tundu lissu

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Mmemkamata Lissu chama kipo mikononi mwangu, haki ya Mungu tutawashughulikia

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche atangaza misimamo mikali ya chama hicho baada ya kukamatwa kwa Mwenyekiti wao ndugu Tundu Lissu. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Siwezi kuongelea kesi ambayo ipo mahakamani ila najua Lissu ana kesi ya uhaini

    Kipindi anakamatwa Mbowe nilikuwa ni kiongozi, nilikuwa na jua kazi anayofanya Mbowe, alivyokatwa, nilikuwa naenda mahakamani, na nilikuwa najuwa nini kinaendelea, nilikuwa na kaa vikao vya kamati kuu ya chama na nikajuwa kwamba hii kesi ya Mbowe ya ugaidi haina mashiko. Ila hii ya Tundu Lissu...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wengi wanaomshabikia Lissu hawazingatii maslahi ya Taifa

    Wadau hamjamboni nyote? Haya ni maoni makini kabisa yasiotia shaka hivyo wewe mchangiaji uache jazba na kejeli unapochangia uzi huu Ndiyo mashabiki wake wengi hawana shughuli rasmi za kwenye mifumo, hawako makini kuainisha au kuchambua sera husika na hawatangulizi maslahi mapana ya nchi yetu...
  4. JamiiForums Tanzania Kama ukifanikiwa kupata fursa ya kukutana na rais Samia kuhusiana na kadhia ya Tundu Lissu, unaweza kumshauri nini?

    Japo kadhia ya kukamatwa na kuwekwa ndani na kufunguliwa mashitaka ya uchochezi na uhaini linachukuliwa kuwa ni la kisiasa, ni la kijamii hata kiuchumi pia. Hivyo, kama wadau, tuna haki na wajibu kushiriki kulitafutia suluhu mujarabu. Je kama mdau Mtanzania, kama ingetokea ukakutana au kupata...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Basil Lema ajitoa rasmi CHADEMA, asema ukiwa karibu na Tundu Lissu upo salama, ukiwa karibu na Freeman Mbowe haupo salama

    Katibu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kilimanjaro, Basil Lema amesema Watanzania walipaswa kusikia chama hicho kitanyakua majimbo mangapi katika uchaguzi wa Oktoba, lakini imekuwa kinyume badala ya wanasikia makada wangapi wanakihama. Lema ambaye amedumu katika...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kada wa CCM: Rais Samia mwachie Tundu Lissu (Msingida) inatia doa uongozi wako bora

    Mtazameni na msikilizeni huyu kada wa CCM kisha tia neno unapata ujumbe gani kupitia kwake kuhusu kesi ya Tundu Lissu.... Anamtaka Mwenyekiti wake taifa - CCM, Bi Samia Suluhu Hassan kumwachia Tundu Lissu kwa sbb eti "..inatia doa uongozi wake bora..!!" Kwa wajuvi wa mambo ya propaganda za...
  7. JamiiForums Tanzania Anayopitia Tundu Lissu

    Binafsi nimekuwa kwenye tafakuri kuhusu maisha, nimewaza haya.. Kuna watu Mungu kawapa mioyo ya huruma kiasi kwamba yupo tayari kubeba adhabu ya Mtu au watu wengne, na kuwaokoa awapendao Tundu Lissu anaipenda Nchi yake, tena sana. Upendo uwo hauelezeki, Katika biblia, Mfalme Daudi alipoona...
  8. JamiiForums Tanzania Lissu ni shujaa na ni baba wa taifa kama Nyerere ni watu wachache sana wenye moyo kama huu amejitoa maisha yake kwa Watanzania

    Lissu ni shujaa na nibaba wa taifa kama Nyerere ni watu wachache sana wenye moyo kama huu amejitoa maisha yake yote na kuacha familia yake na wapendwa wake kwaajili ya watanzania maskini sasa yupo gerezani. Tumuunge mkono kwa nguvu zote na kumfariji kwa mapambano yake dhidi ya watu wenye tamaa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu yuko Gerezani, hana mawasiliano na mtu yeyote, kishindo chake kinatikisha Dunia nzima. Bado mnamchukulia poa?

