Kwa heshima ujengwe mnara mkubwa wa makumbusho ya kumbukumbu ya kuwa kumbuka kila mwaka wahanga wetu wote. Walioteswa Waliopotezwa ama kuuwawa na CCM kabla na baada ya mauwaji ya uchaguzi wa October 29,2025 kwa kuyaandika majina yao wote kama Mashujaa wa Taifa.
Imeelezwa kuwa kushiriki katika uchaguzi ambao hauko huru na wa haki ni kukiuka misingi ya demokrasia na kuhalalisha dosari za mfumo wa uchaguzi.
Hayo yamesemwa na Wakili Msomi, Dickson Matata wakati akizungumzia uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki katika Uchaguzi...
Kijana Adriano Amos kutoka Rukwa amemhoji Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuwa lini Serikali itaunda katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, akaongeza kuwa najua kesho naweza kuamkia kuzimu, lakini swali langu ndilo hilo.
Haya yanajiri katika ziara ya Waziri Mkuu katika mkoa wa Rukwa.
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii.
Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm itapata kura ya wanu na abdul tu. Chadema watachukua kombe kabla ya saa nne asubuhi.
Hakuna...
Tume zimekuwepo.
Maridhiano yamekuwepo.
Ahadi zimekuwepo.
Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto.
Haya majitu ni SHETANI wa DAMU.
Tanzania kwasasaa inahitaji UWAJIBIKAJI na HAKI vinginevyo MAUAJI ma UKATILI wa aina hii HAUTAKWISHA bali utaendelea...
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo.
Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Hello wakuu INEC najua wapo huku wanatumia VPN zao kuangalia Upepo unaendaje.
Kumekuwa na Tuhuma mbalimbali ambazo zinatolewa Kupitia Mitandao ya kijamii hapa nchini ambazo zinaeleza kuwa Kila mkoa mgombea Urais wa CCM anafika kwa ajili ya kunadi sera zake shule zote za karibu wanafunzi na...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook Askofu Bagonza ameandika tafakuri hii:
FIKIRI MPAKA UTOKE JASHO: Usihukumu na Usibariki.
1. Ukiona makatibu wenezi wa Upinzani wanapita nyumba kwa nyumba kukusanya kadi za wapiga kura na namba za NIDA wakati chama tawala kiko kimya ujue wapinzani wanataka...
Urejeshaji fomu za kugombea urais umekamilika leo katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), ambapo mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, alizuiwa kuingia kutokana na kukosa vigezo.
Kwa mujibu wa kanuni za chama hicho, mgombea wa nafasi ya urais anatakiwa awe mwanachama...
CCM imeamua kuwaacha wagombea wenye ushawishi kwa wananchi kwa kuwakomoa kwa kuamini yeyote ikimuweka anapata ubunge. Hata walioachwa hawana pa kwenda kwani wakifanya hivyo visasi vitawafuata. Kukosekana kwa mfumo huru wa uchaguzi na CCm kumiliki vyombo vyote vya dola ( mahalama na bunge) na...
Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan, na mgombea mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, leo Agosti 9, 2025 wanaenda katika ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuchukua fomu kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Msafara wa Magari...
Tume huru ya uchaguzi wametoa chapisho ambalo lina makosa ya kiuandishi jambo ambalo sio la kawaida kwa taasisi..
kwanza kabisa mwanzoni linasomeka hivi....
Tume Huru ya Taifa ya Uchafuizi imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika Siku ya Jumatano ya tarehe 29 Oktoba, 2025...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa tulipo, makamishna waliopo ni aliyewahi kuwa msemaji wa CCM, ndugu Omary Ramadhan Mapuri.
Pia soma KWELI...
Alichosema Mwanasheria mkuu wa serikali juu ya No reform no election sio sahihi.
Sababu mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyofanyika 2024 hayajakidhi vigezo vya kuwa na tume huru ya uchaguzi.
Tume huru ya uchaguzi ni ka ile ya Kenya ambapo mwenyekiti wake hateuliwi na rais.
Uchaguzi hauwezi...
Wasalaam ndugu.
Sina kona kona nyingi cha msingi naomba kuelimishwa kwanini chama tawala na serikali yake hawataki tume huru ya uchaguzi?
Juzi kati chama hicho kilitoa taarifa kuwa kina jumla ya wanachama milioni kumi na tatu.
Pia kinajinasibu kuwa kimefanya mambo mengi ya maendeleo nchini...
Wakuu
Huyu kijana anatakiwa akapewe somo na Vijana wa UDOM, ameshindwa kusemea changamoto zisizokoma za wanafunzi huko vyuoni anatuletea uchawa, na hao vijana wanaomshangilia wakicheleweshewa boom wanatoa milio 24/7.
===
Rais wa Jumuiya ya Taasisi za Wanafunzi Wa Elimu ya Juu, TAHLISO...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Salum Mwalimu ametoa wito kwa watumishi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kutenda haki katika kusimamia uchaguzi Mkuu wa Oktoba baadaye mwaka huu.
Ametoa wito huo leo Juni 7, 2025, baada ya kuungana na waumini wengine wa dini ya...
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kumaliza uzinduzi wa vijana kuelekea siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.