tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni. Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  3. JamiiForums Tanzania Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

    Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA. Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi. R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

    Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu Sasa unadai kuna watu walikuja kwako...
  5. JamiiForums Tanzania Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

    Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ? 1. Agombee ubunge arudi bungeni 2. Aungane na kina Mnyika wafanye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Strictly to Hon Lissu Only: Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

    Kwa Heshima na Taadhima Naandika barua hii kwako kwa kuwa ni wewe pekee ninaekuamini unaetaka chadema kushika dola. Na kwa imani hii niliyonayo ninaamini imebeba fikra wa idadi kubwa ya wale ninaowasemea. Kwa asili ya watu hao si wapenda vyeo, lakini kwasababu za kiintelijensia wanakuwa tu ktk...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kukosekana wabunge machachari Bunge limedorora? Maridhiano yaendelee au?

    Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa. Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza, Mbunge pekee machachari wa CCM, Luhaga Mpina yuko nje kwa kadi nyukundu. Wakina Msukuma, Kibajaji...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kauli ya Lissu kuwa CHADEMA siyo mama yake anaweza kuhama ni kiashiria cha uwezekano wa kuhama CHADEMA

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba "CHADEMA sio baba yake wala mama yake, hivyo ikitokea kuhama anaweza kuhama tu," inatoa ishara ya kuwa uhusiano wake na chama sio wa kihisia, bali ni wa kimaslahi na maamuzi yake yanaweza kubadilika kwa urahisi. Hii inaweza kuwaudhi wanachama wa CHADEMA ambao wanaona...
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lisu: Hata nikitaka kuanzisha Chama kipya Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu mimi ni mpinzani wa kweli!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema hata kama angekuwa na Nia ya kuanzisha Chama kipya Cha Siasa kamwe Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi hatakisajili kwa sababu anafahamu yeye ni mpinzani wa kweli. Lisu amesema kwa asilimia Kubwa Siasa za Tanganyika Hazina uhalisia...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni muoga, hana ujasiri, uthubutu wala mipango mikakati ya kupambana na rushwa

    Mahojiano yake na mwanahabari katika kituo kimoja maarufu cha television nchini yamethibitisha uoga na unyonge wa huyu muungwana katika kupambana na kudhibiti rushwa ndani ya chama chake mwenyewe, lakini pia imethibitika pasina shaka huyu muungwana hana uwezo wala mipango mikakati ya makusudi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: CHADEMA ilistahili kupata Wabunge 18 wa Viti Maalum, sasa huyo wa 19 ametoka wapi?

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu amesema Chadema ilistahili kupata Wabunge wa Viti Maalum 18 kulingana na formula ya Uteuzi ila tunashangaa Tume imepeleka bungeni Wabunge 19 Aidha CCM walipaswa kuwa na Wabunge 84 lakini wako 94, yaani nchi hii usanii ni kila mahali,.amelalamika Lisu...
  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Walinifuata kunipoza niache kusemasema

    https://www.youtube.com/watch?v=ZL2V3hUw5Hg Akihojiwa na Katika Kipindi cha Dakika 45 cha ITV, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema “Sikuwahi kufuatwa na Mtu akaniambia anipe hela ili nisiwe na msimamo Fulani, safari hii nimefuatwa ndio maana imebidi nikemee hadharani.” Bila...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lisu: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa iliundwa Ili Kudhibiti Upinzani ndio sababu CCM haijasajiliwa na Msajili hivyo hawezi kuwafanya lolote

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Antipas Lisu amesema ukisoma sheria ya Vyama vya Siasa utagundua Msajili wa Vyama vya Siasa hana nguvu yoyote ya kuishughulikia CCM kwa sababu haikusajiliwa na ofisi yake Lisu amesema CCM ilisajiliwa kwa sheria ya mkoloni wakati ikiwa TANU na ndivyo ilivyo...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tundu Lissu anajichanganya changanya katika mazungumzo?

    Anasema eti CHADEMA ni sahihi kukosea kwa sababu siyo Mungu bali binadamu. Sasa mtu atajiuliza kwamba kwanini wanataka CCM isikosee? Kwani CCM kinaongozwa na Mungu? CHADEMA muwe mnaacha mihemko au Lissu asiwe anapeqa maiki maana hajui kuzungumza i.e ni zuzu
  16. I

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wanamgwaya Tundu Lissu kumuhoji kuhusu rushwa ya Abdul

    Mara kadhaa Makamu Mwenyekiti wa Chadema amedai mtoto wa Rais Samia aitwai Abdul alikwenda nyumbani kwake akiwa na kiongozi wa mmoja wa Chadema kwa ajili ya kumpa rushwa ili alegeze misimamo yake dhidi ya serikali. Tundu Lissu hakuishia hapo bali amesema Abdul alimweleza kuwa amekwisha gawa...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu hofu yako ya fedha chafu ndani ya Chadema inatoka wapi?

    Nimemsikikiza vizuri sana makamu mwenyekiti wa Chadema kwa makini sana kupitia kituo komoja cha habari jana. Anasema anahofu kuwa fedha haramu zinaweza kuingizwa ndani ya Chadema. Lissu ni makamu mwenyekiti wa Chadema ambaye yupo ktk top 3 ya viongozi wakuu wa chama. Inakuwaje awe na mashaka...
  18. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Anakumbusha Uchaguzi wa Urais wa TAA Kati ya Abdulwahid Sykes na Julius Nyerere 1953

    TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953 Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika. Leo usiku katika kipindi cha ITV Dak. 45 Tundu Lissu akihojiwa na Mtangazaji Farhia Middle katika kujadili...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtangazaji wa ITV na Tundu Lissu hakika mmetutendea haki sisi watanzania kwenye kipindi cha dakika 45

    Tuache ushabiki pembeni, mtangazaji wa ITV alijipanga vyema sana katika kufyatua maswali ya msingi yenye kumuweka kwenye kona Lissu, na Lissu aliweza vizuri sana kukabiliana nayo moja kwa moja bila kukwepa, kuzunguka mbuyu au kulipua lipua. Hakika ulikuwa mjadala mzuri wenye kusisimua na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Farhia Middle anywea kuendelea kuhoji rushwa kutoka kwa Abdul kwenda kwa Tundu Lissu

    Tundu Lissu amemtahadharisha mtanganzaji wa ITV Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kuwa kama anataka kufahamu jinsi Abdul alivyomshawishi kwa rushwa alegeze misimamo yake dhidi ya serikali ajiandae. Farhia akala kona kwa kuhofia majibu magumu ambayo Tundu Lissu angeyatoa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…