tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Hata mje na mabomu, mabunduki na magari yenu ya vita, kesho tutawashinda!

    Wakuu, Mambo yameendelea kuwa sukari huko Singida kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa. Lissu akiwa anazungumza leo Singida amesema kuwa CHADEMA itashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa haki na hata kukiwa na bunduki pamoja na magari ya vita bado tu watashinda. "Nyie Mapolisi...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tanzania sio Jamhuri, tuko chini ya Utawala wa Kijeshi. Ukiondoa Polisi na Wakurugenzi CCM hakuna!

    Wakuu, Wakati akiwa anahitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tundu Lissu ametoa yake ya moyoni. Ameseme kuwa bila vyombo vya Usalama na Wakurugenzi CCM isingekuwepo madarakani na kwamba CCM inatumia nguvu za kijeshi kubaki madarakani "CCM wapo kwenye uchaguzi huu kwasababu moja...
  3. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

    Wakuu. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019...
  4. JamiiForums Tanzania Je, kesi aliyofungua Tundu Lissu nje ya nchi ndio sababu ya TIGO Tanzania kubadili jina?

    Zipo Taarifa za Kampuni ya Tigo Tanzania kubadili jina. Si kazi nyepesi kubadili jina la Brand kubwa kama Tigo, bila shaka liko jambo kubwa sana lililopelekea uamuzi huu. Je, ile kesi kabambe ambayo Lissu ameifungulia Kampuni hiyo nje ya nchi yaweza kuwa Sababu?
  5. J

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu atimba Ikungi na kugawa Nakala za viapo kwa Mawakala wa CHADEMA. Suphian Juma wa CCM naye kuwaongoza Wana Ikungi!

    Wakati God bless Lema wa Arusha na Pambalu wa Mwanza wakiendelea kulialia, Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu yuko Ikungi Singida na mambo yanakwenda vizuri Kadhalika mkoani Mbeya mh Sugu anaendesha seminar ya Mawakala na wanakwenda vizuri Suphian Juma naye yuko Ikungi bampa to bampa...
  6. JamiiForums Tanzania Mchuano mkali nafasi ya uenyekiti - CHADEMA Taifa; Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Odero C. Odero

    Haina shaka tena... Si tetesi tena bali ni uhakika kuwa Tundu Antipasy Mghway Lissu (Makamu Mwenyekiti taifa wa sasa) atapambana na wenzake wawili kuwania nafasi ya uenyekiti taifa - CHADEMA... Mwingine aliyekwishajitokeza ni mwanachama mmoja ajulikanaye kwa jina Odero C. Odero. Na wa tatu...
  7. JamiiForums Tanzania Mwenye video ya Tundu Lissu akizungumzia namna ya kukuza uchumi wa nchi ailete

    Shida ya Lisu hazungumziagi namna ya kukuza uchumi, yeye ni siasa tu muda wote. Miradi yote ya kukuza uchumi na kuongeza ajira anaitukana, ndani ya miezi 4 SGR imesafirisha abiria milioni 1 wakati Lisu aliita ni mradi uchwara! Lisu afundishwa kuwa maisha ya mwanadamu siasa ni 20% na 80%...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ikungi Singida: Mzee amtabiria Tundu Lissu kuwa Rais wa Tanzania katika uchaguzi wa mwaka 2025

    "Kama mnavyosikia kote wagombea wameenguliwa hata hapa kwetu Ikungi hali ni hivyohivyo, lakini mwamba huu hapa Tundu Lissu umefanya kazi na kazi ya wananchi mwakani nikuchagua Diwani, Ubunge lakini Rais tunaye ambaye ni Tundu Lissu" Mzee, Jumanne Mwiko Kuahanya maarufu kama (Waodimo) kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Suphian: Tundu Lissu na CHADEMA yao wanaiogopa Ikungi

    Video: Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Suphian Nkuwi akiwanadi wagombea wa serikali za mitaa kupitia CCM Kitongoji cha Ikungi, Novemba 23, 2024. Suphian Nkuwi amesema CHADEMA imebarikiwa maneno matupu lakini CCM imebarikia Maji, umeme, barabara, afya, elimu bora. Soma Pia: Singida: Wagombea...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akichaguliwa rais wa Tanzania utafanya nini?

