tundu lissu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kama tuna visual courts siku hizi, kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Kisutu?

    Sioni sababu ya Lissu kupelekwa physically Mahakamani kama inawezekana kufanya kesi hiyo visually. Misafara ya magari ya mahabusu huku kukiwa na kauli za mikusanyiko na makatazo ya mkusanyiko hiyo toka Polisi, kunaleta taharuki isiyo ya lazima kwa wananchi wengi wanaoendelea na shughuli zao...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu na leo John Heche

    Nilichojifunza mimi ni kwamba, kuna mkakati maalumu wa kujaribu kuwanyamazisha viongozi wa CHADEMA. Inawezekana wamepanga kuwakamata viongozi wote wa ngazi ya juu wakiwa na lengo la kupisha kwanza uchaguzi au kudhoofisha upinzani. Nilichojifunza cha pekee ni kwamba, Watanzania bado...
  4. JamiiForums Tanzania Kichwa cha Insha: Tundu Lissu ni Taa Juu ya Kilele cha Mlima na Pumzi Mpya kwa Taifa Letu

    Katika historia ya mataifa, huwa kuna wakati ambapo nchi hujikuta katika giza nene la Kisiasa, Kijamii au Kiuchumi. Katika nyakati kama hizo, hujitokeza watu wachache wenye uthubutu, maono, na ujasiri wa kupaza sauti kwa ajili ya Haki na Ukweli. Tanzania, taifa letu pendwa, limepata mashujaa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa Heche na kuwekwa gerezani Tundu Lissu

    Tusimumunye Maneno: Rais Samia hawezi kujinasua kukamatwa kwa John Heche na kuwekwa gerezani Lissu . Tusije kujidanganya sijui vyomba vya usalama sijui nini ukweli ndiyo huo. Tofauti na Magufuli ni kwamba huyu Mama anajificha ndani kama vile sio yeye!!! Magufuli alikuwa yuko wazi zaidi kwenye...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo: Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa na hafai kuwa kiongozi

    Katibu wa Baraza la Habari la Waislamu Tanzania (BAHAKITA) Sheikh Mwaipopo amesema, Tundu Lissu kukamatwa hajaonewa bali ni kwasababu ya kuendesha siasa sizizo za kistaarabu huku akiongeza kuwa mwenyekiti huyo wa CHADEMA hafai kuwa kiongozi kwasababu hawezi kutumza siri. Pia, Soma: Sheikh...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Annatropia Theonest: Reforms ni sehemu ya 4R za Rais Samia, ahoji kukamatwa Lissu kisa kudai mabadiliko

    Mbunge wa Viti Maalumu Chadema na ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Annatropia Theonest ahoji watu kuhitaji 'Reforms' ni kosa baada ya Mwenyekiti wa Chama hichoTaifa, Tundu Lissu kuweka ndani.
  8. T

    JamiiForums Tanzania Tegemea 24/04/2025 Tundu Lissu kutoletwa Mahakamani au Jaji kutokomea pasipojulikana

    Kwa kifupi Pressure kwa mama ni kubwa walitegemea siasa za kupita mlango wa nyuma ila kwa TATA LISU NA HECHE wamegonga mwamba. Kuna uwezekano mkubwa LISSU kutoletwa mahakamani au jaji kutokomea kusikojulikana na kuanzia tarehe 23/4 mpaka 26/4 jiandae kwa matukio ya kijinga kwa WASANII wetu ya...
  9. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kichaa tu ataacha kusapoti anachofanya Lissu

    Aisee watu wa type ya Tundu Lissu huwa hawazaliwi hovyo hovyo Lissu ndo mtu sahihi sana kwa Tanzania Wallah kama kiongozi tunaye Katika mtu unayeweza kumuamini na ku-count on him basi ni huyu jamaa Jamaa ni mwadilifu, mwenye misimamo na mzalendo halaf hanunuliki kwa pesa yoyote yaani jamaa...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamachinga na Waendesha Bodaboda waitisha press kupinga kutokea kwenye kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

    Wakuu, Kuna watu wameenda kuitisha press kupinga ile kauli ya Heche kwamba watu waende mahakamani kushuhudia ksi ya Lissu Tarehe 24. Hii nchi inahitaji ukombozi mkubwa sana wa kifikra. A total social autopsy is needed. ----------------------------- Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji...
  11. JamiiForums Tanzania Nani anaiharibu amani ya Tanzania ni Tundu Lissu wa CHADEMA au ni viongozi wa serikali ya CCM kwa maslahi yao binafsi?

