tumieni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mnataka wenzenu Wale wapi?

    MNATAKA WENZENU WALE WAPI? Anaandika, Robert Heriel Unajua kuna watu ukiwatafakari utabaki unawashangaa Sana. Sijui wanafikiri kaa kutumia kiungo gani. Maana Kama wangetumia ubongo wasingefikiri Kwa namna hiyo. Unapojadili Jambo lolote lazima ushirikishe akili yako vyema ili usijidhalilishe...
  2. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA nendeni na moja Kichwani

    Kuna sehemu nahisi CHADEMA hawaendi na moja Kichwani zile hesabu za darasa la pili, tatu, nne hadi la tano. Bahati mbaya mkiambiwa Ukweli huwa mnapiga kelele bila logic. Hebu CHADEMA kwa unyenyekevu niwaombe mtumie logic bila kusahau hesabu za moja Kichwani. Moja ya jambo ninaloliona halina...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Viongozi tumieni nafasi zenu kwa manufaa ya taifa nzima, Madaraka yanapita

    Kichwa cha habari kinajieleza hapo juu kwenye post hii.Ndugu zangu wanajamii forum great thinker naomba kujilipua msemo wao. Katika taifa letu kuna viongozi wanapokuwa madarakani wanajisahau katika majukumu yao wanafikili watabaki madarakani daima na mambo hayatabadilika. Viongozi nawaasa na...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maji anzeni kutumia maji ya mito mikubwa iliyo chini ya ardhi kama hii ya juu ina ukame

    Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo...
Back
Top Bottom