    Japo simpigii kampeni, nani ajuaye mipango ya Mungu. Katika gombea gombea ikatokea Tundu Lissu akachaguliwa kuwa rais, utanya nini au utajisikiaje? Nakumbuka. Alimuonya Magufuli juu ya uvunjaji wa sheria za mikataba akataka kumuwahisha kuzima akaishia kuwahi yeye. Alinusurika kuuliwa. Hakuuguzwa...
  11. JamiiForums Tanzania LGE2024 POTOSHI Wananchi wamemkosoa Tundu Lissu kutokana na hotuba yake

    Salaaam wanajukwaa Nimekutana na video inaonekana kama imepostiwa na Jambo Tv, kichwa cha habari kinasema wananchi wamkosoa Lissu, video hiyo inapoendelea kucheza naona kuna comments zinapop up, Je video hiyo uhalisia wake ni upi wakuu?
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ikiwa Tundu Lissu ameridhia kununuliwa gari ya kifahari na wananchi. Akiwa Rais atafuta manunuzi ya V8?

    Salaam, Shalom!! Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni. NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi! Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Karibuni 🙏.
  13. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  14. JamiiForums Tanzania LGE2024 Mara: Lissu akosoa uokoaji wahanga wa Kariakoo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara Tundu Lissu akizungumzia zoezi la uokoaji wahanga wa ghorofa lililoporomoka Kariakoo November 21, 2024 mkoani Mara amesema anashangaa kuona watu hawajiulizi maswali haya muhimu; Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 -...
  15. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Ukinipigia simu kwamba hawajamtangaza mgombea wetu ambaye ameshinda, nitakuuliza umewafanya nini? Umempiga ngeu kiasi gani?

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA katika mkutano wake wa hadhara wilayani Tarime mkoani Mara amesema mwanachama atakayempigia simu akilalamika kwamba hawajamtangaza mgombea wao ambaye ameshinda, "nitakuuliza umewafanya nini? umempiga ngeu kiasi gani" Soma pia: MARA...
  16. JamiiForums Tanzania LGE2024 Fikira fikirishi: Maneno haya ya Tundu Lissu yana maana gani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema mji wa Tarime una nafasi ya kipekee ya kudai haki kupitia chama hicho cha upinzani hasa kikipewa uongozi na wananchi. Lissu ameyasema hayo leo Novemba 21, 2024, wakati akiongea na wananchi wa Tarime akiwa...
  17. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu: Samia hana tofauti na Magufuli, tofauti ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi

    Akiwa kwenye muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Mjini Tarime Tundu Lissu amesemaRais Dkt. Samia hana tofauti na mtangulizi wake hayati John Magufuli, tofauti yao ni jinsia tu. Ana honga watu kwa hela ya wizi.
  18. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu akataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA, "Mwambieni nikitaka maji nitayaomba, msimpige"

    Wakuu Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara, Tundu Lissu amekataa maji katikati ya mkutano wa hadhara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, akiwa Nyamongo mkoani Mara. Soma, Pia: MARA: Matukio yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 Special...
  19. JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu anaunguruma Mkoani Mara kwenye Ufunguzi wa Kampeni za CHADEMA

    Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tundu Lissu nakushauri wewe ndio ukamzuie Mkuu wa Mkoa wa Simiyu na sio kuwatafutia matatizo wananchi

    Unawatangazia wananchi kuwa wakimuona Mkuu wa Mkoa wamzuie, ebo.Mkuu wa Mkoa ambaye ametajwa kikatiba, ametajwa kwenye sheria ya Tawala za Mikoa Na.19 ya mwaka 1997, ametajwa kwenye kanuni za kudumu za utumishi wa umma, mwenyekiti wa kamati ya usalama mkoa, wananchi wazingire gari lake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…