Mgombea wa Uenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amewasili Mlimani City akiwa ndani ya gari alilopigiwa risasi na watu wasiojulikana mjiji Dodoma mwaka 2017 likiwa bado na alama za risasi katika ubavu wa kushoto ambao alikaa wakati akishambuliwa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi...
chadema
kuelekea 2025
mwenyekiti
mwenyekiti chadema
siasa
tundulissu
uchaguzi
uchaguzi chadema
uchaguzi mkuu chadema
uchaguzi mwenyekiti chadema
uenyekiti chadema
watu wasiojulikana
Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa chama hicho.
Lissu amewasili katika viwanja vya ukumbi huo saa 10:15 asubuhi, akiwa ndani ya gari...
Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa X, askofu Mwamakula amasema wajumbe wameambiwa waweke alama ya ushahidi kwenye kura ili wapewe kipoozeo baadaye kwa kumchagua (Mbowe).
Mambo yameanza kuwa yamoto mapema kabisa!
=====
Pia soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu...
Nimekutana na hii picha, imenifanya nitafakari sana. Ngoja tuone.
Huyu mbowe hawezi kushinda kirahisi labda system iingilie kati kwa nguvu zote.
Pia nikakumbuka na thread ya Pascal Mayala
Thread 'Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA'...
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho !
Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni.
Swali. Kama Lissu anaendeshwa hivi na Lema. Mwenyekiti ataumudu?
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Je inaweza kuwa karata nzuri?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Mbowe is very smart, he is always speaking confidently, ndio maana habagazi mtu.
Anaposema chama kitaendelea maana yake atashinda kwa vyovyote vile Iła atampa LISSU agombee urais.
Atashinda uchaguzi Iła wale wote waliomtukana atawaingiza kwenye Kamati Kuu.
Mbowe hana kinyongo lkn ukitaka...
Katika ukurasa wake wa X Lema ameandika hivi, "LEADERSHIP IS A BEHAVIOR NOT A TITLE."
Swali: Kwanini anahangaika Lissu na Heche ili wawe viongozi kwani hawana Title?
Pia, Soma: Godbless Lema: Namuomba Mbowe apumzike, amuachie Lissu afanye kazi ya Uenyekiti CHADEMA
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, kuwatambulisha wagombea wa ngazi ya juu ya uongozi wa chama hicho.
Mnyika...
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.
La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.
Taarifa yao hii hapa
Usiondoke JF kwa Taarifa za uhakika za Vikao hivi, Hii ni kwa sababu Mimi Mtumishi...
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama, uliolenga kumuuza Zitto Kabwe, wakati huo akiwa Naibu Katibu Mkuu wa chama, kwa...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais kwa tiketi ya chama hicho. Lakini hilo suala jana limetupwa kampuni na hatimaye wajumbe...
Rushwa na vurugu zimeikumba CHADEMA katika uchaguzi wa Taifa 2025 uliofanyika Januari 13 na 16, ambapo mabaraza ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha), na wanawake (Bawacha) yalichagua viongozi wapya. Hata hivyo, baadhi ya wanachama walidaiwa kupokea rushwa, jambo lililosababisha vurugu kwenye...
Hellow!
Wanachadema wameshakuelewa,
Umeeleweka Kwa watanganyika,
Ni muda sasa wa kuvunja urafiki na uhusiano na ndugu Msigwa ikiwa hatokubali kurudi CHADEMA.
Ndugu huyo, kwa kujiunga na tawala, tayari ni adui wako kimfumo sababu chama alichopo sasa kimeshiriki kukuumiza wewe na Watanzania...
Kwanza nianze kwa kusema, kutokana na vuguvugu hili la Uchaguzi wa Uenyekiti wa Chadema lilivyo na mvuto katika jamii ya Tanzania,nimetokea kufuatwa na wadau wengi wa kisiasa wakinitaka nitoe mtizamo wangu kuhusu hili na nieleze nani anafaa kati yao ingawa mimi binafsi 𝑺𝒊𝒐 𝑻𝒆𝒂𝒎 𝑳𝒊𝒔𝒖 𝒘𝒂𝒍𝒂 𝑺𝒊𝒐...
1. Lissu na Heche watapokea barua na salamu za pongezi kutoka kila upande.
2.Wale ambao wako kimya mpaka sasa watatangaza kuwa walikuwa upande wake siku zote.
3. Sehemu kubwa ya sekretariati itajiuzulu ili kumisha Mwenyekiti ateue timu yake.
4. Vitaanza vilio vya kutaka watu kama Wenje, Ntobi...
Wakuu naona Godbless Lema ameshaamua kuwapongeza wagombea wake mapema akiamini wameshashinda.
Hongereni sana kwa ushindi mkubwa ambao wajumbe wamewapa leo. Sasa mkafanye kazi na mkaheshimu imani mliyopewa na wanachama na wajumbe wa mkutano mkuu. Nimefurahi sana mmeshinda. Retweet this message...
Viongozi wa Majimbo 8 wa CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamejitokeza hadharani kumuunga Mkono Mgombea wa Uwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu na kumtaka Mgombea mwenzake ambaye ndiye Mwenyekiti wa sasa Freeman Mbowe kukubali kuwa wakati wake umepita hivyo ni wakati wa kukubali mabadiliko ndani ya chama...
REFORMS za Tundu Lissu endapo Atashinda;
Moja, kufanya reform ya katiba ya Chadema na kuweka UKOMO wa atmost 5 years.
Pili, ni kukirudisha chama kwenye HIMAYA ya wanachama. Ownership iwe kwa wanachama.
Tatu, …. ni kuongeza mapato ya chama, chama kiwe na mali zake binafsi na miradi yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.