    Ukweli usemwe, kazi za Lissu hapa Nchini na Nje ya Nchi hazina mashaka. Ni very clean job and Assignments. Tundu Lissu ni moja ya wanasiasa safi kabisa ambao hawana tuhuma zozote za rushwax ufisadi, ngono wala uvunjaji wa haki za binadamu na utawala bora. Tundu Lissu historia inaendelea...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtia nia Urais aondoka CHADEMA, amtuhumu Lissu kwa kumshambulia Rais Samia

    Aliyekuwa mtia nia wa nafasi ya urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na mwanzilishi wa kundi la G-55 Romanus Mapunda ametangaza rasmi kuondoka katika chama hicho. Pia, Soma: Kada wa CHADEMA, Romanus Mapunda atangaza nia ya kugombea Urais 2025 Mapunda amefikia uamuzi huo...
  11. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ubongo wa Tundu Lissu una GB chache, ni mtu mwenye roho mbaya sana

    Naibu Waziri wa Afya Dkt Mollel amkaanga vibaya sana Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu akidai kuwa Ubongo wake una GB chache, na ni mtu mwenye roho mbaya sana.
  12. JamiiForums Tanzania Dkt Nshala afafanua hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, Kanisa Katoliki kupokea pesa za damu "hela ya mafuta ya gari ya Askofu"

    https://youtu.be/VTSdE_xlvxs?si=_ba2CV49hgNedyAF Huyu ni Dr Rugemeleza Nshala, mwanasheria mkuu wa chama - CHADEMA.. Kuhusu uamuzi wa mahakama kesi ya TL kuendelea kusikikizwa kwenye mahakama ya wazi, anasema; ➡Uamuzi wa kususia kesi kwa kutokwenda mahakamani, usingekuwa uamuzi wa busara hata...
  13. JamiiForums Tanzania Maoni ya mashirika ya haki za binadamu na jumuiya za kimataifa kuhusu kukamatwa kwa Tundu Lissu

    Kukamatwa kwa Tundu Lissu mnamo Aprili 9, 2025, kumezua ukosoaji mkubwa kutoka kwa mashirika ya haki za binadamu na jumuiya ya kimataifa. Mashirika haya yameelezea wasiwasi wao kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu na kudhoofika kwa demokrasia nchini Tanzania. Kauli za Mashirika ya Haki za...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Bunge la Ulaya: Pesa zetu za Umoja wa Ulaya zinatumika kusaidia Serikali kandamizi Tanzania

    MAZITO YAJADILIWA KATIKA BUNGE LA ULAYA, TUNDU LISSU KESI YA UHAINI, ALI KIBAO KUUAWA,,WATU KUPOTEZWA N.K https://m.youtube.com/watch?v=4QH2juya5sk Wabunge wa Bunge la Ulaya wasema kuwa zile 4R za rais Samia Hassan zimetuhadaa Misaada mfano €160,000,000 na mingine mingi ya EU inatumika...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mungu anavyopangua mawazo finyu ya wanadamu dhidi ya mpango wake kwa Chadema na Lissu

    Mpango mkuu wa wanadamu dhidi ya Chadema na Lissu, ni kuhakikisha chama anachokiongoza kinakuwa kwenye mgogoro mkali wa wao kwa wao ndani ya Chadema ili tu, mwenyekiti wake na timu yake yenye msimamo mathubuti na wasioiogopa haki, wasifanikiwe kwa chochote katika kuisaka haki ya wanyonge katika...
  16. JamiiForums Tanzania Taarifa za uongo zinavyoenea haraka mtandaoni - A case of Tundu Lissu na Bunge la Ulaya

    Watu wengi tunafurahia kujadiliwa kwa kesi ya Tundu Lissu Bunge la Ulaya, binafsi nafikiri ni hatua nzuri kwa ajili ya check and balance za uwajibikaji wa Serikali. Ila taarifa hii kwa namna ilivyowasilishwa si kweli na imepotoshwa (nikimaanisha sehemu ya yale yaliyoripotiwa ni kweli na...
  17. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tumebarikiwa viongozi mahiri, kumbe Tundu Lissu ni maarufu kiasi hiki?

    Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi. Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
  18. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya: Tunasikitishwa na kukamatwa kwa Tundu Lissu sambamba na kuenguliwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2025

    Fuatilia mjadala wa Bunge la Ulaya kuhusu sakata la Tundu Lissu unaoendelea mchana huu, Mei 7, 2025 Pia soma Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025 Bunge la Ulaya kwa kuzingatia Kanuni ya 150(5) ya Kanuni...
  19. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kurudishwa uraiani siku moja kabla ya Yanga kutangaza kuwa watacheza derby

    Wakuu heshima Yenu! Mwezi uliopita niliandika thread yenye mambo Saba ambayo yatatokea kabla ya UCHAGUZI MKUU. Jambo mojawapo ni kwamba TUNDU LISSU atatolewa kabla ya mwezi wa sita na Kundi la G-55 kuhama chama. Leo hatimaye G-55 wameanza kuhama Chama na anayesubiriwa ni main character wao...
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi hali ilivyo, Tundu Lissu atakuwa kiongozi wa term moja tu CHADEMA

    Siwezi kuamini kama G-55, ndiyo wameondoka mazima hapana, G55 ipo mapumzikoni bila kupoteza status ya Chadema, wanangoja, wanasubiri anguko kuu, ukizingatia CHADEMA haiwezi kushiriki uchaguzi kwa namna yoyote Ile, I thought very soon itakuwa ban away, kufanya kampeni kwa chama ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…