tundu lissu

  1. Maandamano sio ya CHADEMA ni ya wananchi. Tusimsubiri Mbowe wala Tundu Lissu

    Vichwa vya watanzania bado vinabidi viitiwe mkoloni maana bado akili zimelala. Eti wanamsubiri mbowe na lissu kwenye maandamano, kwahiyo wakikamatwa au wasipokuja ndohatuandamani au? Haya maandamano inabidi yaratibiwe na sisi watanzania hata kama wanasiasa yoyote yule asipokuja sisi tusonge...
  2. PreGE2025 Maandamano ya CHADEMA: Lissu kwenda kuripoti Ofisi ya RCO Kinondoni asubuhi hii

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema asubuhi hii (leo, Jumatatu Septemba 23, 2024) amefuatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi nyumbani kwake, na kuelezwa kuwa anahitajika kuripoti kwa RCO wa mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam, ambapo amesema yuko tayari kwenda kuitikia wito huo...
  3. PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu kubwa na Watanzania. Siku ya maandamano ya wananchi wakiongozwa na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa Chama hiko; amefafanua kwamba lengo la maandamano hayo ni kupinga wimbi na matendo mabaya yanayoendelea nchini ya utekaji...
  4. L

    Tundu Lissu, demokrasia kipindi hiki imekuwa zaidi kuliko huko nyuma, acha kujitoa ufahamu

    Nimekusikiliza Wakili Msomi Tundu Lissu ukisema kwenye mkutano wa TCD kuhusu tathmini ya hali ya demokrasia nchini, ulieleza kwa takwimu kuwa wakati huu wa Rais Samia demokrasia imerudi sana nyuma kuliko wakati wa Magufuli. Wakili Msomi Tundu Lissu naona umejizima data. Kuna utofauti mkubwa...
  5. SI KWELI Tundu Lissu amekiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja

    Nimekutana na post inasambaa mtandaoni Tundu Lissu akisema anaunga mkono ushoga na video ina maneno yanayosema "Lissu akiri kuunga mkono mapenzi ya jinsia moja" je post hii ina ukweli wowote?
  6. PreGE2025 Tundu Lissu akiwa BBC: Kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa huru na wa haki

    Wakati joto la uchaguzi likiendelea kufukuta Tanzania, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amedokeza kuwa kutokana na hali ya kisiasa ilivyo nchini kuna kila dalili kuwa uchaguzi ujao hautakuwa wa huru na wa haki. Akiongea na BBC Swahili, Lissu ametanabaisha kuwa uchaguzi wa 2020 haukuwa...
  7. Rasmi Tundu Lissu ajibu tuhuma za muda mrefu kuhusu wanachama wa CHADEMA kujiteka wenyewe

    Akiongea na BBC Swahili hivi karibuni, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu hatimaye amezizungumzia tetesi na tuhuma zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba CHADEMA wana hulka ya kujiteka wenyewe ili wapate huruma ya wananchi. Kwenye mahojiano hayo, Lissu amegusia sakata la Chacha...
  8. L

    Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  9. Padri Kitima: Msaidieni ndugu yenu Tundu Lissu. Demokrasia ina gharama zake

    My Take: Hii Kauli inatuma ujumbe Fulani ,wajuzi watujuze. Moja ya tukio lililovuta hisia za washiriki wa kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki ni hili la wanasiasa wa CCM na Chadema kuwa pamoja. Kilele hicho kimefanyika leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika...
  10. Godlisten Malisa: Nimetajwa kwenye orodha ya wanaotakiwa kuuawa, naishi kwa hofu, sijui hatma ya watoto wangu

    Mwenyekiti wangu Mhe.Freeman Mbowe, sometimes unakua muungwana sana hata kwenye mambo yasiyohitaji uungwana. Huyu Masauni ungemuacha apewe haki yake ya kikatiba. Hatuwezi kuruhusu mtu aliyesema watu wanaotekwa wanatafuta kiki ahudhurie msiba huu. Mtu aliyefanya press na kusema Tanzania ni...
  11. B

    Tundu Lissu: We were too quick to give President Samia Suluhu Hassan the benefit of doubt

