tundu lissu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Wakuu Vipi tusiamini vicheko😀? == Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiwa na Makamu mwenyekiti wake, Tundu Lissu wakati wa kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kinachoendelea makao makuu ya chama hicho, Mikocheni Dar es Salaam, leo Ijumaa, Januari 10, 2025...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Singida watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Uenyekiti

    Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Singida wamesema wamekubaliana kumuunga mkono Tundu Lissu katika kuwania kiti cha Uenyekiti wa CHADEMA Taifa. Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Singida, Omari Toto amesema wameamua kumuunga mkono Lissu kutokana na Sera zake ambazo...
  3. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga

    Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke Tazama Video hii
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu awataja viongozi wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mbowe na anawashughulikia ndani ya Chama

    Tundu Lissu amewataja baadhi ya viongozi na Wanachama wa CHADEMA ambao hawajatubu kwa Mwenyekiti wa Chama, Freeman Mbowe na anawashughulikia ipasavyo ndani ya Chama. "Tukikutana hivi kwenye vikao hatupigani ngumi, hatuko kama tulivyokuwa mwanzoni. Mwenyekiti aliyekwenda gerezani, sio Mwenyekiti...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe amvaa Dkt. Slaa kisa Tundu Lissu, adai "mpiga debe wa CCM hapaswi kutufundisha CHADEMA"

    "Tunaona watu ambao walishaondoka CHADEMA huko miaka ya nyuma kama akina Dkt Wilbroad Slaa ambao walikimbia CHADEMA wakaenda Chama cha Mapinduzi wakapewa na zawadi ya ubalozi, eti leo naye amekuwa ndiye mpiga debe mkubwa wa Makamu Mwenyekiti wangu kutaka apewe Mwenyekiti wa chama na kubeza na...
  6. rr4

    JamiiForums Tanzania Mipango ya kumng'oa Mbowe kwenye Uenyekiti yalianza akiwa gerezani ile miezi nane

    MAPINDUZI YA KUMPINDUA MBOWE KWENYE UENYEKITI YALIANZA AKIWA GEREZANI ILE MIEZI MINANE Soma kwa Makini utafahamu haya yanayo endelea hivi sasa.!!! Mwenyekiti Mbowe alisha ushinda uchaguzi Mara baada ya kutoka Gerezani,Mnakumbuka kwamba Mwenyekiti aliwahi kuwa Gerezani miezi minane.?? Katika...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ezekia Wenje: Lissu aliogopa kugombea Umakamu Mwenyekiti na mimi akihofia kudhalilika akishindwa

    Wakuu Baada ya Tundu Lissu kudai kuwa Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yake (Makamu Mwenyekiti) ili wamuondoe, na yeye kuamua kugombea nafasi ya aliyekutuma (Uenyekiti), sasa Ezekia Wenje amejibu mapigo; Soma: Tundu Lissu: Mbowe alimtuma Wenje agombee nafasi yangu ili waniondoe, nikasema...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anatakiwa kukatwa Jina lake kutokana na kuwachafua viongozi wenzake na Kuharibu taswira ya chama

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna kitu CHADEMA wanapaswa kujifunza kutoka CCM basi ni suala zima la kusimamia maadili, nidhamu,sheria,kanuni, taratibu,miongozo na katiba ya chama.Ndani ya CCM hakuna aliye mkubwa zaidi ya chama,hakuna aliye juu ya chama,hakuna mwenye kusema pasipo yeye hakuna...
  9. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Fuatilia mahojiano aliyofanya Tundu Lissu na Mtangazaji Sammy Awami wa BBC Swahili. Ajibu tuhuma za kutokuwa mtu wa shukrani nk

    SEHEMU YA KWANZA👇🏻👇🏻 https://youtu.be/OO2AYA3VY-Y?si=rYCwWDRt0KJognM3 SEHEMU YA PILI👇🏻👇🏻 https://youtu.be/e0MXkGVJrn8?si=56j8vHveXRune5eo Kwa ufupi: ➡➡Amejibu na kutoa ufafanuzi wa tuhuma mbalimbali zilizotolewa na mgombea uenyekiti mwenzake Ndugu Freeman Mbowe.... Miongoni mwa tuhuma hizo...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wanaharakati wanastahili maua yao. Wanasiasa ni watu waongo waongo, waswahili waswahili, rushwa rushwa - wanakula!

    Long live TAL: Huu ni mwendelezo wa mada zikiongelewa humu kwa muda mrefu: Pia soma: Tuzitambue tofauti za vyama vya upinzani (ACT, CHADEMA, CUF, nk) na Wanaharakati Pia soma: Ukombozi dhidi ya CCM utapatikana na wanaharakati sio na wanasiasa
  11. Noel france

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo mashaka yalipo kuhusu uwalali wa Mh. Mwenyekiti wangu, Why Filimbi na makelele ya kutetea yatoke kule?

