tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania THRDC: Mchakato wa haki ulianza kuvurugwa tangu Tundu Lissu alipokamatwa

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeeleza kubaini kasoro na changamoto mbalimbali za kisheria zilizojitokeza wakati wa kukamatwa, kufikishwa mahakamani na kuwekwa mahabusu kwa kiongozi wa chama cha upinzani, Tundu Lissu. Akiwasilisha taarifa ya ufuatiliaji wa shauri...
  2. JamiiForums Tanzania Kwenye Jopo la Mashahidi 15 wa Utetezi wa Tundu Lissu, Samia Suluhu yumo. Je, kajiandaa?

    Je Mzanzibari Samia Suluhu Hassan kaajiandaa kumtetea Lissu? Kajiandaa kupigwa Maswali ya dodoso na Tundu Lissu? KAMA MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU? Na Emily Mwakilembe Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu...
  3. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kihongosi: Maridhiano bila Tundu Lissu inawezekana, CHADEMA njooni

    "Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo! "Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
  4. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  5. T

    JamiiForums Tanzania Hivi wanaomchukia mh. Tundu Lissu wanaweza kutuonesha uzalendo wao katika nchi yetu ni upi zaidi ya uzalendo wa Lissu

    Huwa najiuliza sana ninapoona baadhi ya watu wanamchukia Tundu Lissu bila kutoa sababu za msingi. Mh. Tundu Lissu tangua miaka ya 90 amekuw akitetea wananchi waliokuwa wanaonewa, amekuwa akigombana na watawala wanaovunja sheria na amekuwa akitetea raslimali za nchi yetu kwa nguvu kubwa. Sasa...
  6. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA hamtaweza kukwepa liability kwa uchochezi na uhaini wa October 29

    Friends and Enemies, Wafuasi wa chadema na wote wanaoiunga mkono watambue kwamba hakuna kichaka amabacho wanaweza kukitumia kujificha na uhaini na uchochezi waliohusika nao kipindi kile cha uchaguzi mkuu uliopita. Tundu lisu na wafuasi wake wasije wakadhani kwamba kwa kutia kwao huruma hapo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Tundu Lissu kuto- surrender, kumuweka precedent ya wengine kukomaa mpaka mwisho

    Huu ndio ukweli mchungu na ksma Mbowe nae angekomaa, huenda hata Lissu yasingemkuta Kwa kifupi, kitendo cha kukomaa mpaka hapa kesi ilipofika, ni ushindi mkubwa kwa Lissu maana walichotaka kitokee hakijtokea( kuwapigia magoti). Naamini kuanzia sasa watakuwa makini katika Ku-deal na wanasiasa...
  8. JamiiForums Tanzania Fedha za kulipa fidia Tundu Lissu zitatoka wapi? Najua ni Kodi zetu ILA alishitakiwa na jamuhuri mbona Mimi nashindwa "KUWAELEWA

    Ili neno nashindwa kuwoelewa usome kama mchina aliyeuliwa ndugu yake mchina pale manzese, SWALI chonganishi, kwa USHAHIDI huu ulio tolewa na mashahidu viiyo, hata taila wa Sheria atajua yakuwa USHAHIDI ule ni pompooooooooo JE nani atalipa fidia?
  9. JamiiForums Tanzania Lissu kuachiwa Agosti 21?

    LISSU KUACHIWA AGOSTI 21? MAJAJI KUAMUWA KAMA ANA KESI YA KUJIBU AU LA SIKU YA IJUMAA Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo Dar es Salaam leo Agosti 17, 2026 kuwa hana kesi ya kujibu katika shauri la uhaini linalomkabili huku akiiomba mahakama kutamka...
  10. JamiiForums Tanzania Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  11. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Umewekewa Mtego

    Nimeona Jamhuri katika Kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu Wamefunga Ushahidi, Kama majaji wakitoa ruling una kesi ya Kujibu kitu ambacho nadra kwa sababu elements za Kosa kwa kiasi kikubwa hazijawa Proved ili uchomoke faster jitetee tuu mambo ya kuanza kuwaita akina Samia, Mwigulu...
  12. JamiiForums Tanzania Mzee Warioba: Kwa manufaa ya umma, kwa nini Tundu Lissu asiachiwe kama watuhumiwa wengine wa uhaini walioachiwa?

    Watuhumiwa wengine wa uhaini waliachiwa kwa manufaaa ya umma. Why not Lissu amabae hata kesi yake haina muelekeo?👇
  13. JamiiForums Tanzania Kesi ya Lissu: Shahidi wa 18 akwamisha kesi yaahirishwa hadi Agosti 17, 2026

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeahirishwa hadi Jumatatu, Agosti 17, 2026, baada ya upande wa Jamhuri kuomba muda zaidi kutokana na changamoto za kiafya alizopata shahidi wa 18 aliyepaswa kuanza kutoa ushahidi leo Ijumaa. Jana, shahidi wa 17 wa upande wa...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Cross examination ya Leo, Ninamtangaza na Kumtawadha Rasimi Mh TUNDU ANTIPASI LISSU , kua Mtanzania Namba Moja mwenye Uwezo wa Juu sana wa Akili

    Wenye Akili tupo na huenda tunajiona tuna Akili Kila mmoja katika Fani yake, ila ukweli ni kua, hata katika Fani yako wewe mwenye Akili, Kama Lissu naye angekua hapo ulipo, Angeifanya kwa Uwezo Mkubwa sana na waajabu Kiakili !!. Kama Kuna Mtanzania alikua bado ana mashaka na uwezo wa Akili ya...
  15. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mauaji ya 29/10 ndio maafa makubwa zaidi kutokea ktk historia ya nchi yetu tangu Ukoloni wa Mjerumani na Mwingereza ktk miaka 42!!

    “......Mbali na mauaji ya Vita vya Maji Maji chini ya utawala wa Kijerumani, mauaji yaliyotokea 29 Oktoba 2025 ndiyo makubwa zaidi katika historia ya nchi yetu. Hakuna awamu yoyote ya utawala kuanzia Waingereza waliodumu miaka 42, hadi marais wa awali kuanzia Mwl J. K. Nyerere, Ally H. Mwinyi...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 John Heche: Kama nanufaika na Lissu kuwa gerezani, wamwachie ili nikose hayo manufaa

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo yaondoke kwake. Heche amesema kuwa yeye si anayeshikilia funguo za gereza, si aliyefungua kesi dhidi...
  17. JamiiForums Tanzania Lissu: Poleni ila Amini Mahamba niko nae siku nzima kesho

    Wakuu, Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu itaendelea kesho Agosti 11, 2026 saa tatu asubuhi katika Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam ambapo ndipo shauri hilo linaposikilizwa. Neno la Lissu leo akiwa anatoka Mahakamani mara tu baada ya kesi yake ya Uhaini...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Heche unafanya KAZI nzuri iliyotukuka ila unakipara

    Tundu Lissu akimtania Heche mahakamani leo akimaanisa ana kipara hajaunga kampeni ya kudai haki kwa kutokunyoa nywele kama ambavyo wengine kina Boni Yai wamefanya kushinikiza Lissu kuachiwa kutoka gerezani anakoshikiliwa kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
  19. JamiiForums Tanzania Je, Rais samia na serikali yake wamekaidi maelekezo ya Jumuia ya madola kumuachia Tundu Lissu?

    Lissu bado anazidi kushikiliwa na kuburutwa mahakamani bila kosa ambalo litaweza kuthibitika.Siku thelathini walizotoa jumuia ya madola zinaisha leo.👇
  20. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…