    Tundu Lissu has apologise to the nation and international community, for being too naive https://m.youtube.com/watch?v=9djeud3m8Ic And Tundu Lissu went further by saying he and many tanzanians have to bare that heavy burden of wrongly thinking that any leader assuming the office under the...
  12. C

    Tundu Lissu inabidi aingoze Chadema kutokana na hali ya siasa iliyopo

    Hii haina ubishi kwa siasa za kinyonge zilizopo ndani ya Chadema zinazoendeshwa na Mboe,inabidi amkabizi kijiti Tundu Lissu Siyo kwamba kwa ajili ya kufanya vurugu,hapana tunaitaji mtu atakayetutia ujasiri hata tunapouwawa,siyo kulialia na kuwakaribisha wauwaji kwenye misiba yetu na kutoa...
  13. Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza vyenyewe sakata la Mauaji na Utekaji nchini

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameibua wasiwasi juu ya uwezo wa vyombo vya usalama nchini kuchunguza kesi za mauaji na utekaji zinazoshika kasi hivi karibuni. Lissu amesisitiza kuwa ni vigumu kwa vyombo hivyo kujichunguza vyenyewe na kutoa haki, akidai kuwa uchunguzi wa huru...
  14. Tundu Lissu: Vyombo vya Usalama haviwezi kujichunguza, Tume ya Kijaji inaripoti kwa Rais, njia halali ni kuleta Wachunguzi wa Kimataifa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema haiwezekani Vyombo vya Usalama nchini kuchunguza Matukio ya Uhalifu ikiwemo Utekaji na Mauaji yanayoripotiwa nchini kwasababu vinatuhumiwa kuhusika na matukio hayo. Akizungumza na JamboTV, Lissu amesema "Lini Jeshi la Polisi liliwahi kuchunguza...
  15. Ukimya wa Lissu kwenye msiba wa Ali Mohammed Kibao haujaleta picha nzuri kwa CHADEMA

    Kitendo cha Tundu Lissu kutokutoa salamu za rambirambi kwa Ali Kibao hakijaleta taswira nzuri ndani ya CHADEMA. Watu wanajiuliza sababu ni nini? Kipi kipo nyuma ya huu ukimya? CHADEMA jitokezeni mtoe ufafanuzi. R. I. P ALI MOHAMED KIBAO
  16. PreGE2025 Lissu wataje waliokuja kwako kukuhonga kabla haujachelewa

    Wakati ule ulisema kuwa unazo taarifa kuwa kuna watu wanakufuatilia. Siku kama ya jana ukashambuliwa kwa risasi. Pia soma: Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu Sasa unadai kuna watu walikuja kwako...
  17. Ni lipi tumshauri Tundu lissu kati ya haya ?

    Kuna kila dalili Rais Samia ataendelea kuongoza mpaka 2030 , lakini kuna kila dalili kuna makubaliano wapinzani kuachia kiti cha Urais CCM na kupata baadhi ya majimbo , Tumshauri lipi kati ya haya Tundu lissu katika hali hii ? 1. Agombee ubunge arudi bungeni 2. Aungane na kina Mnyika wafanye...
  18. M

    Mwenendo wa Tundu Lissu na Lema unatia mashaka CHADEMA hivi sasa

    Wakati Dk Salaa anahama chama, yule dada Pondeza , mlikuwa kila dakika mnaandika katika mitandao kuwakosowa waziwazi. Lakini hili swala la Kwao kimya, hata kutype tu kwenye account zao zimekuwa ngumu Hii ndio inampa nguvu Msigwa kuishambulia Chadema. KUNANINI?
  19. M

    PreGE2025 Strictly to Hon Lissu Only: Barua ya wazi kwa Tundu Lissu

    Kwa Heshima na Taadhima Naandika barua hii kwako kwa kuwa ni wewe pekee ninaekuamini unaetaka chadema kushika dola. Na kwa imani hii niliyonayo ninaamini imebeba fikra wa idadi kubwa ya wale ninaowasemea. Kwa asili ya watu hao si wapenda vyeo, lakini kwasababu za kiintelijensia wanakuwa tu ktk...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…