    Katika hali isiyo ya kawaida kumekuwepo na sintofahamu ya kukamatwa Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Antiphas Lissu na kufunguliwa mashtaka ya uhaini, swali ni je? nani anaharibu amani ya taifa letu Tanzania, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule Lissu anayesema...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Mwaipopo amvaa Askofu wa Kanisa Katoliki kisa Tundu Lissu, adai kauli yake ni kutaka kuiingilia Serikali

    Kiongozi wa Dini ya Waislamu Sheikh Mwaipopo amjia juu Rais wa Baraza la Maaaskofu wa kanisa katoliki (TEC) Askofu Dkt. Pisa kwa kutoa kauli ya kulaani na kutaka Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu aachiwe haraka, adai kauli hiyo ni kutaka kuiingilia Serikali. Pia, Soma: Baraza la Maaskofu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaopaswa kuwa rumande muda huu ni mawaziri wezi na mafisadi ya CCM na sio Tundu Lissu

    Yaani nchi hii kwa Sasa inasikitisha sana. Yaani ccm kimekuwa chama Cha manyangany'i na mafisadi ya taifa hili. Kupitia kuwa mwanachama wa CCM, waziri, katibu mkuu, mkuu wa shirika, mkurugenzi wa halmashauri, rais wa nchi anaweza kuamua kuiba mali (rasilimali ) yoyote ya watanganyika na Bado...
  14. JamiiForums Tanzania Kesi ya Tundu Lissu ichukuliwe kwa uzito wake, akitiwa hatiani kwa makosa ya uhaini itakuwa mwisho wake kisiasa.

    Kesi ya Tundu Lissu inaweza kuwa ni mwisho wake kisiasa, kwanza kesi yenyewe inaweza kuendeshwa kwa muda mrefu sana akashindwa kabisa kushiriki siasa tena. Mwisho wa kesi anaweza kuhukumiwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa kisha akaachwa akae gerezani kwa miaka kadhaa na baadaye...
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Wananchi tutambue nguvu tuliyonayo katika kutokomeza ukandamizaji wa demokrasia

    Wakuu, Kengele nyingine hiyo kwa Watanzania kuamka na kurudisha uwajibikaji na kuchochea utawala bora. ==== Roland Ebole Amnesty International asema ni muda sasa kwa wananchi kutambua kwamba tupo wenyewe, ni muda wa wanachi kuelewa nguvu tuliyonayo kwenye masuala yote haya na kuungana pamoja...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Heri ya Pasaka: Furaha na Matumaini Huku Tukimkumbuka Tundu Lissu Gereza"

    Heri ya Pasaka kwa wote ! Tusherehekee sikukuu hii kwa furaha na baraka. Tusiwasahau wenzetu kama Tundu Lisu na wengine; wape upendo na duaa. Mungu awabariki wote! ๐Ÿฃ๐Ÿ™
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Roland Ebole (Amnesty International): Uminywaji wa Demokrasia Afrika Mashariki utaisha endapo wananchi wataungana

    Wakuu, Suala la Lissu na uminywaji wa demokrasia na uhuru wa maoni Tanzania linazidi kusambaa, Watanzania huu ndio muda wa kuamka na kuhakikisha kuna utawala wa sheria wa haki. ===== Mtafiti wa Kikanda wa Amnesty International kwa Afrika Mashariki, Roland Ebole akiwa katika mahojiano leo...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM wanatamani Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani asema vijana wa chama hicho wanatamani Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu aachiwe ili wapambane nae kwenye kampeni za uchaguzi Mkuu 2025 Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Nimekutana na Lissu gerezani, amesema mapambano yaendelee

    Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa chama hicho kuendeleza mapambano. Lissu alikamatwa Aprili 12 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma na kisha...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—Ÿ๐—ถ๐˜€๐˜€๐˜‚ ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฑ ๐˜๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐˜…๐—ถ๐—บ๐˜‚๐—บ ๐˜€๐—ฒ๐—ฐ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ฝ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐—ผ๐—ป

    โ—พTanzania Prisons Services causes unnecessary confusion after 24-hour silence on his whereabouts โ—พAuthorities finally confirm that the CHADEMA leader has been shifted to Ukonga prison from Keko prison โ—พTreason charges against the main opposition leader in an election year, and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