My friends, ladies and gentleman,
Kuna gharika ya viongozi wa chadema kuachia ngazi inaendelea...
In fact,
sote ni mashahidi wa wimbi hilo la viongozi wa chadema wa kanda mbalimbali, mikoa na wilaya mbalimbali nchini, wakistaafu siasa, kuomba kupumzika uongozi wa chadema na wengine wakijiuzulu...
baada
binafsi
chadema
gani
hata
hukumu
kabla
kanda
kisiasa
kujiuzulu
kwasababu
lisu
mara
mbalimbali
mikoa
mwenyekiti
nafasi
nafasi zao
nchini
taifa
tundutundulisu
ujumbe
viongozi
viongozi wa chadema
wake
wao
wengi
wilaya
zao
Hii ni kutokana na hali ilivyo, baada ya maelezo ya mwisho ya mtuhumiwa wa uhaini kuibua hisia mseto, ikiwa ni pamoja na hatima maisha yake na siasa.
Kutokana na hilo,
huenda Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kinapanga na kuhamisha fujo na vurugu siku ya hukumu ya Tundu Lisu. Uchochezi huu...
MANENO YA MWISHO YA TUNDU LISU, leo:
“Waheshimiwa Majaji miaka 60 iliyopita, kuna mhaini mwingine alifungwa kifungo cha maisha nchini Afrika Kusini, kabla hajahukumiwa alisema maneno yafuatayo ambayo naomba kuyafanya yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and I have...
Hii nchi ingekuwa inaongozwa na Lowasa tungekuwa mbali sana .
Cha ajabu Lowasa tumemkataa mpaka anaingia kaburini.
Dhahabu nyingine tuliyo nayo ni Mh Tundu Antpas Lissu , hii ni tunu tuliyo nayo , cha ajabu tunashindwa kuitumia.
Mungu ampe wepesi Lissu kwa kila analolipitia na kwa uwezo wa...
Je,
ni kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia uchaguzi na kuvuruga uchaguzi huku familia yake ikiwa salama ughaibuni?
Au nia na dhamira yake hasa kutoka moyoni mwake, ilikua afanye nini dhidi ya umoja, amani na usalama wa waTanzania, bila kua pamoja na familia yake?
Na,
kwanini aliitanguliza...
Na maskini ya Mungu,
na wafuasi wake hao pasipokujua ni hadaa na drama, wanakubali kubebwa ufala wa kifikra kisheria, na kujikuta wanaamini porojo na kamba za kisheria kwamba baada ya hapa itakua hivi au vile, fulani hana hatia na blaablaa nyingine useless, na matokeo yake mwisho wa siku...
Je,
ni inashiria ya uchovu, kiwewe, hofu au ni hali ya kawaida kwa mwanadamu kisayansi?
Vipi siku ya mwisho ya final submission yake kizimbani, akisahau kuieleza mahakama jambo muhimu zaidi pengine la kumuokoa na kitanzi, na kisha akalikumbuka akiwa nje ya mahakama, labda akiwa anasubiria...
Na,
in fact,
hukumu hiyo itachochea siasa za kistaarabu zaidi majukwaani miongoni mwa wanasiasa wa vyama mbalimbali vya siasa na kutokomeza kabisa siasa za uropokaji, porojo, uongo, uzushi, fujo, uchochezi, ukiukaji sharia na upotoshaji Tanzania.
Huenda Tanzania ikaanza kushuhudia siasa za...
Je,
ameamua kutumia mbinu hii ya kukiri kosa ili kuisaidia mahakama kuokoa rasilimali muda na kuishawishi kisheria imuonee huruma na kumpunguzia adhabu kali zinazoweza kutolewa dhidi yake kwa mujibu wa sheria?
Je,
hatua ya tundu lisu kukiri kua alitenda kosa hilo katika maeneo mabalimbali...
Hatua hiyo itasaidi pakubwa kuimarisha demokrasia, uwazi, utawala bora na utawala wa sheria nchini.
