka Msigwa is not an issue, the issue should be “Is CHADEMA crumbling due to his defection”?

    Issue ni Je kuondoka kwa Msigwa, Chadema imeteteleka? Is Chadema crubmling due Msigwas's cross over the floor/defecting to CCM? haya ndiyo maswali ya Msingi. Watu wa maana ni wengi lakini kuna mtu akiondoka mnatikisika. Msigwa alikuwa wa maana, sawa lakini umaana wake ni kwa kiwango cha kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Tetesi: Wazee kumshauri Tundu Antipas Lissu kupumzika au kuacha siasa kabisa

    ni kwa upendo na mapenzi makubwa, wazee wa mkoa wa singida wanapanga kukutana, kujadili na kuamua mustakabali wa siasa za kijana wao mpendwa Tundu Antipas Lisu kutokana na hali yake ilivyo, hasa baada ya kuthibisha mwenyewe juu ya utimamu wa mwili wake, ukilinganisha na majukumu na kazi nzito...
  17. JamiiForums Tanzania Wadau waomba Tundu Lisu & others waanzishe chama kipya!

    Ukizunguka mitandaoni, watu wanaamini Tundu anastahili kuwa katika chama kingine, imagine yeye, mwabukusi na wanasheria wangekuwa na chama, hawatapata kuungwa mkono kweli? au wanaogopa kuongeza kundi la maadui, au wanaogopa watanyimwa usajili? wao si wanasheria, wakinyimwa wanaenda mahakamani.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni mfano wa kuigwa kwa wanasiasa wa upinzani

    Kwanza hana makandokando, anajua wathirisha hoja, anajua katiba yaani anajua anaochokifanya Mwamba anajua
  20. D

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli jamani. Hivi chadema wakipewa nchi itakuwaje? Maana msomi ni tundu lisu pekee. Baraza la mawazili itakuwaje?

    Tuwe wakwieli jamani tunataka upinzani lakini huu hapana. Imagine baraza la mawazili la vilaza litaongozaje nchi kitaifa na kimataifa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…