tundu lissu

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Thamani Kuu ya Tundu Lissu ndani ya CHADEMA ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa chama au Uwezo wa kukipeleka chama Ikulu 2025 ?

    Wanabodi, bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu...
  2. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni Mtu Sahihi kwenye mapambano ya Katiba mpya: CHADEMA msituangushe, ni wakati wa mabadiliko ya kweli

    Kwa sasa nchi ilipofika bila KATIBA MPYA, ni tunapoteza muda. Huu sio wakati wa kuongoza nchi kwa busara za wazee ambao wengi wao ni marehemu. Ni muda sahihi wa REFORM ya katiba na katika hili hatuhitaji busara bali katiba mpya ! Mtu pekee atakaeweza kusimamia mapambano ya Katiba mpya ni...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Lissu akiri kushiriki kuondoa ukomo wa Uongozi katika Katiba ya CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameulizwa kuhusu ushiriki katika kuondoa ukomo wa muda wa uongozi katika Katiba ya chama hicho. Pia, Soma: - Mbowe: Lissu alikuwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, na ndiye alitunga vifungu vya kuondoa ukomo wa uongozi kwa viongozi wakuu na wajumbe wa...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna fedha chafu zimeingizwa CHADEMA ili tulegeze msimamo

    Wakuu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Taifa na Mgombea wa Uenyekiti, Tundu Lissu kwenye mahojiano na Wasafi Media amesema; "Nachotaka kusema ni kwamba Uchaguzi huu kumekuwa na fedha nyingi sana..sana, ambazo wala sio za CHADEMA, (lengo la fedha hizo) ni kuhakikisha kwamba CHADEMA inakua na...
  5. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: wajumbe wa mkutano mkuu watangaza kumuunga mkono Tundu Lissu, wanakuwa ni mkoa wa 18 kati ya mikoa 31

    https://youtu.be/f1iGQkhTgC8?si=_WO3Xc6_s9UbYlff Huu Uchaguzi tayari umekwisha, Tundu Lissu ni mshindi kwa zaidi ya 80% huu ndio Ukweli, Kwa idadi ya wajumbe wanaomuunga Mkono Lissu ni wazi atashinda Uchaguzi huu kwa margin kubwa, Mjumbe usipotoshwe njia sahihi ni Tundu Lissu,
  6. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Tundu Lissu kwa sasa anafanya shughuli gani ya kumuingizia kipato inayoweza kumfanya akisaidie hata Chama Kama ilivyo kwa Mwamba?

    Ndugu zangu Watanzania, Nauliza hivi Tundu lissu kwa sasa anafanya kazi gani ya kumpatia kipato .inayoweza kumfanya akisaidie hata chama kama ambavyo amekuwa akifanya Mheshimiwa Mbowe Mwamba na Jabali la siasa za upinzani hapa Nchini? Maana kukaa bila shughuli ya kumuingiza kipato ni rahisi...
  7. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Simiyu: Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Chadema watangaza rasmi kumuunga mkono Tundu Lissu Uenyekiti Taifa, Wanakuwa ni Mkoa wa 17 sawa na 55% ya Mikoa yote

    https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani, Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman Mbowe baada ya wajumbe 75% kutoka Mikoa mbalimbali kutangaza kumuunga mkono Tundu Lissu,
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Lissu atashinda Uchaguzi hilo liko wazi na halipingiki

    John Heche amesema kuwa Tundu Lissu ana nafasi kubwa ya kushinda Uchaguzi wa Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa, akisisitiza "hilo liko wazo na halipingiki" Licha ya kumuunga mkono Tundu Lissu, John Heche alichukua fomu ya kugombea Umakamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 BAVICHA walipuka kwa shangwe Lissu akiingia Ukumbini. Kwa shangwe hili, Freeman Mbowe atatoboa kweli?

    BAVICHA wamelipuka kwa shangwe kubwa baada ya Tundu Lissu ambaye ni Mgombea wa Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakati akiingia kwenye ukumbi wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa BAVICHA leo, ambapo vijana wa CHADEMA kutoka sehemu mbalimbali wamekutana kuamua viongozi...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Ningependa Tundu Lissu ashinde Uenyekiti CHADEMA kwa faida ya demokrasia ya Tanzania na hata kwa CCM yenyewe

    Mchungaji Msigwa ameeleza wazi kuwa anamuunga mkono Tundu Lissu katika kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza kuhusu mwelekeo wa uchaguzi huo, amesema: "Mimi nam-support Tundu Lissu, ningependa ashinde, lakini ni matatizo yao hayo. Mimi, yeyote...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Kuna kitu nataka nikisukume, wanaotamani nipumzike huruma inatoka wapi?

    Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa kwenye mahojiano na BBC amesema; "Leo Mbowe wa 2025 nina uwezo mkubwa wa kiakili, uzoefu wa kunitosha, nguvu, lakini zaidi nina adhma, dhamira, nina ndoto, nina ndoto ninayotaka kuifikia, kuna kitu nataka nikisukume. Utafika tu wakati ambako...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Huyu mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea na sisi tukiongoza chama sababu ni mwanamke, Mzanzibar na hana hoja

    Huyu mkurya aliye na wajomba na baba wadogo Kenya, aliyesoma SAUT kwa kulipiwa na Barrick North Mara na mkopo wa bodi ya elimu anajiona msafi kuliko watanzania wengine. "Cha kwanza ni kwamba huyu Mama hawezi kushinda uchaguzi Lissu akiwa mgombea, wala sisi tukikiwa tunaongoza Chama. Kwasababu...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Cyprian Musiba: Muunganiko wa Heche na Lissu itatupa tabu CCM, Mbowe sio mgumu

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba akitoa maoni yake kuhusiana na uchaguzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). "Freeman Mbowe sio tough (mgumu) vile, sababu Mbowe mnaweza mkazungumza, Wenje mnaweza mkazungumza na mambo yakaenda na mkapeleka nchi yenu mbele." "Lakini wale jamaa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  15. Peter Mwaihola

    JamiiForums Tanzania Hisia Zangu; Hoja hizi zinambeba Lissu Chadema

    HISIA ZANGU, MAMBO HAYA KUMBEBA LISSU CHA Baada ya chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kutangaza mchakato wa uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama umeibuka mjadala juu ya nani ataweza kushinda uenyekiti katika uchaguzi huo. Mjadala unaendelea wakati ambapo Mwenyekiti wa chama hicho...
  16. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kambi ya Tundu Lissu, lianzisheni sasa kumkomboa Dr Slaa, maana mnadai kuwa Mbowe siyo "aggressive"

    Kwenye mitandao wanadai Mbowe siyo aggressive, wanataka mtu kama Tundu Lissu ili kuifanya Serikali iende mpera mpera. Sasa kuna tukio, Dr Slaa kakamatwa usiku wa kuamkia 10/01/24 na AMENYIMWA dhamana jana Mahakamani. Huu sasa ndiyo wakati wa Tundu Lissu kujitofautisha na Freeman Mbowe. Nasema...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Alitaka kuuawa kwa sababu yeye ni Mzalendo kwa Chedema?

    Wafuasi wa Lissu wanashikilia kuwa Lissu anastahili kupewa uenyekiti wa CHADEMA kwa sababu moja wapo ni kuwa mzalendo wa chama aliyepoteza damu yake kwa ajili ya CHADEMA. Swali langu: Je, Lissu alipigwa risasi kwa sababu ya kuipigania CHADEMA? Alikuwa anaipigania CHADEMA kwa lipi hasa? Je...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Inasemekana baadhi ya Maaskofu wachukizwa na Padre Kitima kufanya Vikao vya Siri na CHADEMA

    Wakuu Inaelezwa kuwa baadhi ya Maaskofu wa Kanisa Katoliki hapa nchini wamemvaa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima, na kumtaka kujitokeza kufafanua ni kwanini amekua akiendesha vikao vya siri vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bila kuutarifu...
  19. mnunity

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa CHADEMA kuelekea uchaguzi

    Ushauri wangu kwa CHADEMA hamna anayefaa kuwa mwenyekiti wa chama hicho kati ya hao wawili kwa sababu zifuatazo ambazo zote zinanufaisha chama cha dolla 1.)Mmoja ni mropokaji hajui eneo lake kwa kiswahili kizuri anatumwa na hisia na sio rational atakiingiza chama kwenye chaos na kitakuwa hakina...
  20. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Picha: Lissu akisalimiana na Heche

    Mh. Tundu Lissu akisalimiana na Mh. John Heche leo kwenye kikao cha Kamati kuu.
Back
Top Bottom