    Kupitia maandishi ya mwana CCM bwana Hamis kigwangalla, napata mashaka makubwa sana. Uwenda wewe ndiye mtu ambaye unawauza viongozi wenzio kwa wenye mamlaka... ! Tumeanza kuwa ma-bro sasa, Vijana Chipukizi na watoto wanatutazama kama viigizo, wanajifunza kwetu, tuwe makini sana. Kaka yangu...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Sasa hivi Mwenyekiti (Mbowe) anaitisha maandamano wanaenda yeye na binti yake, Watu wameenda wapi?

    Akizungumzia hali ya uungwaji mkono na Wananchi baada ya kuwasusia maandamano ambayo yamekuwa yakiitishwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe. "Watu wameenda wapi?, mwaka 2011 (Arusha) kulikuwa na maandamano ya CHADEMA kupinga yaliyokuwa yametokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2010, maandamano...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kaka yake Lissu: Mbowe anatukuza utajiri wake na kumnyanyasa Lissu kwa umaskini wake

    Alute Munghwai, kaka yake Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ameonyesha kukerwa na kauli za Freeman Mbowe na Tundu Lissu, ambazo wamekuwa wakirushiana kwenye mahojiano. Wagombea hao wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa wanadaiwa kutoka nje ya mstari na badala yake walipaswa kueleza...
  14. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu tupe ahadi ya kuanzisha CHADEMA TV na Redio endapo utashinda

    Tundu Lissu tupe ahadi ukishinda Utaanzisha Chadema TV & Radio, Mbowe japo alikuwa na Disco kama Kusaga lakini ameshindwa kwa miaka 20 Sifurahishwi na utaratibu wa Mbowe na Tundu Lissu kila siku kupishana kwenye Vituo vya Tv vinavyomilikiwa na Wanaccm kufanya Kampeni za kunadi Sera zao Labda...
  15. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu hakubaliki kwao? Singida haijawahi kuwa na Mbunge wa CHADEMA kwenye Majimbo yote 8 ya Singida kasoro analotoka yeye!

    Tukisema kiongozi anapimwa kea perfomance na sio blabla muwe mnatuelewa. Toka uchaguzi wa vyama vingi 1995, na Tundu Lissu kujiunga CHADEMA kama mwanachama Muandamizi, takribani miaka 30 sasa. Singida haijawahi kuwa na mbunge yeyote wa Upinzani ukiacha yeye mwenyewe Tundu Lissu jimboni kwake...
  16. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa ndo aliyeokoa maisha ya Tundu Lissu pale Dodoma, sio Mbowe

    Taarifa zilipofika Bungeni, chap watu wakawahi eneo la tukio kisha Hospital. Kufika Hospital, Katibu Wizara ya Afya wa wakati huo , this great man , Dr. Ulisubisya , Daktari wa Kuua na Kufufua ( Anesthesiologist)akawahi kuingia Theater for bleeding management and major first aid akishirikiana...
  17. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kwanini wananchi hawataki kutusikiliza tena

    Kwenye mahojiano na BBC namsikia Lissu anasema kuwa Mbowe aliyeenda jela sie yule aliyetoka. N watu wawili tofauti. Kwamba baada ya Mbowe kupewa alivyopewa amekuwa mkimya, mpole, Mdiplomasia, n.k. Kwamba wale wananchi waliokuwa tayari kuwafia, kuwafuata, kuwasikiliza na kukifuata chama, leo hii...
  18. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kwanini Nagombea Uenyekiti wa CHADEMA na Hali ya Sasa ya Siasa Tanzania

    Utangulizi Katika mahojiano maalum na BBC Swahili, mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefunguka kuhusu safari yake ya kisiasa, mapambano ya kidemokrasia, na mwelekeo wa chama chake. Lissu, anayetambulika kwa umahiri wake katika masuala ya sheria na siasa, anazungumzia kwa...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Bora niitwe Mwanaharakati kuliko Mwanasiasa wa nipe nikupe, wanajua mimi sinunuliki

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Bara, Tundu Lissu kuhusu kuitwa Mwanaharakati na sio Mwanasiasa kwahiyo hafai kuwa Mwenyekiti wa Chama. "Mwanaharakati inatumika kama neno huna sifa, Wanaharakati maarufu wa dunia hii ni kama Julius Nyerere, Nelson Mandela. Yeyote yule unayemfikiria katika Afrika hii...
  20. Influenza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Makamu mwenyekiti wa CHADEMA ni ‘heartbeat away’ kuwa Mwenyekiti. Awashangaa wanaosema hafai kuongoza hata Mtaa

    Akihojiwa na BBC Swahili, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amewashangaa wanaodai kuwa hafai kuongoza hata Mtaa wakati kitambo kidogo alifaa hadi kuwa Rais (Akapewa dhamana ya kugombea Urais) na pia amefaa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Amesema “Huyu Lissu ambaye hafai kabisa kuwa...
Back
Top Bottom