tundu lissu

  1. PreGE2025 No reform No election: sasa ni wakati wa kusimama imara

    Kwa miaka mingi, Watanzania tumeendelea kushuhudia mfumo wa uchaguzi usio wa haki, usio na usawa, na usioakisi matakwa halisi ya wananchi. Tumeshuhudia jinsi mchakato wa uchaguzi unavyotawaliwa na sheria kandamizi, tume zisizo huru, na matumizi mabaya ya vyombo vya dola. Matokeo yake ni kupungua...
  2. Tundu Lissu akutana na Dr Mpoki aliyeogonza jopo la madaktari Dodoma Hospital kuokoa maisha yake 2017; Dr Mpoki amwaga chozi kumuona jamaa anadunda.

    Hapa anaandika Tundu Lissu mwenyewe kwenye ukurasa wake wa X/Twitter👇🏻👇🏻 ".....It's taken seven years and six months and the passing of a great Tanzanian for me to meet the man who led the team of doctors who saved my life on 7 Sept. 2017. Dr. (now Prof.) Ulisubisya Mpoki, then Permanent...
  3. Picha: Tundu Lissu na Godbless Lema wakutana na Zitto Kabwe na Abdulrahman Kinana kwenye msiba wa Profesa Sarungi

    Wakuu, Naona huu msiba wa Profesa Sarungi unaendelea kukutanisha magwiji mbalimbali wa siasa hapa nchini. Soma pia: Tundu Lissu afika nyumbani kwa Sarungi kuhani Msiba, wakutana na Mzee Kikwete, wasalimiana Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa, akiwemo Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu...
  4. M

    Mpaka sasa uongozi wa Lissu na Heche umeshindwa kufanya mambo ya msingi yafuatayo

    Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche. Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha...
  5. M

    PreGE2025 Tundu Lissu: Kuna wana CHADEMA wananiita dikteta uchwara

    Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu wakati akihutubia wanawake wa CHADEMA Mlimani city kwenye siku ya wanawake duniani amelalamika kuwa kuna wanachadema na wengine ni wajumbe wa kamati kuu wanasema Lisu ni Mwenyekiti ambaye ni dikteta uchwara kutokana na msimamo wake wa no reform no election...
  6. Wito wangu kwa DGIS na Taasisi yako: Msipomtumia Tundu Lissu kupata Katiba Mpya na Bora sasa, mtajuta milele.

    Nimemaliza kuangalia hotuba ya Tundu Lissu kwenye Mkutano wa Bawacha. Niseme tu, this guy is gifted. Tumshukuru sana Mungu kwa kutupa huyu mtu wakati huu. Tumshukuru Mungu kwa sababu hakuruhusu mtu huyu afe mwaka 2017 kwa sababu alijua kuna wakati tutamuhitaji. Najua mnajua namna gani nchi hii...
  7. Mapokezi ya Tundu Lissu Mlimani City kwenye sherehe ya siku ya wanawake duniani Kule Samia (Chura Kiziwi) huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya WaTZ

    https://youtu.be/y8KzIdDQTRY?si=h48lxjkU07dTz-9S Kule Samia na taarabu, huku Tundu Lissu, Rais wa mioyo ya Watanzania..
  8. PreGE2025 Tundu Lissu atamani kuwepo na viongozi wanawake kwenye safu za juu za uongozi CHADEMA

    Wakuu, BAWACHA wakiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2025 Mlimani City Dar es Salaam mgeni rasmi akiwa ni Mwenyekiti CHADEMA Taifa, Tundu Lissu https://www.youtube.com/live/BhVRj5tp_z8?si=wF5PaZcUShwmbURr Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa akizungumza baada...
  9. Namuona Lissu kama Nabii/Mtume namimi kama mfuasi wake

    Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
  10. M

    Tundu Lissu akiwa Uganda amemsifia Mwalimu Nyerere lakini ni yeye ndiye aliyemtukana kwenye Bunge la Katiba

    Mwanasiasa msanii sana huyu, wakati wa bunge la katiba alimkashifu sana Baba wa Taifa, aliwaudhi watu wengi sana kwa kauli zake dhidi ya Mwalimu Nyerere. Alivyo mnafiki ameonekana kule uganda akitoa mhadhara na akamwelezea vizuri kabisa Mwalimu Nyerere. Ukiwa mnafiki utotoni ukifikia uzeeni...
  11. B

    Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
  12. B

    Tundu Lissu Addressing on Humam Rights and Peace Centre Nchini Uganda, Makerere University. Wenyewe wasema Lissu ni Nyerere Wa Pili

    Ndugu zangu niwashikishe kinachoendelea kwa sasa Nchini Uganda. Hon Tundu Lissu kwa sasa yuko Nchini Uganda akihutumia watu wa Nchi Mbali mbali ktk Chuo Kikuu Kikubwa Afrika Mashariki cha Makerere. Tundu Lissu ana zungumza na Wasomi Mbali mbali Wakiwemo Wanasheria Nguli Afrika na Duniani. Wapo...
  13. PreGE2025 Amos Makalla: Lissu na wenzako (CHADEMA) nendeni mkafanye reforms zenu, CCM imeshafanya reforms za kutosha

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla amesema kuelekea katika uchaguzi mkuu, CCM inaamini imeshafanya reforms za kutosha, hivyo amemshauri Tundu Lissu na wenzake pia wakafanye reforms zao. Amesema wapinzani wanasema CCM ndiyo...
  14. PreGE2025 Mbunge wa Temeke Dorothy Kilave ni ushahidi tosha kuwa Tundu Lissu alikuwa sahihi kuhusu sakata la Wabunge wa Viti Maalum

    Wakuu, Leo nilikuwa naangalia wasifu wa Mbunge wa Temeke, Dorothy Kilave na itoshe kusema kuwa Lissu alikuwa sahihi kabisa kuhusu hawa wabunge wa viti maalum. Huyu Dorothy Kilave yeye alikuwa ni diwani wa viti maalum kupitia CCM mwaka 2011 hadi mwaka 2015. From there akashika nafasi tofauti...
  15. W

    PreGE2025 Lissu: UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa

    "Mjadala juu ya urithi wa Baba wa Taifa kwenye katiba na siasa za Afrika Mashariki kwenye chuo kikuu chake cha kwanza. Wakati UDSM na vyuo vikuu vingine vya Tanzania vimekuwa magereza ambako mijadala ya kisiasa imefungiwa, Makerere, Chuo Kikuu cha , kimenialika kutoa mhadhara wa umma juu ya...
  16. PreGE2025 Makalla: Tundu Lissu ameingia kuiua CHADEMA, Chama kinaenda kuvunjika

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayehusika na Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, ameyasema hayo leo katika Mkutano wa viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya shina, Tawi, Kata na Wilaya, Ambapo amewataka watanzania kupuuza madai ya Chama cha Demokrasia na...
  17. PreGE2025 CHADEMA yakusanya zaidi ya Milioni 64 kupitia kampeni ya Tone Tone

    Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 03 Machi 2025, Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam ametoa taarifa ya kiasi kilichokusanywa tangu kuzinduliwa kwa mkakati maalum wa TONE TONE uliolenga kushirikisha umma kukichangia Chama, ambapo mpaka...
  18. Umuhimu wa specialisation katika taaluma ya habari: Balile amhenyesha Tundu Lissu katika kikao na wahariri, ambana vilivyo katika masuala ya sheria

    Ni muhimu sana waandishi wakawa na specialisation. Taaluma ya habari ni kibebeo cha taaluma maalum ambayo mtu anayo. Nimesikiliza mjadala katika jukwaa la wahariri hakika utaaluma wa Balile katika sheria ulimfanya Lissu ayumbe, akaishia kutoa maneno ya kashfa na matusi na hata kujaribu...
  19. PreGE2025 Zungu: CHADEMA inaenda kuleta mgogoro kati ya raia na polisi

    Akiwa anachambua kauli ya No Reforms No Election, Zungu ambaye ni mchambuzi maarufu wa siasa nchini amesema na mtangazaji wa kipindi cha Morning Bantu cha ST Bongo amesema: "Kama walichokizungumza CHADEMA kitaenda kufanikiwa basi inaenda kuleta ugomvi kati ya raia na vyombo vya dola,kwasababu...
  20. SI KWELI PreGE2025 Lissu amesema wanasitisha msimamo wao wa no reform no election

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…