tume huru ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Chadema wanaona Mbali sana,Tume huru ya uchaguzi itatupatia viongozi wawajibikaji na wenye kuheshimu wapiga kura

    Rasmi sasa kile chadema wanahubiri CCM wameanza kuelwa ila sema tu ndiyo hivyo. Jamani mwenye wimbo wa kanyagakanyaga CCM ni waongo atupoie hapa,
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya Kinondoni, Songolo: Nchi ina Katiba na Tume Huru ya Uchaguzi, No Reforms No Election haina maana

    Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songolo Mnyonge, amewataka viongozi wa CHADEMA kuacha chokochoko za kisiasa ambazo zinaweza kuhatarisha amani ya nchi, hasa kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi. Akizungumza na waandishi wa habari leo baada ya kumaliza uzinduzi wa vijana kuelekea siku ya...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 CHADEMA yatoa wito kwa tume huru ya uchaguzi kuondoa zuio na utayari wa chama kushiriki uchaguzi mkuu 2025

  4. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu: Tume Huru ya Uchaguzi imeshatuambia uchaguzi upo, chama kinachotaka kwenda kiende

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wananchi kuwa makini na kauli zinazotolewa na watu mbalimbali kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi, akisisitiza umuhimu wa kuchuja maneno na kulinda mshikamano wa taifa. Akizungumza katika mkutano wa hadhara leo...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Uchaguzi yatangaza majimbo mapya nane, Dar es Salaam yapata Kivule na Chamazi

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Mei 12,2025 ametangaza kuwa Tume hiyo imekubali kuanzisha Majimbo mapya ya uchaguzi nane katika Mikoa mbalimbali nchini ambapo kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanzishwa Majimbo mapya mawili ambayo ni Jimbo la Kivule na Jimbo la...
  6. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Ajira Tume Huru ya Uchaguzi ni kweli au utapeli?

    Salamu naomba wajuvi wa mambo mtusaidie hili kuna jumbe zina sambaa kwenye mitandao ya kijamii zikiwa na link ya ajira za tume huru ya uchaguzi nimejaribu kuingia kwenye link tajwa ila naona kama inakuwa na utaratibu ambao sio wa kawaida kwani kuna sehemu inasema share to your contacts...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Deus Kibamba: Katiba inasema Itakuwa ni marufuku kwa watu wanao husika na uchaguzi kujiunga na chama chochote cha siasa

    Mwanazuoni na mchambuzi wa masuala ya siasa, Deus Kibamba amesema kuwa kitendo cha mmoja wa Makamishna wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuwa na historia ya kuwa kiongozi mwandamizi wa chama cha siasa kunaweza waondolea wananchi imani juu ya usimamiaji haki kwenye uchaguzi. Kibamba...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Chadema ndio wanapaswa kulaumiwa na wanachama wao kwa kukataa kusaini kanuni za maadili na sio kuilaumu Tume Huru ya Uchaguzi

    Nimemshangaa sana mzee wetu Warioba Kuishangaa Tume na kuzishangaa Kanuni za uchugazi badala ya kuwashangaa Viongozi wa Chadema (Katibu Mkuu) ambaye kwa Jeuri tu walisusia kusaini kanuni hizo za uchaguzi na huku wakitambua kufanya hivyo kutawazuia wao kushiriki uchaguzi Mkuu. Jambo hilo sio tu...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu: Serikali tutahakikisha uchaguzi unakuwa wa amani na utulivu, Tume huru ya uchaguzi wametuambia watausimamia kwa uhuru, haki na uwazi

    "2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaishauri mamlaka kuwa baada ya uchaguzi mkuu katiba mpya iandikwe upya na tume huru ya uchaguzi iundwe upya

    Kwa sasa Uchaguzi Mkuu umekaribia na bado miezi kama sita tu ambapo hakuna namna yeyote mabadiliko yanaweza kufanyika. Hivyo naomba Mamlaka kufanya yafuatayo mara tu baada ya Uchaguzi mkuu Oktoba, 2025. (1) Mamlaka ichukue jukumu la haraka kuandika Katiba Mpya ambayo imepigiwa kelele sana na...
  11. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, No Reform no Election, Hizi ndio sera za CHADEMA wanazozihubiri kwa zaidi ya miaka 10

