tundu lissu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa haijulikani wapi Tundu Lissu alipo

    Mpaka sasa jeshi la polisi halijatoa taarifa rasmi wapi Tundu alipo. Wananchi wanahofu kubwa juu ya usalama wa kiongozi huyu mkubwa wa chama cha upinzani nchini. Hata hivyo taarifa za awali zinasema kuwa alikamatwa na jeshi la polisi. Wananchi mbalimbali wamekuwa wakifuatilia kwa ukaribu sana...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, Mnyika na Sugu wakamatwa na Polisi usiku huu. Baadhi ya Waandishi wa habari pia wakamatwa

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limewakamata watu wote waliokuwa ofisi za CHADEMA kanda ya Nyasa akiwemo Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara Mhe. Tundu Lissu, Katibu Mkuu. John Mnyika na Mwenyekiti wa Kanda Joseph Mbilinyi (SUGU) pamoja na viongozi wa BAVICHA. Pia soma: Jeshi la Polisi lapiga...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi

    Viongozi wa CHADEMA, Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa, Makamu Mwenyekiti Taifa na Katibu Mkuu wamekwishawasili Mkoani Mbeya kwa ajili ya kongamano la siku ya Vijana. Wamejiapiza kwamba hawatatii amri batili ya Polisi wataendelea na Ratiba yao kama ilivyopangwa Pia soma: Kuelekea 2025 - Msajili...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla amkaribisha Lissu CCM, ajibu kuna nini mpaka ahamie huko?

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amemkaribisha Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), Tundu Lissu kujiunga na chama hicho akidai tayari chama chake kimeacha misingi yake. Makalla ameeleza hayo Agosti 9, 2024 kwenye mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM, Dk...
  5. J

    JamiiForums Tanzania John Mrema: Hata mimi sitakuwa na sababu ya kubakia CHADEMA siku ikiondoka kwenye misingi yake kama alivyosema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu

    Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na mambo ya nje CHADEMA John Mrema amesema Makamu Mwenyekiti Tundu Lissu hajasema anahama CHADEMA bali alitumia kauli ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kusisitiza siku CHADEMA ikiondoka kwenye misingi yake na Yeye ataondoka Mrema amesema hata yeye hatakuwa na...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu wataje hao viongozi wa CHADEMA walionunuliwa kabla hawajaondoka na kuanza kukipaka chama matope

    Nakushauri Tundu Liissu utaje mapema iwezekanyo hio orodha ya wanachama wa CHADEMA walionunuliwa pamoja na huyo kiongozi kuliko kusuburi waanze kuondoka na kuanza kukipkaa chama matope kama anavyofanya sasa Msigwa ndio muanze kuwajibu kwani itakuwa ni too late. Kuna faida kubwa sana kuwaanika...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boniface Mwabukusi: CCM wanamnadi Samia kama mgombea wao, nini kinawazuia Upinzani kumnadi Lissu?

    Akizungumza kupitia mtandao wa ClubHouse, Rais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema; Kama kuna walimu wanachanga hela kumchangia @SuluhuSamia kugombea kupitia CCM, sisi wengine tusio na upande ndani ya vyama lakini tunajua Tundu Lissu ambaye ni Makamu Mkiti...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa Kanda ya Nyasa ateta na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa

    Wawili hao ni miongoni mwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema waliokutana kwenye kikao Muhimu kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho Mikocheni, Dar es Salaam
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimemdharau Tundu Lissu kwa kukataa hela/Mabilioni ya CCM kisa CHADEMA

    Salaam Lissu nilikuwa nakuheshimu sana. Umepigwa risasi sababu ya CHADEMA, umefungwa sababu ya CHADEMA, huishi kwa amani sababu ya CHADEMA. Leo unakataa ngawila sababu ya CHADEMA. Umelogwa au? Dunia Mungu akupe nini? CHADEMA Mbowe alishaiuza kwa Lowassa, sasa kaipiga mnada kwa Samia. Hadi...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yupo sahihi, tunapinga umungu mtu ndani ya vyama vyetu sio CHADEMA tu bali hata CCM