Kufutwa kwa Chadema kama chama cha siasa itakua ni ni fursa muhimu kwa vyama vingine vya siasa kukomaa, lakini pia itakua ni mwanzo mpya wa zama za siasa za kistaarabu Tanzania. Kubwa zaidi...
Kwasababu sote ni mashuhuda jinsi ambavyo DCI na mashahidi wengine ambao tundu lisu aliwadanganya wafuasi wake kwamba hao ni mashahidi wake na wangetetea uhalifu wake mahakamani, lakini cha kushangaza mashahidi hao wamemkataa na kujitenga kabisa na uhalifu wa mtuhumiwa huyo wa uhaini.
Na hapa...
Hapa ni great thinker wanaweza kuelewa nachomaanisha hapa.
Kazi kubwa ya Lisu amehitimisha Leo kufunua udhaifu mkubwa wa mihimili ya nchi yetu.
Kazi imebaki Kwa wananchi kuchukua hatua za kufanya mabadiliko makubwa kwenye hiyo mifumo yetu .
Kama alivyoelezea historia yake inaonyesha akijaribu...
Bunge la umoja wa ulaya kupitia kamati yake inayoshughurikia utoaji wa tuzo kwa watu mbalimbali duniani wanaopigania demokrasia,utawala bora na haki za binadamu,imeorodhesha jina la TUNDU LISU miongoni mwa wanao wania tuzo hiyo kwa mwaka 2026.
Akitoa taarifa hiyo McCalister kupitia kurasa zake...
Hamjambo!
Sisi tunatazama. Tunafuatilia kila kitu kwa ukaribu sana. Tunahakikisha hatutapitwa na chochote. Ingawaje kuna baadhi ya episodes hatuzielewi na kuzifanyia tathmini inachukua muda.
Katika mchezo wa Chess huo ndio napenda kuutumia katika mambo ya kisiasa. Kwa sababu unaakisi hali...
Rule of law inasema no one above the law.
Naamini nchi yetu inaendeshwa Kwa mujibu wa Sheria sio mtu mmoja ajikurupia TU kutaka kupindua serikali
Nashauri mashahidi hao watatu wakatiwe rufaa Ili wake wathinishe uhaini kama ni mtu kunyongwa anyongwe Kwa haki.
Tutakuwa hutajamtendea haki...
Jamaa amekabidhiwa chama majuzi tu lakini kimeshinda yeye siasa kwake ni kurumisha mitusi mwanzo mwisho. Kwake hakina pont of consensus hata kidogo.
Inawezekana ana akili ya darasani ili hekima zero.
Alichapwa risasi 32 mama akaenda kumtoa huko ughaibuni kwa kumhurumia na baada ya kufika...
Moja ya taarifa kubwa iliyotikisa vyombo vya habari mwaka huu ilikuwa ni kukamatwa kwa Rais wa Venezuela, bwana Nicolás Maduro na vikosi vya Marekani tarehe 3 Januari 2026, huko Caracas, Venezuela, katika operesheni ya kijeshi iliyoitwa Operation Absolute Resolve.
Ingawa tarehe 5 Januari 2026...
Hamjambo!
Kuna Wanasiasa wa Msimu. Akiingia kiongozi huyu wanakuwa wakali kama viwavi jeshi. Akitoka huyu na kuingia mwingine wanakuwa kimya.
Hali hiyo inawafanya waonekane wanasiasa wenye maslahi fulani au ubaguzi hivi.
Hata ingekuwa ni mimi ndiye nimeingia madarakani. Yaani wakati wa...
Hamjambo wote!
Nilikuwa najiulizaga kwa nini watu wengi hawapendi kufikishana mahakamani. Iwe kama shahidi, mshtaki au mshtakiwa.
Kushtakiwa niliwaona wanaona hoja. Lakini mashahidi na wenye mashtaka sikuona haja ya wao kuogopa kwenda Mahakamani
Lakini kesi ya Lisu imenifumbua macho.
Huko...