Katibu mkuu wa CCM hataki Tume Huru ya Uchaguzi kwa sababu haileti chakula! Hivyo anataka kuendelea na tume iliyopo ili CCM iendelee kubaki madarakani kwa sababu anadai Tume Huru ya Uchaguzi ni ya wanasiasa kuwekwa madarakani.
Kwa akili hizi za viongozi wa CCM bado tuna safari ndefu kupata...
Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena kutokana na matakwa ya viongozi wa Tanzania, ambao wanamuogopa kutokana na hoja zake nzito za...
Watanzania wenzangu unajua kunamambo huwa hayahitaji kutumia nguvu wala akili nyiiingi sana.
Hebu tujifunze kua uweredi wa mafundi kinyozi huyu jamaa halipwi kulinganga na mashine yake kukaa sana kichwani kwa mteja bali kunyoa haraka na vizuri ndio kunampa umahiri wa kazi yake.
Tofauti na...
Katika siku za hivi karibuni Chama cha Demokrasia na maendeleo, kupitia viongozi, wanachama na washabiki wake kote nchini, waliutangazia umma kuwa hawatashiriki uchaguzi wowote kama hakutakuwa na tume huru ya Uchaguzi.
Mbaya zaidi ikakinyooshea kidole chama cha ACT Wazalendo, kilichoshiriki...
Muda ni sasa, kesho ipo karibu sana na tutashtukia tayari 2025 hiyo. Hatuna Tume Huru wala Katiba mpya.
Kama tuna pesa za Mwenge wa Uhuru tunakosa vipi pesa ya kumalizia Katiba ambayo ipo tayari kwa 90%?
Kama tuna pesa za kufanya SENSA ya watu na makazi mwaka 2022 tunakosaje pesa ya kumalizia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.