    Hizi ndio sera za CHADEMA wanazo zihubiri katika majukwa Yao Kwa zaidi ya miaka kumi Sasa Katiba mpya CHADEMA wanaamini kwamba katiba mpya itakuja na uwepo wa serikali tatu hivyo katika hizo serikali 3 na wao wanaweza kupata japo Moja Tume huru ya uchaguzi CHADEMA wanahisi Huwa wanaibiwa...
  12. H

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa tume huru ya uchaguzi, ni kukubali wazi kuwa huwa hawashindi bali wanapora uchaguzi

    CHADEMA wanachokitaka kupitia NO REFORM NO ELECTION siyo wao kupewa upendeleo, bali kuwa na uchaguzi huru na wa haki ili yeyote anayeshinda, awe ameshinda kwa haki. Na ili hilo liwezekane, kwanza, ni lazima Tume ya uchaguzi na wote wanaosimamia mchakato wa uchaguzi ni lazima wawe huru wasiokuwa...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Hekima imuongoze rais katika hili

    Kampeni ya No Reforms, No election ina hoja za msingi sana na ni vyema CCM wakakubali kuwepo na tume huru na mchakato wa uchaguzi ulio wazi kabisa. Kuna baraka nyingi sana kutoka kwa Allah unapokuwa umeshinda kwa haki. Kwenye hili la Tume huru ya Uchaguzi: Katika akili za kawaida kabisa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Chama changu semeni kwa nini hatutaki tume huru ya uchaguzi

    Mjadala nyeti hivi sasa kwenye Taifa letu ni kuwepo kwa tume huru ya uchaguzi. Pamoja na ukweli huu, ukweli ni kuwa chama changu CCM kimeshindwa kuwaeleza watanzania kwa nini hakitaki tume huru ya uchaguzi?. CC: Wasirra Warioba, Amos Makalla, J.M.Kikwete Wapenda...
  15. funaku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sitarajii kuona Mahakama inaingilia maamuzi ya Tume Huru ya Uchaguzi

    mimi sio mwanasheria lakini naamini mojawapo ya mabadiliko yaliyofanyika ni pamoja na kuibadili tume kutoka TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI NA KUWA TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI. Katika jaribio la kwanza kabisa la Kisheria ni kwamba sitegemei kusikia Maamuzi iliyoyafanya Tume huru ya uchaguzi...
  16. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Hongereni Tume HURU ya Uchaguzi Tanzania

    Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hoja sita za ACT Wazalendo kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, yataka Tume huru ya Uchaguzi iwe ya kweli

    Chama cha ACT Wazalendo kimeainisha hoja sita muhimu ambazo kinasisitiza kuwa utekelezaji wake na Serikali pamoja na Tume ya Uchaguzi ni msingi wa kujenga mazingira ya kuaminiana kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza katika Kongamano la Tatu la Operesheni Linda Demokrasia...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru na ya Haki ya uchaguzi inahusu Watanzania wote. Hata WanaCCM wanaihitaji. Sio kuziabudu baadhi ya Familia za viongozi Kutafuta huruma

    Bila Shaka hamjambo! Hata Wana CCM wengi wamechoka kuabudu na kuogopa baadhi ya familia za viongozi. Hakuna mwana CCM anayependa kuwa Chawa, au mzazi anayefurahia kuona mtoto Wake aliyemzaa anakuwa Chawa WA watu wengine. Yaani umzae mtoto wako, umsomeshe na kumlea kwa jasho na Damu ili mwisho...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tume Huru ya Uchaguzi iajiri watumishi watakaosimamia Uchaguzi Mkuu ambao siyo watumishi wa umma

    Ili uchaguzi uwe huru na haki ni vema Tume Huru ya Uchaguzi ikaajiri watumishi watakaosimamia uchaguzi mkuu 2025 ambao siyo watumkshi wa umma. Waigeni wenzenu wa nchi jirani ya Kenya ambayo Tume yao ina watumishi wa kudumu mpaka ngazi ya Kata. Kusitokee tena figisufigisu ya miaka ya 2020 na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani anayeaminika kuwemo kwenye Tume Huru ya Uchaguzi?

    Katika hali ya kawaida sio kwamba wahusika wamepuuza kinachoendelea kutokana na mapendekezo ya vyama vya upinzani. Ukweli ni kwamba nyuma ya pazia wanajaribu kuona cha kufanya (wanapima) kwamba ni njia gani watumie ili kuukubali mchakato wa mageuzi ya uchaguzi yanayopendekezwa. Huku juu juu...
Back
Top Bottom