tundu lissu

  1. tucker carlson

    Mchakato wa Katiba utamkuta Lissu akiwa Gerezani. Watamtoa ikishapatikana "Katiba Mpya"

    Wakuu, Hakuna sababu yoyote kuzidi kumuweka Lissu Gerezani Uchaguzi ushapita, maandamano yashapita na lile joto la kisiasa pia lishapita. The only reason why, Lissu yuko Gerezani ni kuhakikisha kwamba huo mchakato unafanyika lakini yeye ASISHIRIKI. Maana akiwa uraiani Katiba wanayoitaka CCM...
  2. Waufukweni

    Magereza: Taarifa za Hali ya Tundu Lissu kuwa 'Tete' siyo Sahihi, ina lengo la kuzua taharuki

    Jeshi la Magereza limesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu yuko salama na afya yake ni njema. Jeshi hilo limekanusha taarifa zinazosambaa kwenye baadhi ya vyombo vya habari zikidai kuwa hali ya Lissu ni mbaya, likisisitiza kuwa taarifa hizo zinalenga...
  3. Idugunde

    Yaitishwe maandamano makubwa nchi nzima kushinikiza Tundu Lissu aachiwe

    Yawe ni maandamnao makubwa ambayo hayajawahi kutokea hapa nchini. Majiji yote maandamano yafanyike kushinikiza na kupinga mateso anayopewa Tundu Lissu wakati sio mhaini. Hakuna Jeshi lolote ambalo lilisha weza kushinda nguvu ya umma. Nguvu ya umma ndio njia pekee ya kumnasua Lissu.
  4. 6 Pack

    SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
  5. The Palm Beach

    From Ukonga Prison: Ikulu ilituma ujumbe mwingine kumtaka mwamba akubali "msamaha" wa Mama. Tundu Lissu akataa, amwambia afute kesi kwa kuwa ni uongo

    Inasemakana Ikulu ya Samia ilituma wasaidizi wake tena Gereza la Ukonga kuonana na Tundu Lissu Wakamwambia Mhe. Lissu kwamba mama yao yupo tayari kumsamehe Mhe. Lissu ila sharti lake ni moja akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano. Mhe. Lissu aliwauliza: "....Anisamehe kwa kosa gani wakati...
  6. M

    Tundu Lissu yatosha sasa, maumivu unayopata hukustahili, Acha watanzania wakinywee kikombe chao!

    Naanza kuona ujinga mkubwa sana kupigania maiti ambayo haijitambui Mh Lissu, wewe ni shujaa sana tena sana na mpaka sasa hakuna binadamu yeyote Tanzania tangu nchi yetu kujipatia uhuru wake atakayefananishwa na wewe Ila leo nimeamka vibaya, nimeamka nikiwa na huzuni kubwa kukuhusu, unaumia...
  7. Cute Wife

    Polisi wenye mitutu wameongezeka jijini Dar, ni maandalizi ya kukabiliana na raia kutokana na matokeo ya Kesi ya Lissu?

    Wakuu, Polisi wameongezeka jijini (Dar es Salaam) kuliko kawaida, maeneo karibu na Mahakama Kuu na sehemu walikokinukisha idadi ya polisi wenye silaha imeongezeka kwa wingi, mpaka wananchi mnabaki kujiuliza kuna nini. Polisi kuwa wengi mtaani huwa haitokei tuu, mara nyingi ni inakuwa ni sababu...
  8. Sifi Leo

    Mh Rais Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa ilihali watoto wetu walikufa? Tundu Lissu ANAISHIA magereza au unamtoaga usiku analala IKULU?

    Mh Rais shikamoo Mimi ni Mtanzania niliyemsaidia san Hayati Magufuli kufanya aliyo yafanya kupitia hapa hapa Haya ebu sema Tanzania baada ya uchaguzi Ikoje sawa? Watoto wetu walikuwa ndugu zetu tarehe 29 ndo imeisha hiyo? We mama msawalie mtume tafadhali halijaisha mpka liishe Ili mama
  9. Goku 255

    Lissu is a legend

    Still facing troubles and challenges on his lock up Lissu has not shown any signs of fear, he still firm as rock No one can dare to challenge her, he is strong not as weak as people thought Lissu you're my legend i'm proud of you sir. You have shown as not to be shaken, still the challenges...
  10. Waufukweni

