tundu lissu

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishinda anatakiwa ajiuzulu ndani ya mwaka mmoja

    Kabla ya kujiuzulu panga safu nzuri ya uongozi ndani ya chama. Pangua sekretariate yote, pangua safu ya wakurugenzi makao makuu, kuna wakurugenzi wamejimilikisha ofisi miaka na miaka tunawasikia. Nenda CHASO tafuta vijana wapya wape majukumu wakipe chama uhai. Usisahau kutibu majeraha na...
  2. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu tafuta hela achana na siasa

    Lissu ama arudi kwenye harakati zake za NGO za kutetea mazingira au akubali kuwa chawa wa Mbowe. Huwezi kushindana na mtu mwenye hela. Enzi za mkoloni na miaka ya 60 mpaka 70 Nyerere alikuwa akikwama anakwenda kukopa hela kwa mzee Aikaeli Mbowe. Mbowe ni mtoto wa mjini, na ana pesa. Mbowe...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Tundu Lissu ajibu hoja za Freeman Mbowe kuhusu Maridhiano na CCM/Serikali, Mahusiano yake na M/Kiti na hoja za Wenje kuhusu rushwa ya Abdul

    Uchaguzi wa mwenyekiti CHADEMA (T) safari hii na awamu ni very unique... Ni wa kipekee kwa sababu awamu nne (2004, 2009, 2014 na 2019) ambazo mwenyekiti wa sasa Mh Freeman Mbowe alikuwa akishinda kwa ulaini kwa sababu ya udhaifu na prominent ya washindani... Awamu hii, mwaka huu hali ni ngumu...
  4. JamiiForums Tanzania Wimbo wa Iko Iko ane wa Justin Wellington My bestie namdediketi tundu lissu

    Wimbo huu mzuri mpya kabisa wa Justin Wellington Iko Iko namdediketi tundu lissu. Mwamba asiechuja. Mwenye nao wa video autupie hapa.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kabisa kumuelewa Tundu Lissu, moja kati ya wanasiasa niliokuwa nawakubali sana

    Nashindwa kum define Lisu my once favorite politician! Nashindwa kumwelezea Lisu, mwanasiasa niliyempenda sana hapo awali! Pengine anaweza kufafanuliwa kama mtu mwenye mgawanyiko mkubwa—kukosekana kwa uwiano kati ya mawazo, hisia, na tabia. Hii husababisha mtazamo potofu, matendo yasiyofaa...
  6. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe asishupaze shingo. Lissu anamwaga petroli kwenye mbao za CHADEMA huku akiwa ameshika kiberiti

    Ningelikuwa mshauri wa Mbowe ningemshauri awe mpole tu. Huku mitaani na mitandaoni kote watu wanayaamini maneno ya Lisu. Mbowe anaonekana ni mwizi, mlaghai, mra rushwa na king'ang'anizi wa madaraka. Mbowe akishupaza shingo na kuendelea na msimamo wake, basi mbao za chadema zitagawanywa ama...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kwakweli kamdomo ndio kanamponza, hana rijamu katika kinywa chake!

    Kampeni za Lissu zinaonyesha ana visasi na ugomvi na baadhi ya viongozi, zinaonyesha kwamba hana nia njema kabisa. Anaingia kama mtu mwenye kisasi sidhani kama hata siku ya uchaguzi itafika akiwa bado ni mgombea wa CHADEMA! Kelele zimekuwa nyingi lakini pia anatumia lugha za kuudhi na malengo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Jamiiforuma acheni upendeleo kwa Tundu Lissu, najua mnataka awe mwenyekiti wa Chadema jambo ambalo haliwezekani

    Nimekuwa nafatilia sana mijadala humu lakini naona wazi kabisa Jamiiforums mnataka Lissu awe mwenyekiti Chadema, mnapost nyingi sana za upendeleo kwa Lissu kuliko za Mbowe, this is not fair. Tendeni haki kwa wote, hata kama maoni ya wengine hamyaheshimu basi waachieni wasomaji waamue sio admini...
  9. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, huwezi kuongoza chama na kuleta mabadiliko kwa kususa na kutofanya chochote tu.

    Badala ya kujikita kushambulia maridhiano ni vyema Tundu Lissu aeleze sasa atafanya nini akichaguliwa kuwa mwenyekiti ikiwa aina ya chaguzi zilizofanyika 2019, 2020 na 2024 zinaendelea. Ikiwa wanachama wa chama chake wataendelea kupotea, kukamatwa na kufunguliwa kesi za kisiasa. Tundu Lissu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatafuta uongozi ndani ya Chadema kwa njia za uongo, hila, uchonganishi, uropokaji, hafai hasta kidogo

    Kwa sababu ameaminisha watu kuwa eye ni mkweli, anaongea hasta mambo ya vikao vya Kamati Kuu, anatuhumu wenzake kwa mambo ya uongo kabisa ambayo anajua kabisa kuwa anawachafua wenzake ili kujenga Imani kwa wanachama aonekane mkweli. Anatafuta uongozi kwa kuwadanganya watanzania kuwa yeye ni...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakili Tundu Lissu anaiogopa sana Mahakama?