    TUNDU LISU YUPO SAHIHI, TUNAPINGA UMUNGU MTU NDÀNI YA VYAMA VYETU SIÔ CHADEMA TUU BALI HATA CCM. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watu aina ya LISSU wàpo vyama vyote sio CHADEMA tuu, wàpo Mpaka CCM na vyama vingine vidogo. Ndàni ya nchi yetu kûna tatizo la umungu Mtu, umungu taasisi, Jambo...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna Uadui wala Urafiki wa Kudumu kwenye Siasa Lissu karibu CCM ulitumikie Taifa kwa maono uliyonayo

    Kwa namna Mch Peter Msigwa kada mpya wa CCM anavyoieleza CHADEMA ilivyo. Mhe Tundu Lissu sioni haja ya wewe kuendelea kujitesa ndani ya CHADEMA wakati wewe kwenye Taifa hili ni hazina Kila mmoja anajua na kukubaliana na hili. Mhe Tundu Lissu siku ukija CCM utapokelewa na marafiki zako...
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu, kuna baadhi ya mambo busara inakutaka usiyazungumze in Camera mpaka inapokulazimu kufanya hivyo

    Nimekusikia ukinukuu BUSARA za Mwalimu Nyerere, lakini Mwalimu Nyerere busara zilimuongoza mambo mengine kuyazungumza in Camera na si hadharani. Nilitegemea majibu ya busara zaidi kuliko ulivyojibu. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu karibu CCM Upumzike

    Mbowe na genge lake wanamtumia Lissu kama ndoano ya kuvutia pesa CCM Kwa hali ilivyo, Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe amekuwa akitumia gia ya kuwatisha Viongozi wa CCM kuwa endapo Lissu atakuwa mwenyekiti wa CHADEMA basi mambo kwenye Taifa hili hayatakuwa sawa Huenda CCM...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Tuhuma za Msigwa kwa CHADEMA zichunguzwe, sisi si Malaika

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amesema tuhuma zilizotolewa na Mchungaji Peter Msigwa dhidi ya CHADEMA zinapaswa kuchunguzwa kwasababu CHADEMA si malaika kwamba wasikosee. "Inategemea hayo...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: CHADEMA ikiondoka kwenye misingi iliyonifanya nijiunge nacho, nitaondoka. CHADEMA siyo mama yangu wala dini yangu

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA- Bara, Tundu Lissu amsema iwacha CHADEMA itaacha misingi yake ailiyomfanya ajiunge na chama hicho basi ataondoka katika chama hicho na sio dhambi kufanya kuvyo kwani Chama cha Siasa sio mama yake wa dini yake Akizungumza kupitia Mtandao wa Clubhouse amesema "Mwalimu...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu asema CHADEMA hakuna ukomo wa Uongozi, akigusia uenyekiti wa Mbowe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna Rushwa inatuvuruga ndani ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse amenukuliwa akisema "Kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi, yeyote anayesema hakuna tatizo anatudanganya, kuna tatizo la rushwa ya uchaguzi na rushwa ya uchaguzi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Michango ya Wananchi kwaajili ya kununua Gari langu imefika Tsh. 104,081,139

    Makamu Mwenyeki wa CHADEMA, Tundu Lissu ametoa taarifa za Michango ya Kununua Gari lake ambayo inatolewa na Wananchi ambapo amesema hadi sasa imefika zaidi ya Tsh. Milioni 104. Lissu ameandika kupitia Mtandao wa ax (Twitter) kuwa "Mchango Update Latest: Nilitoa update mara ya mwisho tarehe 13...
  20. JamiiForums Tanzania Burudani: Tundu Lissu akisakata rhumba kufurahia ushindi wa Mwabukusi

    Hakika furaha haijifichi. Baada ya kumfanyia endorsement Wakili Mwabukusi kuwa Rais wa TLS na hatimaye kushinda uchaguzi huo, furaha ya Mwanasheria nguli nchini na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu haikufichika. Hapa anasakata lumba kama kawaida. Mcheki! Pia soma:Boniface...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…