    Tundu Lissu: Nakwenda kuwashughulikia huko huko Mahakama ya Rufaa

    Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu iliyokuwa inaendelea Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam imeahirishwa kwa muda usiojulikana mpaka pale shauri la mapitio lililowasilishwa Mahakama ya Rufaa na jamhuri kukamilika. Leo Februari 24, 2026 baada ya...
  11. Chizi Maarifa

    Tangazo: Kama kuna mtu ana taarifa walipo Mawakili wa Serikali kesi ya Tundu Lissu Vs Serikali ya Samia tafadhali atoe taarifa

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Ndugu Mtanzania popote ulipo tafadhali kama utawaona Mawakili wa Serikali akina Katuga, Mkude na Ajuaye. Please toa taarifa Mahakamani au Kituo ch Polisi cha Karibu. Hawa Mawakili mara ya mwisho walionekana saa 4 na wakasema wanaomba saa moja...
  12. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mawakili wa Jamhuri hawajarudi kwenye chumba cha Mahakamani kuendelea na Kesi

    Wakuu Inadaiwa mawakili wa Jamhuri hawajaonekana na hawajarudi Mahakamani mpaka muda huu. Karani amesimama na kuseeleza kuwa kuna jambo limejitokeza anaenda kutafuta ufafanuzi kwa msajili wa mahakama na atarudi kuleta mrejesho. Mwenendo wa Kesi > Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi...
  13. Mindyou

    Umoja wa Mataifa: Serikali imuachie mara moja na kumlipa fidia Tundu Lissu

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
  14. Waufukweni

    Kesi ya Lissu: Mahakama yatupilia mbali ombi la Jamhuri la kuongeza ushahidi

    Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo. Yaliyojiri Mahakamani; Kesi ya Lissu: Mahakama kujadili ombi Jamhuri kuongeza ushahidi wa...
  15. Manyanza

    Umoja wa Mataifa wataka Serikali ya Tanzania kumuachia Tundu Lissu. Wasema kushikiliwa kwake ni batili

    Kundi Kazi la Umoja wa Mataifa kitengo kinachoangazia, Kuwekwa Kizuizini Kinyume cha Sheria ( Arbitrary Detention ), limeeleza kuwa kufungwa kwa Kiongozi wa Upinzani Tanzania, Tundu Lissu, ni kinyume cha sheria na limetaka aachiliwe mara moja. Katika maoni yake yaliyopitishwa katika kikao cha...
  16. Manyanza

    Mawakili wa Jamhuri vs Tundu Lissu: Tafsiri ya Shahidi na Ushahidi

    1. Vita ya Tafsiri: "Shahidi" vs "Ushahidi" Hapa ndipo kiini cha pambano kilipo. Hoja ya Katuga: Anasema kifungu cha 308 kipo kumlinda mshitakiwa asishtukizwe, hivyo wanatoa taarifa (Notice) ili kuleta mambo mapya ambayo hawakuyaingiza mwanzo kwa shahidi yuleyule (ACP Mahamba). Jibu la Lissu...
  17. Q

    Tundu Lissu: Mahakama ikikubali kupokea Notisi inayoongelea mauaji ya 29/10, itabidi watuambie nani aliruhusu Watanzania kuuawa

    Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na tutaulizana nani aliyeua watanzania. Hii kitu haina mashiko. Are they ready? Mimi niko tayari. Isiruhusiwe...
  18. DuaZaMama

    Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti… Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  19. M

    Katuga unajisikiaje?

    Ukiwa upo katika swaumu huku ukiwapngoza mashahidi kesi ya Lissu?
  20. McLaren

    PostGE2025 Lissu akiwa kizimbani: Ninachukizwa na nyie mapandikizi ya Polisi mnaletwa hapa halafu mnafichwa ndani ya Kizimba

    Wakuu, Uzuri wa Lissu huwa hakwwepeshi. Yaani hanaga chujio anawachana hapo hapo Huyu shahidi kaharibu hadi Lissu kaonesha kabisa hapendezwi na kinachoendelea ========== Mhe. Lissu: umesema kwamba wewe kazi yako ni dereva wa boda boda kweli si kweli? Shahidi wa kificho P3 : kweli Mhe...
Back
Top Bottom