    Huyu bwana kwa taaluma yake na kwa jinsi anavyojipambanua kama mwanasheria nguli, nilitaraji niwe nimemuona katika viunga vya mahakama mara kadhaa. Sababu kubwa ni kwa kujua na Lissu anajua sana, kuwa kwa mujibu wa Katiba yetu, mahakama ndio mhimili uliopewa mamlaka ya kusimamia na kutoa haki...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hela za Abdul ndicho chanzo cha mtafaruku CHADEMA

    Lissu anagombea Uenyekiti kwa hasira baada ya kuletewa Wenje ili amuondoe kwenye nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti aliyokuwa ametia nia. Akiwa anajibu maswali kwenye kipindi cha ClubHouse, Lissu amesema, "Yanayoendelea Chadema chanzo chake ni hizo hela za Abdul nilizozikataa ambapo Wenje alikuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Garatwa: Nondo (6) za Tundu Lissu Mgombea Uenyekiti CHADEMA Taifa 2024-2029

    NONDO (6) SITA ZA LISSU AKIWA LIVE CLUBHOUSE LEO USIKU 1. SUALA LA MGAO WA RUZUKU "Suala la mgao wa Ruzuku ya chama kwenda kwenye ngazi za Wilaya na Mikoa hata kama ni kupeleka kidogo cha kadri lilishakuwa changamoto kubwa sana ndani ya chama chetu licha ya kelele nyingi tunazopiga"...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Mbowe ndiye alimualika Rais Samia kama mgeni rasmi kwenye Kongamano la BAWACHA na kumuandalia Tuzo ya Maridhiano

    Wakuu, Lissu anazidi kumwaga mchele! Anasema kwenye mkutano ule BAWACHA hawakumualika Rais Samia kama mgeni rasmi bali aliakiwa na Mbowe! Baada ya kuwa kamualika ndio alikuja kuwajulisha wengine kuwa amemualika Samia kama mgeni rasmi. Lissu anasema kwenye hili pia waliamua kukaa kimya na...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Kulingana na hotuba ya Mbowe na body language inaonekana bado alikuwa na ndoto kuwa maridhiano hayajavunjika

    Lissu anasema Mbowe alivyokuwa anaongea kwenye hutuba yake inaonekana bado anataka maridhiano. Anasema toka amerudi hakukuwa na mabadiliko yoyote kisera. Yote yaliyofanywa kwa upande wake yalikuwa ni masharti ambayo CCM walitakiwa kufanya kabla ya kuingia kwenye maridhiano. Pia soma: Pre GE2025...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Wamepanga kuingiza kura feki uchaguzi wa ndani (CHADEMA)

    Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Nimepewa taarifa na mtu wa heshima sana kuhusu maandalizi ya vurugu kwenye uchaguzi. Kuna watu wanaandaliwa waje waingie ukumbini kama wanachama, kumbe wapo kwa kazi maalum ya kutorosha masanduku ya kura...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Tutaweka ukomo Ubunge Viti Maalum isiwe kikundi cha wale wale miaka yote

    Tundu Lissu Makamu akizungumza kupitia clubhouse leo Desemba 23 amesema kuwa "Tutaweka ukomo wa Ubunge wa Viti Maalum ili wanawake wengi wanaokipigania Chama wapate fursa na isiwe kikundi cha watu wale wale miaka yote". Pia soma - Pre GE2025 - Tundu Lissu: Mimi sina maslahi binafsi kwenye...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu amjibu Wenje, asema aliudanganya umma kuhusu suala la Abdul

    Wakuu, Lissu anaongea club house sasa hivi kujibu hoja za wenje na kuongelea mambo mengine. Kati ya aliyosema ni kuwa hajawahi kumtuma Wenje kuhusu madai yake kabisa na kwamba ni uongo. Lakini pia hajawahi kutoa doc za madai yake kwa abdul ili amsaidie kufatilie madai yake. Pia soma: Pre...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Afisa Makao Makuu CHADEMA: Mbowe anaendekeza Ukabila. Kati ya wafanyakazi 19 wanaolipwa Mishahara na CHADEMA 9 wanatoka Killimanjaro

    XxxxxX Twende Pamoja, kwa muda mrefu wapinzani wetu kisiasa wamekuwa wanasema udini na ukabila zaidi kwa swala la Ukabila wanalengwa watu kutoka mkoa wa Kilimanjaro anakotokea Mwenyekiti wetu wa Taifa. Naomba nikushirikishe na wewe upime Je kuna ukweli wowote? Secretariat ambacho ni chombo cha...
  20. JamiiForums Tanzania Wakili Peter Madeleke: Tundu Lissu ni Simba Mkali

    Mimi Peter Madeleka, natangaza rasmi, kwa wale ambao hamjui msimamo wangu, kwamba; ninamuunga mkono “simba” Tundu Lissu Kwa kuwa anafaa kuwa, si tu, mwenyekiti wa chadema, bali, rais wa tanzania. Sifa zote anazo. Naona kila mtu anamuunga mkono Tundu Lissu nadhani sauti ya Wengi ni Sauti ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…